bitcoin

  1. Aizi Azma

    Crypto na ahadi ambayo haijatimia

    NB: Uzi ni mrefu, kinoma 👽 Uchumi wa dunia umekuwa ukidorora kwa miezi (Kama sio kwa miaka) kadhaa sasa, na mdororo huo umeathiri pia thamani ya cryptocurrencies kwa kiwango cha kutisha. Watu wamepoteza mabilioni ndani ya muda mfupi, kiasi ambacho wengine wamechukua maamuzi magumu ya kujiondoa...
  2. Mavurunza

    Remitano wazindua sarafu ya Renec na kuanza kwa kishindo

    Kama walivyoahidi, Remitano wamezindua sarafu yao ya Renec. Sarafu ambayo ilikuwa ikipatikana bure kwa kufanya mining kupitia simu ya mkononi sasa ipo sokoni kupitia exchange yao. Renec iliingia sokoni ikiwa na thamani ya $ 0.1 lakini ndani ya saa 24 ilipanda thamani hadi kufikia $ 3+...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Unapokuwa unawaambia watu kuwa “Forex inalipa”, basi kuwepo na uhalisia japo kidogo

    Hii ni ofisi ya wanaochimba mgodi wa utajiri kwenye Forex. Yale mambo ya ma Bitcoin, na kadhalika, ku trade na kila aina ya utajiri rahisi ndio hapa training centre yao, namna ya kuupata utajiri kirahisi hufundishwa hapa.
  4. Lady Whistledown

    Jamhuri ya Afrika ya Kati yawa nchi ya Kwanza Afrika kuhalalisha matumizi ya Bitcoin kama sarafu rasmi

    Mkuu wa wasaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ‘Central Republic of Africa’ (CAR) Obed Namsio alisema mswada unaosimamia matumizi ya ‘cryptocurrency’ ulipitishwa kwa kauli moja na bunge wiki iliyopita na Rais anaunga mkono muswada huo akidai utaboresha hali ya raia wake Jamhuri ya...
  5. Nafaka

    Bunge la Ulaya kupiga Kura kuhusu matumizi ya Bitcoin

    Leo Jumatatu bunge la Ulaya litapiga kura kuhusu matumizi ya bitcoin na sarafu nyingine. Matokeo ya kura hiyo yataamua kuhusu matokeo ya baadae ya bitcoin. Wanatumia kigezo cha mazingira kwakuwa uchimbaji wa bitcoin unatumia nishati kubwa ambayo uzalishaji wake unachafua mazingira. Hii kura...
  6. Kichwa Kichafu

    Mchambuzi maarufu wa Bitcoin ameenda kuwekeza kwenye sarafu ya $SHIB japo sarafu ya $DOGE ndio imeanza kupanda thamani

    Habari, Mchambuzi maarufu wa fedha ya kidigitali ameendelea kuwekeza kwenye sarafu ya Shibu In ($SHIB) japo sarafu ya $DOGE ikitegemewa kuanza kufanya vizuri baada ya hivi karibuni kupata ridhaa ya kutumika kwenye manunuzi ya baadhi ya bidhaa vya kampuni la magari ya umeme, Tesla. Mchambuzi...
  7. Fbn

    Historia ya crypto currency na safari yake huko mbeleni kwenye sarafu ya Bitcoin na nyingine

    Habari zenu JF mimi ni mmoja wa watumiaji wa sarafu za kidigital kwa jina crypto currency. Nitapenda kutoa historia ya kwa nini kuanzishwa sarafu hizi ni ilikuwa kwa ajili ya nini na kwa sababu hipi. Tuna fahamu tokea dunia kuanza mpaka kufika leo mifumo mingi ya malipo ilianza kwa...
  8. BestOfMyKind

    Usiwekeze kwenye Bitcoin wala crypto currency yoyote, wekeza huku

    1. Dhahabu - dhahabu kilo moja thamani yake ni zaidi ya shilingi milioni 100 za kitanzania. Dhahabu haiwezi kushuka thamani kwasababu i) haipatikani kiurahisi ii) ina matumizi mengi iii) ipo tangu mwanzo wa ulimwengu kwa hiyo soko lake sio jipya 2. Mafuta na Gesi
  9. M

    Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

    Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida. Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account...
  10. S

    Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

    Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza. Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano...
  11. S

    Wizi wa mtandao: Akaunti za Twitter za Bill Gates na Elon Musk zadukuliwa, mamilioni ya dola yaibiwa

    Ni ndani tu ya saa moja lililopita, wadukuzi wamefanikiwa kuingilia faragha za akaunti za Twitter za Bill gates na Elon Musk na kutuma ujumbe ukiwataka watu watume kiasi cha pesa kwa njia ya bitcoin kisha, Watatumiwa mara mbili ya hiko kiasi. Mashambulizi yamekuwa makubwa maana kila Twitter...
  12. Makirita Amani

    Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

    Habari kubwa katika kipindi hichi kwa upande wa fedha na uwekezaji ni cryptocurrency au kama inavyofahamika kwa Kiswahili fedha za kidijitali. Aina hii ya fedha imewavutia wengi siyo kwa sababu ya matumizi yake, bali kwa jinsi thamani yake inavyokua kwa kasi na hivyo wengi kuona ni sehemu rahisi...
  13. Kurzweil

    BoT yazuia matumizi ya pesa ya kidigitali - Crypto currency

    BoT katika taarifa yake imeeleza kuwa inatambua juu ya uwepo wa watu wanaofanya malipo kwa kutumia sarafu hizo na yapo matukio ya uhamasishaji wa sarafu hizo Wapo wanaodai kuwa wamewasiliana na Benki Kuu kuhusu uhalali wa matumizi ya sarafu kauli ambazo ni potofu Taarifa ya BoT imewaonya wote...
Back
Top Bottom