The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
NIMEONA VIJANA WAMEANZA KUCHUNGIZWA KWA UTOVU WA NIDHAMU
BERKANE WAMENIPA OFF SIKU MBILI SIKWENDA KAZINI
LAKINI KWA HUU UJINGA WA SIMBA ZNZ NA UTOVU WA NIDHAMU
NATANGAZA KUPUMZIKA AIKU NNE RASMI NIKISIKIA WAMEFUNGIWA NA CAF
IWE FUNDISHO NA HTA KWA MASHIRIKISHO NA MABODI YANAYOBEBA UJINGA...
BANA WEWEE USITUKANE MAMBA UJAVUKA MTU
MSIKILIZEE MWAMBA ANAVYOSEMA
YANGA WALIVAA SHANGA
MEDALI BILA KOMBE KAMA SHANGA TUU
WAO WANALETA KOMBEEE
WAMEISSHIAA
KUJA NA SHANGA ZILE ZILE LOH
Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana
Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani na utulivu.
Jacob alikuwa mvulana mwenye hamu kubwa ya kufanikiwa. Aliamua kuanzisha biashara ndogo ya kuuza viazi karo kwenye mtaa wa jiji. Kwa bidii, alinunua viazi, kukaanga, na kuanza kuuza kwa shilingi mia moja kwa kila kikapu.
Lakini Jacob hakupenda hesabu. Alidhani kuwa biashara ni kuuza tu na...
Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri.
Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele.
Wangewapoteza milele wanaharakati wageni...
Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?. Hii ni kwa mara ya kwanza nchi kushuhudia unyanyasaji mkubwa wa binadamu kwenye utawala wa samia.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa nchi haina utawala wa sheria, jeshi la...
GTs,
Heche bila matusi utaeleweka zaidi ila ukiendelea na matusi unajilaani.
Heshimu viongozi ngazi zote, waite kwa majina ya staha. Mheshimu sana rais na taasisi zake zote. Hautapungukiwa na kitu. Jijengee heshima ya kuwa na lugha ya staha. Jenga hoja zaidi.
Pia fanyeni mchakato mje na jina...
Wakuu!
Ukurasa rasmi wa X zamani Twitter wa Jeshi la Polisi Tanzania (Tanpol) unapost taarifa ambayo wengi hawaamini kama ni za kweli, kwanza iliweka maudhui ya uchi lakini baadaye ikawekwa taarifa ya kuwa Rais Samia ametutoka.
Je, account hiyo imedukuliwa au ni polisi wenyewe wameamua...
Tangu pakuche Leo sijapata hata muda wa kutoka nje, nilikua na kazi ya kusajili trademark ta tangu juzi.
Nilichogundua ni kwamba, bila kua na taarifa hizi huwezi kusajili trademark kikamilifu.
1. Signs and Description
Hapa utajaza Jina la trademark, rangi ya trademark na mark type (kama ni...
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
Hivi kwanini simba inadharau wapenzi wa mpira Tanzania kwa kiwango kikubwa hivi na mamlaka zipo zinawaangalia
https://www.jamiiforums.com/threads/viongozi-wa-simba-ingetakiwa-mpaka-mda-huu-wawe-either-wapo-kituo-cha-polisi-au-wameshajulishwa-wito-wa-kwenda-kituo-cha-polisi.2341550/#post-53830019
Taifa limefikia hatua ya kuwa na matapeli Kila mahali, hivi kwa akili za kawaida tu CAF walijisemea tu wenyewe mechi iwe Zanzibar bila watu wetu kuwaandikia barua? Haiwezekani na haipo viwanja vipi vingi Afrika na kama maofisa wa CAF lazima walifika benja kukagua na kusema hapana basi hata...
Waafrika ni kama mtoto aliyezaliwa kiwete. Atategemea kubebwa na kulelewa kama mtoto maisha yake yote.
Nimejaribu kujiuliza hivi nini kitatokea siku wazungu wakiamua kutuacha tutembee wenyewe. Bila misaada, mikopo Wala NGO.
Na KWA nini wasifanye hivyo maana tutabebwa hadi lini?
Ukisikia kujipa matumaini hewa ndo haya Sasa
Timu limepigwa goli 2 bila kelele
Ball possession RS Berkane iliongoza 78%
Simba walicheza kama wapo pungufu
Berkane wanakuja ku press kama hawajashinda wala mbumbumbu msitegemee ati watakaza nyuma walinde
Dhahama itatokea ikiwa Simba atajifanya...
Kwa zaidi ya miaka 2000 kumekuwa na vita kubwa na kali sana kati ya utawala wa giza na utawala wa Mwanga, Mbinu nyingi zikitumika na tawala na falme za giza katika kuuondoa na kuitawala dunia kwa nguvu zote.
Shetani aliibua na anaendelea kuibua mbinu chafu za kuiteka dunia lakini uimara wa...
Hili liingizwe kwenye katiba ya nchi kabisa, ni marufuku mtu kuishi mwenyewe kama upanga maana hatuna uhakika unamaliza vipi hizo haja zako zingine.
Itasaidia kupunguza ubakaji, masingo maza, watoto wa mitaani na mambo ya ushoga.
Itasaidia kupunguza matukio ya watu kufa kwa kukosa msaada maana...
Sabato Njema!
Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana.
Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote.
Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii...
Nimehudhuria baadhi ya matamasha na LIVE SHOWS za Wasanii wetu. Ila sikuwahi kufurahia tamasha hizo kutokana na kelele zisizo na mpangilio kutoka kwa wasanii wenyewe. Mara , Kushoto Kulia, mko wapi? mara Ruka juu!, mara mnataka niendelee au niwaachie? Yote haya yanaonekana kuwa ni sehemu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.