binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tunahitaji wagombea binafsi Ubunge ili wawe huru kutoa mawazo yao Bungeni. Waliopo wanapigania maslahi ya vyama vilivyowapa dhamana

    Ndugu msomaji wa nakala hii fupi. Habari ya wakati huu. Naomba rejea kichwa cha nakala hii kama kinavyojieleza hapo juu. Naomba kunukuu "Tunahitaji mgombea binafsi wa ubunge ili wabunge wawe huru kutoa mawazo yao bungeni bila kuogopa chama". Tangu nimeanza kufuatilia mambo ya siasa za dunia...
  2. Muhtasari wa elimu ya Maombi, Dua na Sala kwa Mtu Binafsi, na Familia

    MAOMBI, DUA NA SALA KWA MTU BINAFSI, AU FAMILIA Anaandika, Robert Heriel. Andiko hili lafaa kwa mtu yeyote, lafaa kwa rika zote, hadhi, elimu na hali. Andiko hili ni sehemu tuu ya kumbukumbu kwa wajuao mambo haya, aidha andiko hili ni elimu ya manufaa kwa wageni wa mambo haya. Haya basi...
  3. Rais Samia: Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ikamilishwe

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari kuhakikisha inakamilisha uandaaji wa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi za Watu Ameelekeza hayo katika uzinduzi wa Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-MAMA) leo...
  4. Rais samia, Magereza wanaovutana kwenye miradi kushirikiana na sekta binafsi ni kutaka kulea upigaji

    Rais samia hua anatoa kauli na maelekezo yenye utata. Lakini wenye kuelewa wanajua ni mwelekeo wake wa kupendelea sekta binafsi iliyojaa 'wahuni' Inafaa atambue sekta binafsi kuleta ufanisi inatakiwa kua shindani sio kubebwa kwa kusudi kuingia ubia na majeshi au mashirika au mamlaka za umma...
  5. TANESCO lini mmeanza kutumia magari yenye namba binafsi?

    Ni mara ya pili sasa nakutana na gari ya Tanesco ikiwa na kile kibandiko cha mduara kama yai mlango wa dereva na ikiwa imebeba ngazi maeneo ya huku ninakojibanza ikiwa na namba ambazo sio "SU" bali zile za kawaida. Mara ya kwanza mida ya saa mbili usiku niliiona gari moja eneo ambalo kulikuwa...
  6. Mabosi hutumia akaunti za benki za watu binafsi, wazabuni na wakandarasi kuchota pesa za Serikali. Serikali imulike taasisi ambazo CAG hana ubavu nazo

    Habari! Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct. Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva. Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma...
  7. Q

    Baada ya kuambiwa TCD inatumika kwa manufaa binafsi, Admin aifunga akaunti ya TCD Twitter

    TCD inaundwa na vyama vitano CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi, CUF na ACT-Wazalendo. TCD imesajiliwa kama NGO non Partisan lkn inahudumiwa kwa pesa za Umma. Uongozi wake niwa mzunguko wa kipindi cha miezi 6, kipindi hiki uongozi uko chini ya chama cha ACT-Wazalendo chini ya Kiongozi wao Mkuu Zitto...
  8. Waziri Nape: Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi upo katika hatua za mwisho

    Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu kulikuwa na kurekodi rekodi watu, hapana lakini ni kwa sababu ya kutunza faragha.” Nape ametoa...
  9. U

    Tujuzane taasisi za binafsi zinazojali wafanyakazi wake na maslai mazuri

    Uzi kama unavojieleza, tujuzane sehemu nzuri za kutafuta ugali wakuu. Yani ukipata hapo angalu maisha yanaenda. Mimi naanza na hizi japo sijui naskia sikia watu wakisema. 1.TCC - Sigara 2.Mbeya Cement 3.Barick 4.TBL 5.Coca Cola
  10. Jifunze kutengeneza scrub ya kahawa" Coffee Scrub" kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi

    Mahitaji -Sukari ya brown kikombe kimoja -Kahawa ya brown nusu kikombe -Mafuta ya mzeituni nusu kikombe -Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp) Hapo kwenye kikombe waweza tumia kikombe Cha chai(mug)au vile vikombe maalum vya kupimia malighafi vile ambavyo vina alama za vipimo. Hii...
  11. T

    UDART acheni kubweteka! Mnatoa huduma za usafiri kwa kuringa sana. Serikali iruhusu makampuni binafsi waingize mabasi ili kuchochea ushindani

    Kampuni ya usafirishaji katika jiji la Dar-es-Salaam (UDART) maarufu kama mwendokasi inatakiwa ijitathmini utendaji wake mara moja kwani huduma ya usafiri wa mabasi haya ni kero kwa wananchi. Madereva wakifika katika vituo vyao vikubwa (terminal) badala ya kupakia abiria waliojazana kwenye...
  12. M

    Naibu Waziri Jumanne Sagini: Serikali haihusiki na matukio ya moto

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amesema kuwa serikali haihusiki na matukio ya moto yaliyotokea katika baadhi ya mikoa nchini na itawachukulia hatua watakaobainika kuhusika na matukio hayo. Chanzo: itvtz Endeleeni kudhani wote tu hatuna Akili. Nitakuwa wa mwisho...
  13. Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

    Mada juu yahusika. Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni. Mara xax, Xmas, meme, ko n.k Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika. Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni? Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na...
  14. S

    Watanzania hatuna uzalendo wa kiwango hiki, bali naamini watu wana masilahi binafsi huko Ngorongoro na ipo siku ukweli utajulikana

    Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
  15. M

    Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

    Hii ni orodha yangu. Tafadhali iheshimiwe Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:- 1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani) 2. Mpoki 3. Joti. Nimemaliza, prove my list wrong. Orodha tayari Uzi tayari Over & out Bye...
  16. Anderson Ndambo: Zitto ni mamluki wa CCM anaitumia ACT na Zanzibar kwa malengo binafsi

    Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni. 1. Kulipa fadhila kwa Babu. Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia...
  17. L

    Nahitaji mwenye gari binafsi inayokwenda Bukoba sasa hivi

    Za muda huu wakuu, Naomba kuuliza kama kuna mtu anasafiri muda huu kutoka Dar kwenda Bukoba na anaweza kufika kesho by saa mbili asubuhi, kama yupo anambie tupo wawili tutalipa nauli kama kawaida lengo ni kuwahi tufike kesho by saa mbili asubuhi.
  18. Taarifa binafsi huweza kuleta madhara zikiwa mtandaoni pasipo kulindwa

    Taarifa binafsi kama Jina lako, Namba ya Simu, Anwani na zile za malipo ya kifedha huweza kuleta madhara zikiwa mtandaoni pasipo kulindwa, kwani ni rahisi kudukuliwa Kuwa makini unapofungua tovuti au 'Links' ambazo kwenye "https" hakuna 'S' yaani inasomeka "http" pekee. Weka nywila (Password)...
  19. Rais Samia kwa sababu zangu Binafsi nakushauri Jina la Naibu Spika awe amepitia au amebobea katika maeneo haya Matatu tu....

    1. Awe ni TISS Agent 2. Awe ni Mmedani ( JWTZ ) Mstaafu 3. Awe Lawyer na Diplomat tu ANGALIZO Hakikisha awe ni Muislamu kwa Imani ( Dini ) halafu awe anatokea Visiwani ( Zanzibar Isles ) na kamwe asitokee huku Kwetu Tanzania Mainland. Mheshimiwa Rais wangu Samia kama ambavyo hukuniangusha...
  20. Natafuta kazi ya udereva either kwenye kampuni au mtu binafsi

    Naitwa Gabriel minde natokea dar es salaam Nina uzoefu na kazi ya udereva natafuta kazi ya udereva leseni yangu class A,A2,B,D,E,F Nina uzoefu na hii kazi nipo tayari kufanya kazi kwenye kampuni au mtu binafsi, naombeni kazi wakuu namba yangu hii apa 0689090019 nipo tayari kufanya kazi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…