The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Chawa wana sifa kuu mbili. Kwanza, ni wanyonya damu. Na pili, hawawezi kuishi bila kuwapo uchafu
.Je, Rais Samia alipotangazia dunia kuwa 'waaacha machawa wangu' alijua madhara yake? Je, hakujua na hadi leo hajui?
Je, uchawa umegeuka sera ya CCM? Je CCM inafaidikaje na uchawa na machawa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo kwenye mipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi hizo kutumia umeme kwa ufanisi na hivyo...
Ukweli usemwe tu, Zuchu ni msanii mzuri na msanii mkubwa ila bado hajafika viwango vya kumuweka kama msanii mkubwa hapa nchini ukimlinganisha na wasanii wa kike wakubwa wa kizazi chochote kike, kilichopo na kilichopita.
Kwa kizazi kilichopo ,Zuchu hamfikii hata kidogo Nandy , Nandy anaweza...
Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake?
Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!,
Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa...
Wakuu,
Ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kitu Sisiemu wanaogopa kama Marekani na nchi za Ulaya.
Kwa haya yanayoendelea ikiwemo wizi wa kura na kuua wapinzani ni wazi kuwa ingekuwa ni amri yao CCM ingekuwa imeshafuta upinzani.
The only reason they are not doing it (kufuta upinzani) it's because...
Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam.
Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia...
Nilifika asubuhi kituo nilichojiandikisha kupiga kura nikakuta orodha ya majina yamebandikwa nje kwenye kuta nikatafuta jina langu nikaliona
Baada ya hapo nikaingia kupiga kura msimamizi wa uchaguzi akaangalia jina langu kwenye orodha ya daftari lake akalitiki bila hata kupata uthibitisho kama...
Qur'an inataja kisa cha vijana waliolala pangoni kwa muda mrefu kama mojawapo ya ishara za nguvu na hekima ya Allah. Hiki ni kisa cha "Watu wa Pangoni" (Ashabul Kahf), kilichoelezwa katika Surah Al-Kahf (18:9-26).
Maelezo ya Kisa:
1. Kukimbilia Pangoni:
Vijana hawa walikimbilia pangoni ili...
Na...
Jinsi Wewe Unavyoweza Kuanzisha Biashara yako pia!
Moja ya Changamoto ambayo Wajasiriamali wengi wamekuwa Wakipitia ni Jinsi ya Kuanzisha Biashara bila ya kuwa Mtaji.
Yaani…
Je kuna Njia yoyote RAHISI ya Kuanzisha Biashara bila kuwa na Mtaji?
Ukweli ni Kwamba…
HIYO NJIA IPO NA...
Ni kawaida manabii kutokukubalika kwao. Lipi linalotokea kwenye kuelekea chaguzi za 2024/25 kuwa ni jipya leo?
Kwamba walienguliwa wagombea, kukavurugwa kampeni, wakakamatwa wapinzani, nk?
Kwamba yote hayo ni marudio ya 2019/20?
Kwani hoja na makelele ya nguvu yalipotamalaki, hatukuahidiana...
Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Amos Makalla amesema kati ya mitaa 159 ya Wilaya ya Ilala, Jumla ya Mitaa 59 hakuna mpinzani hivyo wagombea wa CCM watapigiwa kura ya ndio na hapana wenyewe.
Makalla ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni...
Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway).
Mpaka sasa umepita muda wa miezi miwili mfululizo...
Anonymous
Thread
bilabila taarifa
elimu
elimu ya watu wazima
mfululizo
miezi
miezi miwili
mradi
sequip
taarifa
taasisi
watu wazima
wazima
Unajua inasikitisha sana, sijui wanasiasa wa upinzani wanajali zaidi ruzuku au kushika dora? Haya manyanyaso hayatakuja kuisha sababu wanaowatuma polisi kuwanyanyasa wapinzani ni makada wa CCM, hebu fikiri mkuu wa wilaya ni mkuu wa kamati ya ulinzi wa wilaya na RPC yuko chini yake na wote...
Mimi ni Mwanafunzi wa degree, nipo Mwaka wa Pili katika chuo Cha Abdurahman Al-Sumait kilichoko Zanzibar.
Mimi na wenzangu tulipata ufadhili wa masomo (Scholarship) kutoka Taasisi ya Direct Aid Society ambayo zamani ilijulikana kama African Muslim Agency (AMA) ambayo ndio wamiliki wa Chuo cha...
Kuna huyu ndugu anaitwa Malisa. Yeye pia ni sehemu ya watu wanaokusanya michango mitandaoni bila kibali chochote. Nashauri na yeye aitwe Polisi akahojiwe. Inaweza kuwa ina namna
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.