bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. Watu wanaweza kudhani mambo yamemuwakia vibaya Lissu bila wao kujua kuwa amepata fursa ya kujua adui yake ili iwe rahisi kucheza naye. SIASA ni mchezo

    Siasa ni MAGAZIJUTO. Simaanishi lissu ni perfect ila nachojua mimi siasa ni sayansi ya ku-survive pale ulipo, ku-maint power yako na kutumia nafasi hio na power yako kufikia viwango vingine vya juu kuzidi ulivyo navyo kwa sasa. Hata hao G55 sio wahanga wa kitu chochote cha ovyo au uongozi...
  2. Simba atapigwa na Al Masry, mechi ameipa pressure kubwa bila sababu

    Hii mechi Simba angetuliza kichwa angeshinda goli nyingi ila ametia pressure nyingi mkiita hamasa hili ndo litawagharimu Nimeshangaa viongozi wakubwa wa Simba wakipuuza mbinu ya Al Masry aliyotumia kuwafunga goli 2 bila Viongozi wa Simba wamesema eti Al Masry ni timu dhaifu. Al Masry awe dhaifu...
  3. Deodatis Balile achaguliwa tena uenyekiti TEF, apita bila kupingwa

    Deodatis Balile amechaguliwa bila kupingwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumamosi, Aprili 5, 2025, mjini Songea, mkoani Ruvuma. Balile, ambaye alikuwa mgombea pekee, ameendelea kuaminiwa na wanachama wa...
  4. Live from Bombambili Songea: Uchaguzi Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF), M/Kiti Deodatus Balile, M/M/Kiti Bakari Machumu, Wapita Bila Kupingwa!

    Wanabodi Wahariri 200, tuko hapa ukumbi wa Kanisa Katoliki Bombambili Songea kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF) kwa ajili ya kuwachagua viongozi wetu. https://www.youtube.com/live/aikWUmkeZoQ?si=XurjnnZA5ESAjUmB...
  5. Wakuu hili jengo linaweza gharimu kiasi gani kuanzia msingi hadi kuezeka bila finishing?

    Idea ni kujenga hostel kwa ajili ya wanafunzi. Jengo la ghorofa moja. Urefu wa 25m kwa upana wa 6m. Pichani ni picha inayofanania hilo jengo ingawa hilo lina vyumba 10. Ninalotaka mimi litakuwa na vyumba 5. Makadirio ya gharama vipi kuanzia kwenye msingi hadi kuezeka bila finishing? Yaani bila...
  6. Nimewahi kuishi mwaka mmoja bila kufanya kazi yoyote ila nilikuwa nakula vizuri , nalipa kodi , nasaidia ndugu na wazazi

    Katika MAISHA kuna mambo mengi Nilikaa mwaka mmoja bila Kazi ya kuamka Ahsubui Ila mishe mishe za udalali Mara yes Mara no Ila nilikuwa nakula Navaa Nalipa kodi Nasaidia ndugu na wazazi Pasipokufanya Kazi yoyote ya mshahara Kipindi hiki nilijifunza kuwa haitaji kufanya Kazi kwa bidii ili...
  7. Huyu binti ali drop kali ya mji moja hivi alafu ghafla akapotea tena bila kuonekana

    Mitandao hii inaweza kukufanya ukawa star kwa mambo ambayo hukutarajia au ulifanya makusudi ila iikaenda ndivyo sivyo, nafikir ameamua kujificha kuiepuka aibu
  8. R

    Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  9. Askofu Bagonza: Kupoteza mtu ni kutunza amani lakini kulalamika kuwa mtu amepotea ni kuvuruga amani

    Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) KUNA MAMBO HAYAKO SAWA Kuna mambo yanayotuunganisha wote bila kujali itikadi, dini, jinsia, kabila, hali ya mtu kiuchumi, ufupi au urefu wa mtu kama mimi. Haya yote yanaunganishwa na neno HAKI au kwa Kijaluo JUSTICE. Kuna mambo 10 hayako sawa...
  10. Yanga kupewa adhabu ya kucheza mechi 3 bila ya mashabiki

    Kanuni ya 32:11 inasema timu ikifanyiwa vurugu na timu pinzani na ikathibitika hivyo, basi timu iliyofanya vurugu inaweza kupewa adhabu kadhaa na mojawapo ya hiyo adhabu ni kucheza michezo yake ya nyumbani isiyopungua mitatu bila mashabiki. Katika barua ya Bodi ya Ligi waliyoitoa kwa umma...
  11. M

    MUFTI umeongea sana kuhusu Amani nchini lakini Bila kuzungumzia Haki usia wako unapwelea

    Ndugu Mufti Zubeir Kwa muda mrefu umezungumzia sana suala la amani nchini lakini huwa huzungumzii Haki, Pamoja na ujumbe wako wa amani hata hivyo kutokuzungumzia haki kunaufanya ujumbe wako upwelee. Dini ya Kiislamu inataka amani lakini inakataza dhulma. Mafundisho ya kiislamu yanasema kuwa...
  12. John Mrema awachakaza Chadema wa mchongo wenye mdomo bila kujitolea!

    Soma mwenyewe uone toka a/c yake huko X...... Umezoea kusema uongo sana na ndio imekuwa silaha yako mara zote kushambulia watu na kuwafanyia bullying ili wakae kimya . Kwa taarifa yako siku za nyuma nilipokuwa kiongozi nililazimika kuukalia kimya uongo wako ili kulinda maslahi mapana ya...
  13. U

    Kumuamini Mungu bila kumuamini Mtume wake Mohamed ni kazi bure kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِ‏ّ شَىْ‏ءٍ عَلِيماً “Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Apostle of Allah and the Last of the prophets; and Allah is cognizant of all things.” (33:40) "Muhammad si baba wa yeyote...
  14. R

    Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

    Salaam, Shalom! Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mazuri duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, huko ni kupoteza muda, Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu na kutoamini kuwa Yesu ndiye Mungu mmoja aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu ni kupoteza muda; 1...
  15. Jamii Forums . Nyumbani,. kudos To Maxcence,Mike Mushi na Team Nzima ya Staff members Bila kusahau All members

    Laying this infrastructure was a crucial step. My first encounter with Demi Kupost picha yangu humu as if nipo Facebook... Kuwa crushed na kupewa rules and regs.. Mshana Jr na Uzi wake wa meditation... Alivyosoent his time in a Buddhist Monastery .. south Africa Uzi wa Naomba kuongea na...
  16. W

    Haya maisha bila kujitoa sadaka huwezi toboa

    Kabla sijafa masikini wana jf mnipe muongozo hilo ndo ombi langu kwenu Ninashida kubwa sana kwenye upande wautafutaji wangu. Kila nachofanya hakiendi mambo yamekua magumu sana. Najua huenda kuna watu wanashapitia hali kama na wakapata muongozo mambo yakakaa sawa ww kama mtu mzima naamini...
  17. M

    Wali bila maharage ni uharibifu wa mchele

    Jionee mwenyewe👇
  18. Vitu hivi vinamaliza pesa bila sababu za msingi, fanya hivi kuepukana navyo

    Salaam jamiiforum. Threads zangu nyingi zinawahusu zaidi vijana tena ambao hawajaoa kwani ndilo kundi ambalo lipo onfire kutokana na umri wao lakini pia hata baadhi ya watu wazima siyo mbaya tukakumbushana. 1.Acha tamaa ya kuweka pesa ili upate pesa. Ni dhahiri shahiri vijana wengi...
  19. Kujua kama mpenzi wako ana uume mdogo au la, njoo ujifunze hapa kimya kimya bila ugomvi

    Jana nimekaa zangu home mara akaja binaadam na stori zake za town Binaadam: unajua money penny, naona wadada wengi wanalalamika kibamia kibamia kwa wanaume zao, ila shida ni moja hawajui kuwapima size ya mwanaume akiwa hajatembea nae Money penny: upimaji huo ndio ukoje Binaadam: wanawake wote...
  20. R

    Ni kweli Simba wamewahi kukaa misimu zaidi ya sita bila kombe la ligi kuu ?

    Is this True maana imeniwia vigumu kuamini kwa ukubwa wa Simba
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…