The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
1. Polisi wafuate sheria kwasasa ndiyo wamekuwa kama serikali. Badalisha wote wa juu leta Polisi ya wananchi. Umeshangaza watu sana kumtoa waziri ambaye angeweza kukusaidia
2. Jeshi kwa jeshi hili la kichawa hatakubalika
3. Tume huru na wasimamizi wa vyama vya kisiasa waache upendeleo na...
Kuna kitu nilifanya mwaka jana ambacho watu wengi waliniona kama nacheza mchezo wa ajabu kidogo.
Nilikaa siku 100 nzima bila kuangalia saa.
Hakuna sababu maalum. Sikuamka asubuhi nikasema tu moyoni, “leo naanza.” Nikajiambia nione kama inawezekana kuishi kawaida kabisa bila kujua muda ni saa...
Kuna ile hali ambapo unaweza kuwa mbali na kwenu au kwako (japo hii haiwakuti wengi) halafu huna mawasiliano na watu wa nyumbani kutokana na sababu kama shule (kusoma boarding), shughuli za utafutaji n.k halafu unaporejea unakuta jambo lisilopendeza/ linaloogopesha au kukuumiza.
Mimi wakati...
Nimechukua muda kutafakari historia za kisiasa za Venezuela, Iran, Russia, China n.k pamoja na kuangalia Hali ya kisiasa ya dunia kwa sasa, ukweli mchungu ni kwamba katika nchi yetu ni vigumu sana upinzani halisi kama wa CHADEMA kupambana na kuishinda CCM na kuweza kuleta demokrasia.
Ukweli ni...
Kuna binti mmoja, ni mke wa mtu, lakini ananiumiza kichwa sana siku hizi. Mume wake alimfungulia duka kubwa tu awe anakuwa bize, na kwa kuwa hata mimi nina duka katika mitaa hiyo, tulianza kuzoeana kama majirani. Kila nilipopita na kumuona, sikusita kumsalimia na mara nyingi tulikuwa tunapiga...
Rais wa Marekani amesema kiongozi anayefuata wa juu wa Iran “hatadumu muda mrefu” ikiwa Tehran haitapata idhini yake kwanza ili kuchukua nafasi ya Ayatollah Ali Khamenei aliyeuawa katika shambulio la anga siku ya kwanza ya vita.
“Atalazimika kupata idhini kutoka kwetu,” Trump aliambia ABC News...
Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
ardhini
bila
imara
iran
irani
israel
kidini
kubadili
kutoka
kutokana
kuweka
marekani
marekani na israel
mfumo
mfumo wa utawala
ndani
sharia
utawala
vikosi
Mimi ni mwanachama wa mifuko kadhaa UTT na kwamba UTT wamefanya maboresho ya program ambapo program iliyokuwa inatumika zamani imefungwa tangu tarehe 01/03/2026.
Sasa tatizo lililopo ni kwamba taarifa zetu hazijahamishwa automatic toka kwenye mfumo wa zamani kuja kwenye mfumo huu wa sasa...
Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha:
Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela
Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua.
Hujiulizi ni kwanini Mungu...
Mzee wetu Donald Trump karibu utusaidie kuifungua JamiiForums kwa kumteka aliyeamuru ifunguliwe.
Mchukue uende naye hatumtaki. Turudishie waliotekwa ukifanya hivyo bandari zote za tanganyika nilizopewa bure nakupa wewe uziendeshe kwa sharti la kulegeza masharti ya kupata VISA ya marekani kwa...
Hapo vip!
Ipo hivi mimi ni mwanaume ambaye mapenzi sana sio kipaumbele kwangu.
Na nikikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi nakuwa na amani na furaha sana kwenye maisha yangu pia nakuwa mtu wakufocus sana na mipango yangu,najiamini sana,najiona nipo salama sana,pia spirituality nakuwa na nguvu...
1. Mpeni maiki mzee Warioba aitishe mchakato wa Katiba Mpya kuanzia Sasa, Lissu na Polepole wateuliwe Moja Kwa Moja kuwa wabunge wa mchakato wa Katiba Mpya, watoke huko walipo Hadi Bungeni. Wawekwe safe house chini ya uangalizi wa Serikali kwa usalama wao, wanafamilia pekee waruhusiwe kuwaona...
Hii ni argument ambayo itakubidi upate experience kubwa ya kuitazama sana siasa kwa jicho la tatu, ndiyo utagundua kwamba ni argument ambayo ni ukweli kwa asilimia 99%.
Mwaka 2010 nilipoenda pale UDSM, siasa za serikali ya wanafunzi na wanaharakati zilikuwa zinatawaliwa sana na vijana wa...
Habari, naomba kuwasilisha kero inayotukabili sisi watumishi wa Idara ya Uhamiaji, tumekuwa tukihamishwa bila malipo hali iniyopelekea kuteseka kukamilisha uhamisho.
Tunatambua kuwa sisi ni kada ya Askari lakini haiondoi ukweli kuwa sisi ni binadamu, tuna familia zinatutegemea na ni haki yetu...
CCM hupenda kusema "uhuru bila mipaka ni vurugu" kuashiria kuwa hakuna uhuru usio na mipaka.
Na CCM hutumia msemo huo kuhalalisha matumizi ya nguvu dhidi ya wanaowapinga kisiasa.
Lakini CCM huficha sehemu muhimu ya msemo huo inayosema "mipaka kwenye uhuru ni ugandamizaji".
Dhana hizi mbili...
Je, ulijua kwamba ukiwa na akaunti moja ya Gmail, kwa kweli una uwezo wa kuwa na anuani za barua pepe zisizo na kikomo? Mbinu hii inaweza kuwa na matumizi mengi muhimu sana.
Unaweza kufanya hivyo kupitia mbinu inayoitwa “plus addressing.”
Plus Addressing ni nini?
Plus addressing ni njia...
Kuna jambo ambalo linatatiza akili yangu mpaka nahisi kuchanganikiwa
Kuna siku moja mwaka jana mimi na mke wangu tulikuwa tumelala ilikuwa mida ya saa tano usiku simu ya mke wangu iliita nikapokea kwasababu yeye alikuwa tayari kwenye usingizi mzito nikasubiri aliyepiga aongee nikaona kimia...