Toka nimeingia humu sikuwahi kufikiria nitapenda mtu, sikuwahi kufikiria Nitakuwa drawn kwa ID ya mtu maana nilikuwa najua maandishi haya reflect physical beauty...
Kumbe I was wrong, sikujua how maandishi ya mtu hurelfect maisha halisi ya mtu husika hasa subconsciously... Ndipo nilipo kuja...