bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa machaguo yanaongezeka bila hekima utapotezwa uelekeo

    UKIWA NA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA BILA HEKIMA UTAPOTEZWA UELEKEO UKIPATA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA HII NDIO SABABU YA KESI NYINGI ZA KUSEMA KABADILIKA BAADA YA KUPATA PESA. Wengi wanashauri ni vizuri kutafuta mwenzi kabla hujapata pesa ila mimi naona huu ushauri ukiungia kichwa kichwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye amtabiri mshindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa bila goli la mkono

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri . Ameibuka kibabe na kutoa uchambuzi wake mfupi na tathmini yake fupi juu ya nani anakwenda kuibuka kidedea katika...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli kuwa CHADEMA bila Mbowe haiwezi kwenda, basi chama bado kina safari ndefu sana

    Kuna baadhi ya wanachama wamenza kuwa na wasiwasi kuwa Lisu anakipoteza Chama bora uongozi wa Mhe. Mbowe ulikuwa imara na madhubuti
  4. K

    JamiiForums Tanzania Chadema itakuwa na msimamo mkali zaidi bila kujali nani atashinda

    Chadema itakuwa na msimamo mkali zaidi bila kujali nani atashinda. Hii ni kwasababu ya chaguzi na mwenendo wa nchi kwa sasa. Kama akishinda Mbowe bado itamlazimu abadilishe mbinu. Hivyo Kama Lissu akishindwa bado sera za Chama zitakuwa za misimamo mikali. Lissu akishida ndiyo kabisa. Mbowe ni...
  5. JamiiForums Tanzania Unataka kudhibiti muda unaotumia kwenye simu Yako basi tembea bila chaji

    Kama upo addicted na kutumia simu hii ndio easy way ya kukufanya kupunguza matumizi ya simu. Ukiwa na uhakika wa chaji na mb basi ndio utaona mtu muda wote simu ipo kiganjani.
  6. JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa NIDA, Vitambulisho Milioni 1.2 Vilivyotengenezwa Kuwafikia Wananchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba 17...
  7. JamiiForums Tanzania Kiongozi yeyote anayedhani bila yeye chama hakiwezi kupiga hatua huyo hafai kabisa

    Kama wewe ni kiongozi katika chama cha siasa au taasisi yoyote kubwa na chini yako kuna wafanyakazi wengi kufikifi kuwa bila wewe kampuni au chama kitakufa basi wewe ndio utakuwa tatizo katika hiyo taasisi. Kiongozi mzuri ni yule anayeandaa watu kuwa viongozi anajua kuna kufa, kuugua...
  8. JamiiForums Tanzania Beatrice Mwaipaja, ukitaka kupona tafuta mwanaume uolewe na uachane kabisa na uzinzi

    Nawaambia walokole na watu wote mnaopata Sana mikosi Hakuna kitu kinarudisha nyuma Kama uzinzi . Dhambi ya uzinzi inaondoa kibali na unabaki kuwa mtu wa kawaida ambaye hauna impact yoyote. Beatrice Mwaipaja -uzinzi ndo umekufikisha hapo na sio huyo shetani wala mapepo . Kupata kibali cha...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Bila connections au mafungu ya asante utazungushwa kulipwa kwenye kesi uliyoshinda mahakamani ?

    Huwa nasikia watu wanashinda kesi za kulipwa fidia, Baada ya hapo huwa kuna mchakato wa Malipo. Kwenye mchakato wa kulipwa unaweza kufanikiwa kulipwa bila connections ama mafungu ya asante ? Tetesi nilizopata zimenisikitisha, kwamba inabidi utoe asilimia kadhaa 😣😓😔 ili faili lako likimbizwe...
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe ni muhimu ukajitokeza hadharani,na useme kuwa hautagombea, bila hivyo madudu mengi yatawekwa peupe

    Ni muhimu sana Mbowe atoke hadharani na aseme hata gombea vinginevyo mambo yatakuwa mengi mno ,madudu yote watanzania tutayajua, unavyozidi kuchelewa ndio siri nyingi za chadema tutazijua chini ya uongozi wako. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Adhabu wanayostahili Simba ni kufungiwa kucheza bila mashabiki

    Kwa uharibifu mkubwa uliofanywa na mashabiki wa Simba kung’oa viti vya Uwanja wa Benjamini Mkapa kipindi ambacho marekebisho mbalimbali yanaendelea kufanywa na serikali katika Uwanja huo, adhabu pekee wanayostahili Klabu ya Simba ni kufungiwa kucheza bila mashabiki kwa kipindi cha mwaka mmoja...
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka Usiishie Bila Kuanza Ujenzi Japo Hatua Moja - Vijumba vya Tofali na Bati Chache

    Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi) Zipo vyumba vitatu, viwili na kimoja Hamna nyumba ya vyumba vitatu utakayopata yenye unafuu na standard kama...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupata connection ya Ajira , Biashara, n.k. kimasihara ? aliekupa hakuhitaji chochote, mtu ambae hukumtegemea, n.k.

    katika maisha ya sasa connection ni kitu muhimu sana, lakini zimekuwa ngumu sana kupatikana ni hadi utoe kitu kidogo, uwe chawa, n.k. Je umewahi kupata connection kimasihara iwe kwa mtu ambae hukumtegemea au Bila kuombwa chochote au mazingira usiyotegemea, n.k. Nimewahi kumjua Mhitimu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Nilinunua Bugatti Chiron na kukaa nalo miezi minne na kuliuza bila ata kuliendesha wala kuliwasha!

    Nimekutana na interview moja YT, billionaire Mo akifanyiwa na YouTuber (@AhmadMaamoud Show) ambapo Mo amesema alinunua Bugatti Chiron (hajataja model year) kwa $ Mil 4 lakini alivyoenda kuicheki akaogopa speed akaiuza na anasema akapata faida ya € 500,000. Pesa aliyouza faida yake akanunua...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Katibu Mkuu CHADEMA: Bila mabadiliko, 2025 hakutafanyika Uchaguzi wowote

    Wakuu, Akiongea hivi karibuni katika mdahalo maalum ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CHADEMA amesema kuwa sio kwamba CHADEMA itasusia uchaguzi ujao bali uchaguzi huo unaweza usifanyike kabisa, Kigaila amesema kuwa bila mabadiliko ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hakikisha hautoi hela yoyote ya matumizi bila kupima DNA kwanza .

    Wake za watu wanagawa Sana kiukweli, hivyo jitahidini kupima DNA la sivyo mtawalelea Wahuni mimba na watoto.
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka 2010 mdogo wangu aliwekwa korokoroni Africa kusini bila kosa sababu ya muonekani wa kihuni mpaka kombe la dunia kilipoisha

    Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga. Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za America ,ulaya au South Africa. Unapafahamu Salanander Cafe,down town kabisa mtaa wa Samora zilipo ofisi...
  18. JamiiForums Tanzania Kuishi bila kugusa mshahara wake,Makonda anastahili kutumbuliwa haraka

    Nadhani rais Samia huko aliko anajuta kunrudisha makonda mjini. Enzi za hayati Magufuli kuna mama mmoja bosi wa kituo cha uwejezaji nchini,alitumbuliwa kwa kosa la kutotumia mshahara wake Mama huyo alikuwa akifanya kazi inayomlipa sana nje ya nchi,Kikwete akamuomba aje kujenganchi japo...
  19. JamiiForums Tanzania Wayahudi wamechinjwa sana kwenye historia na bado wapo tu, hata mtume Mohammad aliwahi kujaribu kuwamaliza

    Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
  20. JamiiForums Tanzania Waarabu wa Sudan wanaendelea kulipuana bila huruma

    Na wote kila mmoja anaamini anayafanya kwa ajili ya yule mungu wao kwenye dini yao.... At least 127 people, mostly civilians, were killed in Sudan on Monday and Tuesday by barrel bombs and shelling from the warring sides, rights activists said. The 20-month-old war between the army and the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…