Mbwichichi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 347
- 1,842
Katika misa ya Alhamisi kuu leo Askofu wetu aliyeongoza misa, katika salamu zake za siku ya alhamisi kuu amesema
“Tuendelee kuombe nchi yetu iwe na amani,kwa sababu uwepo wa amani ndio unafanya tunapata nafasi ya kuabudu kwa uhuru kiasi hiki, lakini wakati tunaiwazia amani tuhamasike kuhakikisha tunapata haki zetu, kwa sababu amani ni matokeo ya haki”
Hajafafanua kwa uwazi amelenga kitu gani lakini baada ya ibada kuisha watu walikaa kwa makundi makundi kujadiliana anamaanisha kitu gani.