bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wa kiharusi wafanyiwa upasuaji bila kufungua fuvu kwa mara ya kwanza MOI

    Kwa mara ya kwanza Taasisi ya tiba ya mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefanya upasuaji wagonjwa 11 wenye kiharusi na magonjwa mengine ya mishipa ya damu ndani ya ubongo bila kufungua fuvu kupitia mtambo wa kisasa wa Angio suite (Cath lab) uliopo MOI. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Iran kapiga kwenye mshono bila hata ya vita

    Israel ambaye alikuwa anajisifu yeye ni super power hakuna hata risasi inaweza kupenya, leo hi analia na kupiga kelele Iran anataka kunipiga namba mnisaidie😄 Iran kafanikiwa kushinda vita kabla hajanza, kwa kuyafedhehesha mataifa kama US, UK, France, Germany na Nato kiujumla. Kayafedhesha kuwa...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kula pesa za Watanzania bila kutumia nguvu kubwa

    1. Anzisha Chama cha siasa, piga domo upate angalau Diwani, mbunge ruzuku kama zote. 2. Anzisha huduma za maombezi na kupata utajiri, utakusanya pesa za wavivu mpaka ukimbie, 3. Betting/Bahati Nasibu ya kujishindia Mamilioni kwa kucheza kwa Tsh 500 Tu. 4. Andaa matangazo ya ajira mishahara...
  4. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Dunia ingelikwaje bila Wayahudi?

    Inakadiriwa kuwa idadi ya Wayahudi wote duniani ni milioni kumi na tano. Wanaoishi Israeli ni asilimia 41 tu. Waliosalia, asilimia 41 wapo Marekani na asilimia 18 nchi zinginezo. Idadi ya Wayahudi ni ndogo sana. Ni asilimia 0.2 ya watu wote duniani. Pamoja na uchache wao, mchango wao ni mkubwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Yanga timu mnayo kweli lakini kwanini mnaingiza mabasi uwanjani bila wachezaji na mnapitia milango isiyo rasmi, shida ni nini?

    Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani. Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa. Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas.

    Wanaukumbi. Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao mimi binafsi nawajua—hawakuwahi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa au kijeshi. Mwingine alikuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi bila pesa hayawezekani?

    Mahusiano ya kimapenzi kwa sasa kama huna pesa mwanamke atakutesa Sana Atakudharau nainawezekana akakuacha kabisa au kukawa na migogoro isiyo isha.(wanaume tutafuteni pesa) Kama kuna mtu anabisha aje na hoja au kama una chakuongezea unaweza ongezea.
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

    Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani?? Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel. Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Vanessa bila kujiondoa kwa Jux angechunda!

    Vanessa alitumia akili ya kuzaliwa kujiondoa kwenye uswahili. Akajiweka sehemu inayoeleweka. Fikiria mpaka leo angekua bado anatembelea IST na kubebeshwa unga ingekuaje?
  10. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Teknolojia: Kivuli cha Ushindi au Majuto bila muendelezo nanenane itabakia kuwa ya msimu tu.

    Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.” Lakini dunia ilibadilika haraka. Kamera za kidigitali zilikuja na ufanisi, urahisi, na ubora ambao...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili jibu la TABOA hakika nimelipenda sana kwani hata na 'Mwenyewe Mwenyewe 2025 Tena' nae anachukua kweli kweli Rushwa bila ya Huruma

    Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), Priscus John amedai rushwa barabarani kwa wakaguzi wote wa magari ni ya kiwango cha kutisha. Amesema wanaopokea wanaonekana kuwa ni Jeshi la Polisi pekee kwa sababu wanavaa nguo nyeupe lakini ipo kwa wakaguzi wote. John amesema hayo...
  12. Bila bila

    JamiiForums Tanzania TFF kutangaza Waamuzi wa ndani ya uwanja bila waamuzi wa VAR haijakaa Sawa..

    Mwishoni mwa msimu wa ligi uliopita tuliambiwa Sasa waamuzi watasaidiwa na teknolojia saidizi ya Uamzi (VAR), lakini Jana orodha ya waamuzi wa Mechi zote 2 imetoka na hatuoni wataalamu VARs. Je bado haziko tayari japokuwa AZAM TV walishatuonyesha ziko tayari? Au uwepo wake unahitaji utashi wa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Makinika, kumiliki smartphone bila kudownload BIBLIA ndani yake, ni ushamba mkuu!!

    Salaam ,Shalom!! Umeshawahi kujiuliza nini kinaweza kukutokea ikiwa utajifunga kitambaa cheusi machoni na kutembea barabara ya mwendokasi? Katika nyakati hizi tunazoishi, simu ya mikononi inachukua muda, nafasi kubwa sana katika maisha ya Kila siku, ni device ambayo muda wote uko nayo, sisemi...
  14. Mangi Meno

    JamiiForums Tanzania Katavi: Ndoa yafanyika bila Bibi harusi

    Habari hii imeripotiwa kwenye habari wikiend na UTV. Katika hali isiyo kuwa ya kawaida, kijana Edward Futakamba, mkazi wa Mpanda mkoani Katavi amejikuta akifanya sherehe ya harusi bila ya mwenza wake, ikidaiwa siku chache zilizopita familia ya bibi harusi ilighairi kufanyika kwa ndoa hiyo...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda; Kutokana na wimbi kubwa la Pisi Kali nimejikuta naukata mzizi wa Ubahiri bila Shuruti

    Shalom, Acha ukweli usemwe na pia acha ushuhuda uwekwe bayana. Binafsi kwa muda mrefu sana nimekuwa bahili hatari na nusu, ila uoto asili uliopo maeneo mbalimbali ya Tanzania umepindua meza ya ubahili. Pasipo shuruti nimejikuta napata upako wa kutoa pesa maana si kwa utitiri wa pisi kali za...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi hatafanikiwa kwa lolote lile pale TLS bila kushirikiana na Serikali. Hatakuwa masiha, akiifanya TLS mkono wa CHADEMA, atapata majibu

    Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni serikali ndio ina uwezo wa kurekebisha sheria ya T.L.S kama ikitaka, Mwabukusi hawezi kuilazimisha. Ni...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kadogosa, bila shaka kimkataba, wakorea waliotengeneza treni yetu wanapaswa kuwa wanatembea nayo kwa walau miaka mitatu ili kubaini mapungufu

    Sidhani kama hili halikuwekwa kwenye mkataba, kwamba waliotengeneza treni hiyo wanatakiwa kutoa warrant ya sio chini ya miaka mitatu, na pia, kwa muda walau wa mwaka, washiriki moja kwa moja pamoja na watanzania katika kuiendesha katika safari zake. Hii itasaidia kuhamisha maarifa kwa mafundi...
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania Makuhani wa Ukuu Bila Kuhani mkuu

    Naam Kesi ya ngedere imesumbua sana sana hadi LYAKATA akaamua achague Makuhani wa Ukuu! Lakin Kuhani Mkuu hayupo kwenye kikosi! Wakati kesi kila siku anayo huyo Kuhani mkuu, Hii ina maana gani kwake! Au kaachwa aendelee na kazi ya Kondoa Irangi kwenye mapango? Britanicca
  19. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Hivi, lile katazo la kutojenga bandari nyingine bila ridhaa ya mwekezaji, bali lipo?

    Nilikaa hapa nikafikiria, nikatamani wazo la kujenga bandari ya bagamoyo kama lingekuwepo, ikaunganishwa reli ya SGR toka dsm,bagamoyo, tanga, moshi, arusha, musoma to kenya, na bagamoyo kuunganisha na sgr hii mpa. nikakumbuka kuwa kumbe kulikuwa na kipengele cha marufuku kujenga bandari...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Toyota cup, Kumbe Yanga inaweza kuvaa logo nyekundu bila kupata mikosi.

    Kule Afrika Kusini Yanga imecheza na Kaizer Chiefs kombe la TOYOTA na kulazimika kuvaa logo ya TOYOTA kifuani mwa jezi yenye rangi nyekundu. Binafsi nilidhani Yanga inakataa logo za wadhamini zenye rangi nyekundu kwa kuhofia kupata mikosi ya kufungwa kumbe bwana hakuna kitu hicho ni hofu tu...
Back
Top Bottom