binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Unapomvua nguo binti mrembo na kukuta mwili wake una chale kibao huwa unapata picha gani?

    Umeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake. Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina. Hapa unapata picha gani? Utapiga mzigo na kunasa? Binti ni mzee wa kazi?
  2. M

    Nimfanyaje huyu binti?

    Tulifahamiana kimasihala tu kwa lengo la kumsaidia kupata kazi sasa sijakamilisha mchakato wa kazi ila anajiletaa, Nikila mzigo na kazi asipate silawama hizi?
  3. Natafuta binti wa kuuza dawa mwenye ADDO

    Habari wataalam, Ninatafuta binti wa kusaidia kutoa huduma ya kutoa dawa kwenye duka la dawa muhimu ambalo liko Dar wilaya ya Ubungo. Sifa za muombaji lazima awe amepitia mafunzo ya ADDO na awena cheti. Tuwasiliane inbox kwa wahitaji.
  4. Natafuta Binti wa kushare naye cost za nyumba

    Wakuuu habarini. Naishi Mbezi beach nimepanga nyumba nzima peke yangu sina familia, natafuta binti wa kushare nae cost asiekuwa na familia ntampa chumba kimoja self kikubwa atalipa laki moja tu na mimi nitabakia na sehemu yangu. Nyumba ina vyumba vitatu na sebule. Pia ntamruhusu kutumia...
  5. Binti wa miaka 17 ajinyonga baada ya kuachika mara tatu kwenye ndoa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema Rebecca Benjamini Mkazi wa Kata ya Izunya Wilaya ya Nyang'hwale mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia kwa kujinyonga kutokana na msongo wa mawazo baada ya kuwa anaachwa kila anapoolewa "Ameachika mara tatu kwenye ndoa" Mwaibambe...
  6. Binti wa miaka 10, shujaa alivyookoa watu zaidi ya 100 kutosombwa na mafuriko ya Tsunami

    Tilly Smith akiwa na umri wa miaka 10, kwenye mapumziko katika Ufukwe wa Maikhao nchini Thailand mwaka 2004, aliona kuna kitu hakipo sawa ufukweni hapo. Ilikuwa zimepita wiki mbili tu tangu aliposoma katika somo la Geography kuhusu Tsunami nchini kwao England, hivyo kwa kukumbuka kile...
  7. Binti sokwe.

    Njaa ilipozidi huko Gombe, wazee wakakaa kikao ili kupata ufumbuzi. Baada ya majadiliano ya muda mrefu, wakakubaliana watafute sokwe mrembo. Wamkate mkia na kumremba na kisha wamuoze kwa binadamu. Walijua kuwa binti yao huyo atawapa access ya kula mahindi kwenye shamba la binadamu kirahisi...
  8. Familia yangu imenigomea nisimuoe mpenzi wangu sababu wanahisi nitakuja kuteseka

    Ndugu zangu huyu binti nimetoka naye mbali sana zaidi ya miaka 5 tupo katika mahusiano na mimi ndio ninamjua vizuri sana. Ila shida inakuja familia yangu imenigomea kumuoa huyu binti kwa kigezo ntakuja kuteseka badaye na hii inatokana kuna kauli alipishana na mdogo wangu wa kike katika...
  9. M

    Mpenzi wangu wa kwanza amerudi

    Aisee haya maisha hata hayana maana sijui na mke wangu anawatafutaga ma ex zake iv [emoji24][emoji24] Kuna binti kitambo kdg alikuwa nesi nikaenda akanitibu tukawa na mazoea kias chake Mimi nafanya biashara akataka niwe. namfundisha Ukarb ukawa mkubwa atlast nikamtongoza na akaingia line...
  10. Binti ninayemtongoza anataka nimuazime Tsh. 100,000/-

    Wakuu habari za muda huu, Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi. Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana...
  11. Wanaume wenye watoto wa kike, utajisikiaje ama ulijisikiaje siku binti yako anaolewa?

    Hi guys, Hope mpo sawa, Nimefikiria hili jambo baada ya juzi kuwa kwenye shughuli flani ya send-off ya rafiki yangu, na kumuona baba yake mzazi akilia machozi yaani ile lia huku anajikaza na kuficha, wakati Mama yake alikuwa tu sawa usoni, ya moyoni siyajui! Nilizoea kuona wamama ndiyo huwa...
  12. Ileje: Binti Mjamzito auawa kwa kuchomwa Kisu na Mwili wake kuchomwa Moto

    MWANAMKE mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga kata ya Mlale wilayani Ileje mkoani Songwe, Subira Kibona(16) amefariki dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali mgongoni kisha mwili wake kuchomwa moto na anayesadikika kuwa mume wake, Shukrani Kamwela (16) kabla ya kutupa mabaki ya mwili huo...
  13. BINTI: Filamu ya kwanza ya Kitanzania inayooneshwa Netflix

    Filamu ya BINTI @bintimovie ni filamu ya kwanza ya Kitanzania kuoneshwa katika mtandao wa filamu mitandaoni kwa jina la NETFLIX. Filamu hiyo inaelimisha mabinti kutotamani maisha ya wenzao ikiwa hawajui wanapitia nini. Imeandikwa na mtunzi Angela Luhinda pamoja na @sekoshamte na tayari...
  14. J

    Simanjiro: Mwanaume wa miaka 30 amuoa kwa nguvu binti wa miaka 14 kwa ridhaa ya baba

    Na John Walter-Manyara Jeshi la Polisi mkoani hapa linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Loswaki wilaya ya Simanjiro aliyejulikana kwa jina Lalahe Karoli (30) kwa tuhuma za kumtorosha na kwenda kuishi kinyumba na mtoto mwenye umri wa Miaka 14 kwa ridhaa ya Baba wa Mtoto. Kamanda wa...
  15. B

    Nimeangalia picha ya binti wa Mtuhumiwa Mohamed Ling'wenya inayosambaa, Watanzania tukubali tuna viongozi katili wasio na utu

    Baba anajitolea kulinda Taifa, anafukuzwa kazi nakurejea Uraini. Anatafuta kazi yakumwezesha kulisha familia, Kwa kuwa hakufanikiwa kusoma sana na kwa kuzingatia ugumu wa Maisha uliopo na hili asiibe anaamua kuwa mlinzi anayelipwa ujira mdogo lengo alishe familia na kuepuka kuwa mwalifu...
  16. T

    Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    MOSHI: BINTI AMUUA MAMA YAKE MZAZI ILI ARITHI MALI, MWILI WAGUNDULIWA BAADA YA MWAKA MMOJA • Meya Juma Raibu ashindwa kujizua amwaga machozi na kulaani vikali, awaasa vijana kuacha tamaa na starehe •Meya Raibu ampongeza Rpc Kilimanjaro ACP Simon Maigwa na timu Yake Kuendelea Kusikiliza Na...
  17. Kuchinjwa kwa binti wa mchungaji Mtungutu

    Wakati niko Safarini tokea Dar kulelekea kijijini kwenye msiba wa babu yangu, njiani kwenye njia ya kutokea Chemba kupitia kijiji kinaitwa Mtungutu, Pembezoni mwa barabara nilikuta gari la polisi likiwa na askari kadhaa, na upande mwingine wa barabara nikaona wanakijiji wengi wamekusanyika kwa...
  18. Nimeshangaa sana binti wa miaka 16 kuniambia haya!

    Siku ya leo nimepigwa na butwaa sana baada ya binti mwenye umri wa miaka 16 kuniambia kuwa "NYIE WANAUME NI WAONGO" "MNAPENDA TU KUTUCHEZEA WANAWAKE" "MIMI MAISHA YANGU YOTE SITAKUWA NA MWANAUME TENA". Sasa nikabaki tu najichekea mwenyewe, sasa wewe una miaka 16, halafu unasema...
  19. P

    Ni kweli mawazari tunao wengi, ila Mh Lukuvu ni zaidi ya waziri, kuna mtu anaogopa kufunikwa....

    1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa! 2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo...
  20. MREJESHO KUHUSU YULE BINTI NILIOMBA MSAADA

    Wakuu nilikuja kuomba msaada hapa kuhusu yule binti mwenye jini mahaba eee bwana nilifanikiwa kumtafuna kweli na wala hakupandisha hayo majini yake kitu kilichofanya nihisi alikua ananiigizia japo aliniambia kuna dawa anatumiaga. Utata unakuja anapokomaa mimi ni mwanaume wake wa kwanza kukutana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…