JASUSI !
Kwa uelewa wangu jasusi ni mtu anayehusika na kukusanya au kupeleka taarifa kwa siri kwa mtu, taasisi au ofisi nyingine
Mara nyingi anajua anachokifanya na anaweza kulipwa kwa kazi hiyo
Maana yake anajua kabisa mimi nafanya ujasusi kwa ajili ya mslahi fulani
Anaweza kua jasusi kwenye...