bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Makundi ya CAFCL yatamalizika kama yalivyopangwa.... CAF ni kama wameshavujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua

    Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Zanzibar bila Tanganyika

    Zanzibar imejaa fursa lukuki 1. UTALII 2. GESI 3. MAFUTA 4. KARAFUU 5. MWANI Ila ndio koti la Muungano linatubana. i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika, ii. Pesa inaliwa Tanganyika. iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
  3. W

    JamiiForums Tanzania KWELI Mende anaweza kuishi kwa siku kadhaa akiwa amekatwa kichwa chake

    Mende ni maarufu kwa ukakamavu wao, na mara nyingi hutajwa kuwa ndio walionusurika zaidi katika vita vya nyuklia. Wengine hata wanadai kwamba wanaweza kuishi bila vichwa vyao. Suala la mende kuendelea kushi hata baada ya kukatwa kichwa lipoje?
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wasiishi bila mweza, inapunguza unyanyasaji wa kingono kwa watoto

    Wanaume walio single wengi wanaishi wenyewe au wamepanga mtaani ndio wanaongoza kuwarubuni vijana au watoto kuwaingilia kinyume na maumbile. Wanawadanganya kwa pesa au simu. Wanawaonesha video za ngono na kuanza kuwashika shika sehemu zao za siri. Ndio maana sehemu nyingine hawapendi kuona...
  5. JamiiForums Tanzania Maisha ya dunia bila shetani yasingenoga

    Dunia kuna nguvu kuu mbili, umepewa free will uamue, uwe kwa shetani au Mungu. Shetani ndie mungu wa ulimwengu huu kwa wasio na Mungu. Matatizo shida vurugu kila kitu kibaya chanzo ni shetani. Kila lolote lililo baya lina uzuri ndani yake. Maendeleo ya dunia ni matokeo ya shida, shida ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Fikra potofu kuhusu watu weusi (Afrika) ambazo sisi wenyewe tunaziamini bila kutafakari kwa kina

    Habari wadau wote wa JF Hakuna kitu kibaya kama kumwacha mtu akufafanue au kukuelezea kama vile ww mwenyew hujijui. Don't let anyone define you and don't let anyone define your beliefs. Kuna baadhi ya mambo waafrika tunakua tunajiaminisha na kujilaumu bila kutafakari kama "je haya mambo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

    Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali. ================== Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kama kwenye mitandao ya kijamii wanapiga kelele matukio haya yangefanikiwa bila uwepo wa Mitandao ya Kijamii?

    Wakuu, Waziri Nape alitoa kauli hivi karibuni akisema watu waliokuwa kwenye mitandao ya kijamii wanapiga kelele tu na kwamba wapiga kura na wale wanaojielewa wanafanya mambo mengiine mtandaoni lakini sio kutumia mitandao ya kijamii. Haya ni baadhi ya matukio ambayo mitandao ya kijamii...
  9. JamiiForums Tanzania Leo Natimiza Miaka 2 Bila Kuangalia TBC 1

    Ni miaka 2 mfululizo sijakaa chini serious kuangalia TBC 1. Maisha yamekuwa mazuri na yenye furaha tele. Naamini maisha yatakuwa bora zaidi 2025 pale chama changu pendwa kitakapo kata jina na kutuwekea chuma toka Cuba.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Muda TANESCO mnakata umeme sio rafiki. Mnatesa Wananchi bila sababu

    Hivi TANESCO ndio tumekubali kuna shida lakini mkikata umeme saa 8.00 am mkarudisha 5.00 pm. Mnaona wananchi watafaidi sana. Kwa nini mkate saa 6.00 am watu wanajianda kwenda makazini na shuleni. Waoneeni huruma Wananchi ata kama ni upigaji sio kutesa wengine.
  11. JamiiForums Tanzania Miaka 20 ijayo Bila hatua stahiki tunaenda kuwa na taifa la watu kati

    Naandika kwa masikitiko sana Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara Mpaka napata kichefuchefu Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni...
  12. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama unadhihirika pale kila Jaji anapoweza kujitegemea katika kufanya Maamuzi ya kesi kwa Haki, bila upendeleo wala kushawishiwa

    Tafiti mbalimbali za Kimataifa zinaonesha Mahakama ni moja ya Taasisi zinazoongoza kwa vitendo vya Rushwa katika nchi za Afrika na Amerika ya Kusini. Ingawa dhana hii inaweza kubadilika, haipaswi kupuuzwa kwani Rushwa Mahakamani hupelekea kukosekana kwa Haki na hivyo kuharibu Imani ya Umma...
  13. JamiiForums Tanzania Betting: Niliamua kuacha kubeti baada ya kutumia zaidi ya Tsh. 450,000/- na kuambulia patupu pamoja na kutapeliwa Tsh. 100,000/-. Kuna funzo kubwa

    Mwaka 2012 mwishoni nilishawishika kuanza kubeti baada ya kushuhudia rafiki yangu aliekuwa akibeti kwa muda mrefu hatimae katandika shilingi laki 4 na elf 30 kwa dau la elf 2 pekee, nilimsindikiza kwenda kuwithdraw na kwa macho yangu niliona akipewa pesa cash taslimu, nilipagawa! Akaanza...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni faida au hasara kwa Taasisi na Mashirika ya Umma kuajiri yenyewe bila kupitia Utumishi (Ajira Portal)?

    Kwa sasa hali imebadilika taasisi na mashirika mengi ya umma yanaajiri yenyewe kupitia Portal zao bila kuhusisha utumishi au Ajira portal. Leo hiii watu wanaomba kazi TRA kupitia portal ya TRA. NSSF pia watu wanamba kupitia uko na taasisi nyengine za umma. Je, kuruhusu Mashirika na Taasisi za...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo aonya wanaosafirisha vyuma chakavu bila vibali

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dk Selemani Jafo ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaosafirisha vyuma chakavu nje ya nchi bila kibali kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Dk Jafo amesema wafanyabiashara hao wanachangia kuongezeka kwa bei za vifaa...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

    Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James. 19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile. Watu...
  17. JamiiForums Tanzania Malengo bila Pesa ni Porojo: Motivational Speakers Acheni Kulaghai Vijana

    Mara baada ya kuweka malengo yako, kitu unachopaswa kuwa nacho ni pesa za kufanya malengo yako yatimie. Vinginevyo hayo malengo yako yatakuwa kama pointi za Nyambari Nyangwine yaani Land alienation, Forced labour, Taxation, Low wages, Long working hours nk. Motivational Speakers...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kuepuka kodi (tax avoidance) bila kuvunja sheria za nchi?

    Tuwe wakweli hakuna kinachouma kama kulipa kodi na unalipa huku unajua kabisa pesa hizi haziendi kuleta maendeleo ya nchi, wanaenda kunufaika familia flani ukibisha hili soma ripoti ya CAG na angalia kinachoendelea TANESCO na sisi tunaofanya biashara za mazao huwa tunapita vijijini utakubali...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu huondoka nchini bila kuaga?

    Tangu Tundu Lissu tangu arudi nchini hii nadhani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kusema sababu yoyote hali hii sidhani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya urais. Maoni yangu ni vyema awe...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani cha ajabu ambacho bila kufanya hauwezi concentrate au kuwa comfortable kwenye mambo ya msingi?

    Huu ni uzi maalumu kuelezea tuvitu twa ajabu ajabu ambavyo kila mmoja asipo vifanya vinamnyima uhuru wa kuwa comfortable kwenye mambo yake ya msingi. Bwana bwana mimi binafasi nina kaugonjwa kangu ninako kaita"Toothpicks disease". Kutokana na tabia yangu ya muda mrefu ya kupenda kusoma vitabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…