BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,408
- 11,676
Mining Watch Canada ni NGO inayo fuatilia maswala ya madini hasa ukiukwaji wa haki za bibadamu, rushwa na maswala mwengine. Hii NGO iko Canda na BARICK ni kampuni ya Canada.
Sasa Mining Watch ya Canada inakili kwenye utafiti wao walio ufanya North Mara kwamba Barick ambayo ni ya Canada ilifanya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu wakati wa upanuzi wa mgodi wao kule North Mara. Hawa ni Mabeberu wanasema Mabeberu wenzao wa Barick walikiuka sheri.
Tume ya Haki za binadamu na Utawala Bora Tanzania wanakana report ya Mining Watch, maana yake Mining Watch ni waongo wanaisingizia bure Kampuni ya kwao.
Hii tume sijajua wametembezewa bahasha za kiasua gani ila huu ni ujinga wa kiwangi cha juu kabisa.
Bado tunakenua meno kuwoana Mabeberu hawana maana kumbe maadui zetu ni watu wengine kabisa.