binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nini kilitokea Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025? Huu hapa mtazamo binafsi wa Likud.

    Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa. Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period. Kwa vilaza 👇👇👇 Tanzania ilikumbwa na UPEPO MBAYA hiyo tarehe 29 OKTOBA 2025. Upepo huo mbaya ukawa reflected kwenye...
  2. Katika wapumbavu mia angalau muweni welevu wawili wenye kuendeshwa na utashi na tafakuri binafsi bila mihemuko na trend

  3. Q

    Wajue Maafisa wa Serikali na watu binafsi waliowekewa vikwazo na Marekani

    Baada ya Marekani kuiwekea Tanzania vikwazo, Partial Restrictions, wafuatao ndio watakaoathirika. Partial Restrictions ni marufuku ya viza au wakati mwingine (freeze of property) ambayo serikali ya Marekani huweka kwa watu mahususi badala ya kupiga marufuku au vikwazo vya jumla. Vikwazo...
  4. H

    Njia madhubuti ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania ni kwa kuweka nguvu zaidi kwenye sekta binafsi

    Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
  5. Mateso ya Sekta binafsi ye NSSF wanatunyima mafao yetu

    Tuliofanya kazi sekta binafsi kwa mshahara kidogo na mateso makali na mwisho Mungu akajalia tukapata serikali leo tunajua pesa ya NSSF itakuwa msaada kwetu lakini sheria za hovyo alizopitisha Magufuli tunanyimwa. Naomba serikali ione huruma ili tunaopata kazi serikali tulipwe hiyo pesa ili...
  6. P

    Nani anawapa mamlaka Polisi kuweka namba zisizojulikana kwenye gari zao binafsi?

    Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza. Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti. Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi? Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa...
  7. Ninavyomfahamu binafsi Fr. Kitima (PhD), Toka akiwa Mkuu wa Chuo pale SAUT Mwanza

    Kipindi nasoma pale SAUT Mwanza 2012-2015, Padre Kitima ndo alikuwa mkuu wa chuo chetu pale. Namfahamu binafsi na nilikuwa nikiongea nae na kushirikishana mambo kadha wa kadha Fr Kitima naona amekuwa maarufu kipindi hiki baada ya kuwa Katibu wa TEC, naona vilaza wasiomjua vizuri wanajaribu...
  8. B

    Yuko wapi "First Gentleman" wetu!!??

    Waungwana ninashangazwa saana kumuona "Mama" akiwa peke yake mda mwingi na katika ziara zake....vipi ""FG"" wetu masahibu gani yamemkuta? ...sio jambo la kawaida....au ndio yale mambo ya Diamond ya ""Niko salaaama sijui wewe ukoo.....ohooo uku nakula nyama kwa nyama ahaaaa sijui wewe uko"
  9. H

    Tunatoa huduma za elimu binafsi (Private Coaching)

    Unahitaji kujifunza ujuzi mpya au kuboresha uwezo wako binafsi? Sasa ni wakati wako! Tunatoa MAFUNZO BINAFSI (One-on-One) kwa: 🌍 Lugha za Kigeni – Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kichina, Kihispania n.k. 💻 Kompyuta – MS Office, Internet Skills, Typing, Coding, Graphic Design n.k. 🚗...
  10. Iddi Amin Mama, Kubali Yaishe. Maslahi Ya Nchi Ni Makubwa Kuliko Maslahi Yako Binafsi!

    Iddi Amin Mama, inawezekana you’re in deep denial, lakini ukweli ni kwamba hakuna tena uwezekano wa wewe kuendelea kuongoza hii nchi bila kuzidi kuharibu umoja wake wa kitaifa! Ukubali au usikubali, huna washauri wazuri. Washauri ulionao ni wale wanaokuambia kile wanachodhani unataka kusikia...
  11. R

    Katuga, kwanini unakuwa na chuki binafsi na Lissu?

    Pamoja na kutumwa, ni dhahiri unaonesha chuki binafsi na Lissu! Kwanini unakuwa hivyo? Alikukosea nini? Kuna siku ya Mungu utajibu mbele yake na hao wanaokutuma hawatakuwepo.
  12. Uzoefu binafsi uwepo wangu ndani ya Burundi

    Hapa Rumonge ni Mji cool sana. Usiku,maeneo mengi yapo dull na low activities unless kwenye kumbi za kujirusha. Data, ipo chini sana buku tano ya Tz unaweza peruzi mwezi mzima. Kidnappers, ni hakuna hakuna kabisa. Warundi wanapenda wageni japo sijajitambulishi kama Mtanzania( nina ichukia...
  13. M

    Serikali yaongeza mshahara wa kima cha chini Sekta binafsi mpaka Tsh 358,322

    Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetangaza kima cha chini cha mshahara wa sekta binafsi ambapo sasa itakuwa ni Sh358,322 kutoka Sh275,060 ikiwa ni ongezeko la asilimia 33.4. Kima hicho kitaanza kutumika rasmi Januari Mosi mwaka 2026. Ikumbukwe Serikali...
  14. Hivi Lissu na CHADEMA wanapigania nini? Binafsi nawaona kama watu walafi wa madaraka au wamewehuka

    Huyu jamaa alikuwa kinara wa kumpinga mwamba Magufuli na safari hii tena anampinga huyu bibi waliesema ni mama Yao kipindi Magufuli amefariki, leo hii Magufuli anaimbwa CHADEMA hawa watu wana akili timamu kweli maana mama kawapa demokrasia waliyoitaka ila Kuna vilio Sasa shida nini wakati...
  15. H

    GE2025 Binafsi sioni kutakuwa na maandamano Kama inavyozungumziwa

    Ukiangalia vizuri maandamano Kama vile yamekaa kichama zaidi kuliko kitaifa hata ukisikia anayehamasisha uhusisha Chadema kama Chama cha upinzani usikii wakiungamisha makundi yote kwa pamoja ndio maana Kuna wengine hawayatolei uzito au kuhamasika kuunga mkono. Ukiangalia sehemu nyingi ambazo...
  16. Kwanini Sekta binafsi inapaswa kuwekeza katika Takwimu

    Takwimu zipo katika kiini cha maendeleo, zikichochea maamuzi na uwekezaji unaosaidia kupunguza umasikini na kujenga mustakabali endelevu. Hata hivyo, mifumo mingi ya kitaifa ya takwimu katika nchi za kipato cha chini na kipato cha kati haina rasilimali za kutosha na haijajiandaa kutoa takwimu...
  17. Khun Sa, kingpin wa dawa za kulevya kutoka Burma aliyemiliki jeshi lake binafsi

    Khun Sa (aliyejulikana pia kama Chang Chi-fu au Sao Mong Kwan) alikuwa kingpin wa biashara ya madawa ya kulevya na mwanaharakati wa kivita kutoka Myanmar (zamani Burma). Alizaliwa tarehe 17 Februari 1934 katika kijiji cha Loi Maw, wilaya ya Mongyai, Jimbo la Kaskazini la Shan. Alikufa tarehe 26...
  18. S

    Binafsi naona CRDB ndio inaanza kufa kidogo kidogo

    Huu ni mtazamo wangu: Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais. Kwa msingi huo, hata taasisi Kama benki ambayo watu wengi wametunza fedha zao, inapokumbwa na tishio...
  19. Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu...
  20. Secta Binafsi, Watanzania Tumiliki Uchumi pia tuchangamkie Fulsa

    Moja kwa moja naenda kwenye Hoja, Watanzania tuchangamkie Fulsa Tele ambao zimejaa nchini ili Sisi wenyewe Tumiliki Uchumi Tuache kulalamika au kubagaza wenzetu kama kina Rostam ambao wanachangamkia Fulsa na kuwekeza, Zaidi Watanzania wenzetu wanapata Ajira za kutosha na Serikali kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…