Habari ya wakati Huu ndugu WanajamiiForums.
Kwamajina naitwa JOSHUA JAMES, mwenye ujuzi wa udereva kwazaidi ya miaka mitano nikifanya kazi ndani ya mkoa ba nje ya mkoa wa deresalaam
Ujuzi ,
1: Ninazo wakuendesha gari aina zote ndogo Yani Automatic na manua cars, pia ninautaalam wa hugundizi...