bima ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Kwenye Uislam, Bima ni Haram kama ilivyo kamari

    Wanazuoni wa kiislam, wanaelimisha kuwa ni vyema muislam kujiepusha na aina zote za Bima Aidha iwe ya afya, chombo cha moto, nyumba, biashara n. K Bima ni gambling tu, yaani pata potea, Kwa tafsiri ya kiislam ni kamari maana unaweza pata usichostahiri Mfano unaweza kuweka Bima laki 5...
  2. ChoiceVariable

    Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure

    Ahadi ya Kampeni ya kuanzisha bima ya Afya Kwa wote imetimia ndani ya siku 100 za Uongozi wa Rais Samia. Ambapo Zoezi la kukabidhi kadi Kwa Wananchi walengwa wasio na uwezo wa kuchangia vifurushi linasndelea Nchi nzima na wamefurahia na mumshukuru Rais Kwa kuwajali Afya zao...
  3. A

    KERO Bima ya Afya ya NHIF kwenye kifurushi cha Toto Afya ambayo kinauzwa 150,000/= ni kero

    Nina jambo ambalo linaumiza sana aisee, ni kuhusu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenye Kifurushi cha Toto Afya ambayo kinalipiwa Shilingi 150,000/=. Mtoto wangu amezaliwa na tatizo la maji mengi kichwani (Hydrocephalus) na akafanyiwa operation Hospitali ya Taifa Muhimbili, anatakiwa...
  4. funaku

    Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita

    Hii ni historia na kumbumbu muhimu kwa Rais Samia kwa kujali afya ya watanzania hususani wa hali ya nchini. Nimeshuhudia zoezi la kuwapatia wananchi bima ya afya likiendelea nchi nzima ikiashiria ule mkwamo wa miaka mingi wa kubishania kwenye podium au bungeni umeisha na sasa ni real deal.
  5. R

    Naibu waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi: Serikali itagharamikia bima ya afya kwa wote kwa makundi maalum

    Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Ukonga Bakari Bakari Shingo, kuhusu Serikali kukemea vitendo vya kutoza gharama za matibabu kwa wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka 5, Naibu waziri wa Afya Dkt. Florence Samizi amejibu kwa kutoa ufafanuzi " Serikali inatekeleza sera ya afya ya mwaka...
  6. Roving Journalist

    Kikao Kazi cha Waziri wa Afya na Wahariri wa Vyombo vya Habari Kuhusu Bima ya Afya kwa Wote

    https://www.youtube.com/live/FWBr6vt6MjY
  7. funaku

    Hii ndio sababu inayomfanya Samia kuwa kinara wa kukumbukwa katika kuanzisha Bima ya afya kwa wote

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!! Kazi na Utu...! Kwa fahari kubwa sana na kwa tabasamu lisilo kifani na nikiwa kama mdau wa muda mrefu hapa JF mwenye kuipambania kero ya kutokuwepo kwa bima ya afya kwa wote ninayo furaha kubwa sana kutambua usikivu wa Mhe. Rais na Mwenyekiti wa CCM SAMIA...
  8. DuaZaMama

    Gharama ya Bima ya Afya kwa wote ni Tsh. 150, 000 kwa kaya, wasio na uwezo kugharamiwa na serikali

    Serikali imetangaza rasmi kuanza utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote katika awamu ya kwanza. Katika awamu hiyo, kitita cha huduma muhimu za afya kitatolewa na skimu za Bima ya Afya kwa gharama ya shilingi 150,000 kwa kaya yenye watu wasiozidi sita. Akizungumza kuhusu mpango huo...
  9. McLaren

    PostGE2025 Meneja Mawasiliano NHIF James Mlowe: Samia atazindua bima ya afya kwa wote Januari hii kwa kutoa kadi ya mfano kwa kaya maskini

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Bima ya Afya kwa Wote Januari hii, kwa kutoa kadi ya mfano kwa kaya maskini, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi yake ya siku 100 za kuimarisha huduma kwa wananchi. Uzinduzi huo utaashiria kuanza rasmi kwa utekelezaji wa mfumo wa Bima ya...
  10. bukoba boy

    Bima ya Afya NSSF

    Wadau kwema! Naomba kujua kuhusu bima ya Afya ya NSSF kwa wanachama wake.Iko vipi sababu amekuja Inspection officer wao ofisini ametushawishi tujiunge kwani ni kama bure sababu hakuna gharama nyingine zaidi ya michango.Unapewa list ya hospitali maalum kwenye mkoa husika.
  11. Fbn

    Bima ya Afya inatakiwa kuwa ni ya Serikali tu. Mfano watu milioni 62 wakilipa kwa mwezi shiling 2000. Angalia hapa

    Tanzania kuna mahali kuna shida na hizi shida sio kwao kwa watawala tuliopo nao. Ukusanyaji wa pesa ungekuwa na mpangilio mzuri hakuna mtu angeshindwa kuchangia ila mfumo uliopo sio mzuri. Fikiria kama serikali ingeweza kuweka bima ya mwezi 2000 hata chokorohaa na wasio jiweza wangelipa maana...
  12. funaku

    Waziri Wa Afya Mchengerwa kamilisha bima ya afya kwa wote tujitegemee

    Bima ya Afya kwa wote itabaki kuwa alama kuu ya mhe.Rais Samia katika Taifa letu. ameipambania hadi tumepata sheria . Chonde chonde waziri mpya wa Afya kamalizie jambo hili ukiweka akilini kipato cha watanzania wa hali ya chini... hii ni zawadi kwangu na watanzania wengi wanaoipigania...
  13. R

    Rais Samia: Tunajiandaa kuanza majaribio bima ya afya kwa wote

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Serikali inajiandaa kutoa huduma ya bima ya afya kwa wote ambayo itakua ni kuanza kwa mageuzi ya huduma ya afya nchini
  14. H

    Nilishauri kuwa kabla ya maandamano ya NRNE muandamanie bima ya afya hamkunielewa!!

    Nilipotoa wazo hili watu walijibu kwa kejeli sana sasa leo mmeandamana kwaajili ya NRNE na mmekosa matibabu kwa haraka na kwa kiwategemea walewale waliowapiga risasi kuwatibu ambapo mngekuwa na bima labda mngeweza kutibiwa kwa haraka hata hospitali binafsi kwani watu wengi wamekufa kwa kukosa...
  15. H

    GE2025 Wagombea wa Vyama Vyote mmesahau kuiweka bima ya afya kama kipaumbele

    Maendeleo ya watu siyo mabarabara au majumba ya serikali bali maendeleo ni kuwawezesha watu ili waweze kuboresha maisha yao na hasa katika kipengele cha ustawi wa afya za watu ili waweze kuwa na afya njema na kuweza kufanya kazi za uzalishaji. Ukiwezesha hili basi kodi zitaongezeka kwa watu...
  16. H

    Je waTanzania waandamane kutaka bima ya Afya kwa wote au kupinga uchaguzini?

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!! Tujitafakari!
  17. H

    Nawakumbusha waTanzania kuwa kuandamana bila bima ya Afya kwa wote ni hatari sana!!

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Tujitafakari!
  18. R

    GE2025 Ally Hapi: Siku 100 za Rais Samia Zitamaliza Changamoto za Bima ya Afya

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, leo Septemba 27 katika mahojiano ya Cafe Talk Jijini Dar es salaam, akijibu swali lililoulizwa na Mwaandishi wa Habari Charles William, amesema utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote utasaidia kuondoa changamoto...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Madeleka: Uchaguzi unafanyika kwa haki, amani, uhuru na kuaminika

    Wakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka...
  20. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Rais Samia aahidi Bima ya Afya kwa wote ndani ya Siku 100 za kwanza

    Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Mtama Mkoani Lindi kujiandaa na ujio wa Bima ya afya kwa wote, ambayo amesema ndani ya siku mia moja za uongozi wake ikiwa atapewa ridhaa na watanzania, zoezi hilo la bima...
Back
Top Bottom