bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani

    TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani. Walichokifanya hao wa ubunge na udiwani ndio kile kile alichokifanya Samia, kama samia kwake sio rushwa basi hawa wengine nao sio rushwa. lakini kama kwa...
  2. Jinsi ya kuishi bila kukopa kopa pesa

    Panga bajeti ya mapato na matumizi. – Bajeti inakusaidia kujua unachopata na kutumia bila kupitiliza. Tumia pesa kwa vipaumbele, si kwa mazoea au tamaa. – Tofautisha kati ya mahitaji ya lazima na anasa au starehe. Epuka maisha ya kushindana na watu wengine. – Kuiga maisha ya wengine hupelekea...
  3. Kumbe ilikua inawezekana serikali kuwasiliana na X/Twitter wakazuia maudhui ya ngono yasionekane Tamzania bila kuifungia!.

    UK wamefanya hivyo bila kuigunga X, sasa ingawa sio sababu halisi ya kufungiwa kwa X, kwanini Jerry silaa wasiwasiliane na uongozi wa X wakazuia haya maudhui wanayosema hayafai kwa mlaji kuliko kuofungia kabisa?
  4. M

    jerry spare parts and services yaja na zawadi ya ukaguzi wa gari bila malipo kwa wateja waliowahi kupata huduma kwetu!

    Kwa wateja wetu wote waliotufikia kwa huduma ya spare parts, matengenezo au ushauri wa kitaalamu – huu ni wakati wako wa kunufaika tena bila gharama yoyote! Tunatoa ukaguzi wa gari bure kama njia ya kuthamini uaminifu wako. Ni zawadi kutoka kwetu kwenda kwako, kuhakikisha gari lako linaendelea...
  5. Jerry Spare Parts Wawazawadia Wateja Wao – Njoo Upate Engine Check na free car inspection Bila Malipo!

    Habari ndugu wanajamii, Katika kuhakikisha huduma bora na kuendeleza mahusiano na wateja wetu waaminifu, Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwajulisha kuhusu ofa maalum kwa wateja wote waliowahi kupata huduma kutoka kwetu! 📢 Ndiyo! Tunatoa Free Car Inspection na Engine Diagnosis bila...
  6. 3

    Haya mambo 5 watu wa Dar wanayafanya bila aibu, ila kwa mikoa mingine ni mshangao au aibu tupu! Je, ni maendeleo au tunapotea?

    Wakuu niaje Nimekuwa Dar es Salaam kwa miezi kadhaa sasa, na kuna mambo nimeyaona ambayo kwa watu wa huku ni ya kawaida kabisa, lakini kwa sisi tuliokulia mikoani yanaweza kushangaza, kuchekesha au hata kuwa ya aibu. Je, haya ni maendeleo au tunapotea kimaadili? Hebu tujadili kwa uwazi lakini...
  7. Je, Vijana wa Kiafrika Wana Nafasi Katika Mapinduzi ya AI Bila Kuhama Bara?

    Nimekutana na kauli nzito ya mjasiriamali wa teknolojia Isaya Yunge kuhusu changamoto wanazokutana nazo wabunifu wa Kiafrika katika zama mpya za Artificial Intelligence (AI). Amesisitiza kuwa AI ni fursa ya kizazi hiki – inaweza kuleta mageuzi katika uongozi, uchumi, usalama, na hata Universal...
  8. Stanbic bank: Mkopo bila dhamana yoyote

    WAKUU kweli sisi ni NDUGU na tunaishi kama famila? Mbona hatuambiani madili kama haya. Inasemekana haitaji uwe na kiwanja au dhamana yoyote ni wewe na simu yako tu. Unavuta hadi milioni Tano, Na watu hata hamsemi imenisikitisha sana. Acheni roho mbaya tupeni utaratibu. Kwishaaaaa
  9. Kupita bila kupingwa, Kuna wenzenu hawana aibu kabisa

    Kuna mtu hawazi Wala kufikiria watu watasema nini mtoto na mwanawe kupita bila kupingwa katikati ya watanzania 65,000,000. Hata kama unasema hujui lakini hii inaweza kukulazimisha kujua. Baada ya baba wa taifa kufa, nani amebakia kutuambia acheni kufanya hivi?
  10. GE2025 Vigogo wa CCM Waliopita bila Kuwa na Wagombea wenza ndani ya chama au bila kupingwa mchujo wa kuwania Ubunge uchaguzi mkuu 2025

    Hawa ndiyo Wabunge waliopitishwa bila kupingwa kuwania kuwania ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa hawakuwa na wapinzani wowote kutoka ndani ya chama hicho. Wamepitishwa moja kwa moja kutokana na kukosekana kwa wagombea wengine waliotia nia katika...
  11. R

    Onesmo Mushi: Manabii Mwamposa, Gwajima, et al na concept ya "mapenzi" ya Mungu vinavyowasaidia WATAWALA kutawala bila WATAWALIWA kuhoji haki zao

    Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc TUAMKE...
  12. Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

    Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk Bila hela hutoboi.. Mwisho wa uchambuzi.
  13. Pesa ya Online: Jinsi ya Kutengeneza Kipato Bila Kuwa na Duka, Mtaji Mkubwa au ‘Connection’”

    Zamani, kupata pesa ilihitaji uanze na mtaji mkubwa, duka la mtaa au hata leseni ya biashara. Sasa sivyo tena. Dunia imebadilika. Leo, unaweza kutengeneza pesa mtandaoni ukiwa nyumbani — hata kwa kutumia simu yako tu. Watu wengi Tanzania wanapata maelfu hadi mamilioni kila mwezi kupitia simu...
  14. Kipindi cha yesu kulikuwa na siku ya sabato bila dhehebu la usabato, hivi leo kuna siku na dhehebu

    Siku ya sabato mwanzilishi ni mungu mwenyewe kulingana na maandiko, na inatambulika na ushahidi wa maandiko upo. Dhehebu la usabato mwanzilishi ni Ellen G White halitambuliki na biblia na hakuna kielelezo chochote kuhusiana nalo kwenye biblia zaidi ya maelezo ya kujitegemea ya Ellen G White...
  15. R

    GE2025 Kuna matamko huyategemei toka kwa Jaji wa Rufaa, anatoa haki Mahakamani! 37 millions wamejiandikisha kweli?

    Judge mzima huna aibu unasema 37 wamejiandikisha......... By all intent and purposes haiwezekani watu wote wajaiandikisha........ duniani haijawahi kutokea. Nchi za Ulaya, particularly Western, ambazo database za watu wake ziko perfect 100% unaweza ku quote data hizo ukazifaya automatically that...
  16. 💰 Jinsi ya Kutengeneza Tsh 300,000 kwa Mwezi Ukiwa Mtandaoni (Hata Bila Mtaji Mkubwa)

    Kama umewahi kujiuliza, “Nawezaje kupata kipato cha uhakika mtandaoni?” — basi makala hii ni kwa ajili yako. Watu wengi hufikiri lazima uwe na kompyuta kubwa, ujuzi mgumu au uwe na mtaji wa mamilioni ili kupata pesa mtandaoni. Sio kweli. Leo nakufundisha njia rahisi kabisa utakayoweza kutumia...
  17. CCM haitaanguka bila kusaidiwa

    Shalom! CCM haitaanguka yenyewe, Bila kusaidiwa kuanguka. Tusipowasaidia, wataendelea kutawala. Na kwa uzoefu tulionao, hawajali watu wanawaza nini ili washinde. Watafanya watakacho ili waendelee kushika dola. Walivyoweza kujipanga kwa nguvu baada ya sakata la Lowassa mwaka 2015, tulipaswa...
  18. R

    Kwahiyo kesho wanaachia X? Maana walisema hawajaifunga let us wait and see

    Wanakana hawajafunfa tweeter, ngoja tuone kama kesho tutaipata bila VPN! Proof ni moja: Ikipatikana bila VPN ujue walikuwa wameifunga
  19. Tetesi: Bila kujua CCM wanaenda kufanya reforms ndogo chamani huku wakigomea reforms za taifa.

    Wameitisha online conference meeting, lengo wabadilishe baadhi ya vipengele vya katiba yao kuelekea uchaguzi mkuu 2025 huku wakigomea mabadiliko ya sheria za uchaguzi mkuu ziweze ku suit vyama vyote kwa usawa
  20. KIOO CHA SIMU ZA ANDROID KUWEKA UFA BILA SABABU

    Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu . Ukiangalia kina ufa . Serikali kupitia TBS kwa Nini kuruhusu hizi bidhaa fake. Ukiangalia maduka mengi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…