Kikao maalum kwa ajili ya wanaume kitafanyika April 2, Mlimani City na kimeandaliwa na @prophetipm kikilenga kuwakutanisha wanaume watu wazima pamoja na vijana ili kujadili masuala muhimu yanayohusu maisha, maadili na juhudi za kujiletea maendeleo binafsi.
Miongoni mwa wazungumzaji ni...
Kwenye ulimwengu huu ambao kila mtu anasaka pesa ili aweze kuishi maisha mazuri na ya kifahari, hio ni tofauti kwa familia ya marehemu bilionea maarufu kule Zimbabwe aitwae Ginimbi.
Kama tunavyojua mwamba alipata ajali mbaya alipokua Anatoka kula starehe kwenye besdei ya mwnadada Mrembo flani...
Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
SASA WEWE UNAYESEMA WANANCHI HAWATUKUBALI, UNABISHA ULIKUWEPO?
Michuano Gani ambayo Haina shamrashamra, michuano inafanyika kwenye nchi ambayo watu hawana muda, marketing iliyofanyika ni ya kiwango Cha chini sana, Yan mtu anaetoka ulaya akija hawez kujua kabisa kwamba Kuna michuano ya mpira wa miguu inafanyika nchini,
Naona kabisa bilionea Motsepe ataifuta...
Jezi Kali halafu mseme ya mechi za pre season..hayo matusi aise...tunaomba jezi ya kucheza ligi kuu inayokuja basi inatakiwa iwe kali zaidi ya hizi tena mara Saba ama zaidi tofaut na hapo zikiwa hazieleweki mtazirudisha hizi hizi sokoni watu wanunue..
Jezi zinauliziwa kila Kona ya nchi, wekeni...
Mshindi mara tano wa Ballon d’Or Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa mpira wa miguu kufikia utajiri wa USD Bilioni kwa juhudi zake binafsi katika historia ya mchezo huu.
Mwaka 2020, kulikuwa na taarifa mitandaoni zikidai kuwa Ronaldo alikuwa tayari amekuwa bilionea. Lakini ukweli ni...
Late Tanzanian billionaire Mercy Anne Shangali Mengi was born a Princess of Shangali dynasty, daughter of King (Mangi) Abdiel Shangali of Machame, Kilimanjaro region , Chagga people of Tanzania. Her brother was the late King (Mangi) Gilead Abdiel Shangali
In 1971 she married late Reginald...
"Mali ninazomiliki sio zangu binafsi. Namiliki hisa kwenye makampuni. Ila sikumbuki kama ni ngapi. Mimi ni Bilionea, Nina utajiri zaidi ya Bilioni" Dr. Hamisi Kigwangalla Mbunge Nzega Vijijini.
Mabinti wawili walikua wanapiga story ndani ya daladala:
Binti 1: je ungependa mume wa aina gani ?
Binti 2: Awe bilionea ..! 🙄
Binti 1: Je ukimkosa ? 🤔
Binti 2: Awe milionea ..! 🙄
Binti 1: Je asipopatikana ? 🤔
Binti 2: Awe japo na laki tano ..! 🙄
Ghafla mvuta bangi mmoja akiwa kajilaza...
Mimi huwa nawashangaa sana , kuna vijana wanakunja mpunga huko Youtube tusiwachukulie poa. Mwaka uliopita Diamond kakunja zaidi ya bilion 6 youtube kwa nyimbo yake Diamond Platnumz earns over Sh6.8 billion on YouTube in 2024
Kwa haraka haraka kipato chake kwa mwezi ni milion 37-mpaka .milion...
Bilionea wa Zimbabwe Strive Masiyiwa anayemiliki Cassava Technologies ametangaza kushirikiana na Nvidia kujenga data centre ya kwanza barani Afrika.
Cassava Technologies inapanga kutumia teknolojia ya kisasa ya AI ya Nvidia ifikapo Juni 2025 nchini Afrika Kusini.
Pia wamepanga kujenga data...
Tumezoea kusikia wasanii wa nchi kama Kenya wakilalamika wasanii wa nje kulipwa zaidi yao lakini hawaiachi pesa iende, Huko Ghana hali imekuwa tofauti, bilionea aliita wasanii watoe burudani kwenye Birthday yake, msanii maarufu wa Ghana alipogundua wasanii wa nje wamelipwa zaidi yake alirudisha...
Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea.
Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?
Maaumuzi mengi tena yenye Unyeti anatoa Elon Musk huku Rais Trump akionekana Kukubaliana nayo hata kama Wachambuzi Nguli wa Siasa za Dunia wanasema ni Hatari kwa Ustawi wa Marekani. Kuna Clip naiona sasa Elon Mask yuko Ikulu na Mwanae na anafanya Vituko vya kila aina huku Mwanae nae akiifanya...
Kulipa Kodi ni wajibu wa kila mwananchi.
Tulipe Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu.
Mkurugenzi wa MAT superbrand hulipa Kodi na tozo mbalimbali za thamani ya bilioni hadi Saba kwa mwaka.
Je, wewe kama mtanzania mzalendo unapanga kulipa Kodi kiasi gani kama tozo na Kodi mbalimbali ili maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.