binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo la Biashara haramu ya binadamu na Viungo vyake kwa Tanzania na Afrika

    Salaam Wakuu, Inadaiwa kuna watu zaidi ya milioni 45 ambao wametumbukizwa katika biashara hii inayoingiza kiasi cha dola bilioni 32 kwa mwaka, na hivyo, kuchuana kwa karibu sana na biashara haramu ya silaha na dawa za kulevya. Wanawake, na watoto wadogo ndio walengwa wakuu. Kundi hili la...
  2. JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM ilipaswa kupendekeza IGP Sirro aondolewe, sio kutathmini mwenendo wa Tanpol. Ukiukwaji wa haki za binadamu umekithiri hapa nchini

    Kila kukicha ni malalamiko ya wananchi juu ya ndugu zao kuumizwa au kuuawa wakiwa mikononi mwa jeshi la polisi. Mbaya zaidi hakuna hatua zinazochukuliwa ili kuwashitaki wanaofanya haya matendo maovu. Rais Samia alishakiri hadharani kuwa kuna nguvu ya ziada inayotumika na inaleta madhara kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kurudi Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Namnukuu waziri wa katiba na sheria hapa chini: "Sio vizuri sisi tusiwe ndani ya Mahakama [ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu-AfCHPR] ikiwa ipo kwetu, Rais wake ni Mtanzania. Jambo la msingi tupeni muda serikali tutaonesha kwa matendo."- Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene...
  4. JamiiForums Tanzania Binadamu tumeumbwa kusahau,hebu tujikumbushe kidogo

    Ebu na wewe weka swali moja la mawakili wa utetezi kuelekea kwa mashahidi wa michongo.
  5. JamiiForums Tanzania Lugha pekee ambayo binadamu anaielewa ni ubabe na kipigo tu

    Huwa tunajidanganya sana kuwa binadamu ni kiumbe aliyestaarabika. Kwamba ni kiumbe anayesikiliza reasons. Kujidanganya kabisa. Kwenye saikolojia kuna kanuni inasema, "Mind gets what it want." Kuwa akili inapata inachotaka. Mfano. Kwenye mechi ya Simba na Yanga. Mshabiki wa Yanga atasema ni...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Sisi binadamu tunakubali kutawaliwa (to be controlled) na binadamu mwingine?

    Hivi kwanini Sisi binadamu tunakubali kutawaliwa (to be controlled) na binadamu mwingine -- Mfano wanasiasa, relationships, lazima mtu awe juu yetu
  7. JamiiForums Tanzania Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17. Pia soma
  8. JamiiForums Tanzania Binadamu hana jipya hapa duniani zaidi ya kuwa ni mfugo unaosubiri kuliwa tu

    Binadamu hana jipya lolote hapa duniani zaidi ya kuwa ni mazao au mifugo inayofugwa na kile kinachoitwa Mungu ili apata chakula kitakacho muhakikishia uwepo wake. Kama unavyoona unafuga ng'ombe,mbuzi,kondoo,kuku,bata n.k ili tu mwisho wa siku upate kitoweo. Pia kama unavyohangaika kulima mazao...
  9. JamiiForums Tanzania TABORA: Watu 9 wakamatwa kwa tuhuma za mauaji na kuuza viungo vya binadamu, damu ya mtu inauzwa Tsh 600,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limekamata mtandao wa watu 9 ambao wametajwa kuhusika na tuhuma za mauaji pamoja na kuendesha biashara ya mauziano ya viungo mbalimbali vya sehemu ya mwili wa binadamu. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, ACP. RICHARD ABWAO amesema mtandao huo umekamatwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo nini mpaka baadhi ya binadamu kuwa homoni za kike au kiume?

    Maandiko yanasema Mungu ndio muumba wa kila kitu, alimuumba mwanamume na baadae akaona siyo vyema aishi peke yake akamletea msaidizi mwanamke. Kuna video nimeiina mitandaoni inasikitisha sana vijana wadogo wakiume sasa ni mashoga, kuna mmoja wao wakati anahojiwa akadai amezaliwa akiwa na homoni...
  11. JamiiForums Tanzania Asilimia 97 ya historia ya binadamu haijulikani, hii iliyopo sasa ni 3% tu

    Maisha ya binadamu ya sasa hivi tuliopo inaelezwa kuwa historia yetu ilianza miaka 200,000 iliyopita, lakini hakukuwa na rekodi halisi zilizowekwa kwa kuwa rekodi za nini kilifanyika na kwa kiwango gani zimeanzia miaka 6,000 iliyopita. Hivyo kwa mujibu wa baadhi ya wanahistoria ni kuwa hiyo...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Madaraka yanapita na Binadamu tunapita hapa Duniani

    Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu, ila nimeandika kwa msukumo fulani kutoka awamu ya tano ya uongozi katika nchi yetu. Wakati wa awamu ile walitokea watu watukutu ambao hawakujali haki za wenzao na Kuna wakati waliwafanyia binadamu wenzao vitendo unaweza kuhisi sio binadamu wenzao. Kifupi...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu: Wanawake, Wasichana waendelea kuwa walengwa wakubwa

    Kila mwaka, maelfu ya Wanawake, Wanaume na Watoto hujikuta mikononi mwa wanaojihusisha na Biashara hii haramu katika Mataifa yao na Nje. Karibu kila Nchi duniani inaathiriwa na Biashara haramu ya usafirishaji binadamu Kwa mujibu wa UN, Mwaka 2018 takriban wahanga 50,000 walibainika na...
  14. JamiiForums Tanzania Idadi ya Wamasai inaongezeka. Je, idadi ya nyumbu na wanyama wengine haiongezeki? Kwanini Wamasai wasiongezeke, wao sio binadamu?

    Eneo la hifadhi ya Ngorongoro ni zao la mkataba kati ya Serikali ya kikoloni ya Uingereza na viongozi wa kimila wa jamii ya kimasai na makubaliano yalikuwa ni kwamba, wananchi wenyeji wa Ngorongoro waondoke eneo la Serengeti na wasirudi tena waende Ngorongoro Mkataba wa Serikali ya kikoloni ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ngorongoro sio sehemu ya makazi ya binadamu bali ni hifadhi ya wanyamapori

    #NGORONGORO SIO SEHEMU YA MAKAZI YA BINADAMU BALI NI HIFADHI YA WANYAMA POLI Naa Joseph #Yona Mwaka 1960 Ngorongoro Ilikuwa na Tembo zaidi ya 2000! Ila leo hii Tembo waliobaki Ngorongoro ni 30! Moja ya utajiri wa kipekee duniani ni kuwa na wanyama Mwitu kama hawa ambao sisi wabongo...
  16. JamiiForums Tanzania Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

  17. JamiiForums Tanzania Ufanano wa kutisha Kati ya vidole vya binadamu na vidole vya nyani/sokwe

    Ndio maana baadhi ya Wana nzuoni huwa wana toa hoja kwamba maandiko yanapo SEMA binadamu aliumbwa Kwa sura na mfano wa Mungu ni kwamba Kuna kitu kimepotoshwa hapo na kwamba ukweli ni kuwa binadamu aliumbwa ama alitengenezwa Kwa sura Na mfano WA Nyani/sokwe . "humans were created in the images...
  18. JamiiForums Tanzania Ndoa ndiyo taasisi hatari kuundwa duniani kwa lengo kutesa maisha ya binadamu

    Ni hivi, hakuna msomaji yoyote yule wa uzi huu ndani ya JF aliyepata furaha ya maisha kutokana ya yeye kuoa au kuolewa na hii inatokana na ukweli kwamba lengo lililojificha la ndoa ni kufarakanisha watu na sio kuunganisha watu kama watu wengi walivyoaminishwa. Baada ya kifo kitu kingine...
  19. JamiiForums Tanzania Maduka ya Dawa za binadamu yanapogeuka kuwa zahanati kwa kuendesha matibabu

    Kutokana na mfumo wa maisha ya sasa, ikiwemo hali ngumu ya maisha watu wameamua kuvunja sheria ili kujiingizia kipato kwa namna yoyote ile iwayo. Maduka haya yamegeuka kuwa zahanati kwa kuendesha shughuli za. Matibabu tofauti na leseni waliyopewa Mengi sana yamejificha nje ya maduka haya...
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti: Ongezeko la Ufisadi linakandamiza Haki za Binadamu

    Ripoti ya Transparency International inasema janga la COVID-19 limetumiwa na Nchi nyingi kama kisingizio cha kuacha kufanya ukaguzi, ikionya kuwa ipo haja ya kuharakisha mapambano dhidi ya ufisadi ili kudumisha Haki za Binadamu na Demokrasia Imesisitiza Serikali duniani kote zinapaswa kuwa wazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…