N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,209
- 12,510
Hawa ni watu ambao maneno mengi vitendo hakuna au vitendo vichache.
Tuna makundi naam! Manne ya binadamu leo ni hawa yellows. Wengine ni:
2. Reds
3. Greens
4. Blues
Nitawachambua mmoja mmoja.
Ila leo fahamu. Kama pale kazini kwenu unae mtu ambae ni maneno mengi, basi fahamu huyo ni Yellow.
Yellow akikaa sehemu au ofisi yake ni kama pamepigwa bomb.
Yellow anaongea sana
Yellow huwa ni muongo muongo
Yellow huwa hawezi kuipangilia siku anaweza kukumbia leo napaka rangi hili kabati na rangi keshanunua, ila ikifika saa 10 jioni utaona hata kopo la rangi halijafunguliwa!
Yellow ni janja janja kwa ufupi.
Most politicians are yellowish