bila kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nilivyomchangia pesa ya harusi mpenzi wangu bila kujua

    Daah ama kweli ule usemi wa fear woman una ukweli. Nilikua na mpenzi wangu mashallaah navimba naye kitaa. Mtoto kachanganyia mama mmoroni baba mbongo mweupeee. Full kuvimba naye mtaani kama hamo vile. Siku zinakatika kila siku ananihimiza nimwoe wakati mi mpango sina, (nakula kisela). Si...
  2. Unaibiwa kila siku bila kujua, umejichanganya

    MIMI; Hivi unajua unaibiwa sana kila siku, tena bila kujua? WEWE; ‘Aaah wapi! Mimi ni mtoto wa mjini, siwezi kuibiwa kizembe, wewe unaongea tuu’ MIMI; Ni kweli wewe ni mtoto wa mjini, Lakini usisahau kwamba; ‘Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu’ Na inawezekana tundu ulilonasa wewe siyo bovu...
  3. Kwanini mnawaacha watu wafikishe miaka 30 bila kujua kusoma?

    .
  4. J

    Makundi ya CAFCL yatamalizika kama yalivyopangwa.... CAF ni kama wameshavujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua

    Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila...
  5. Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

    Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James. 19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile. Watu...
  6. U

    Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

    Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu.. Hebu twende pamoja, soma na sikiliza hii👇👇👇 Mkataba wa DP WORLD ni zaidi ya mkataba tu! • Kumbe kulikuwa...
  7. S

    Logical thinking: CCM bila kujua, inapitia mapigo kama ya Farao, na lipo moja litakalokuja kuwaangusha(Pigo la 10)

    Leo naomba niwaambie CCM kuwa kwa muda sasa, wamekuwa wakipata misukosuko inayotishia uhai wa CCM na CCM kuendelea kubaki madarakani huku wao wakiwa hawaelewi. Wasichokijua CCM nii kuwa, mitikisiko wanayoipitia, ni sawa na yale mapigo 10 alioyopitia Farao aliekuwa Mtawala wa Misri kabla ya pigo...
  8. Nilivyojikuta kwenye penzi la mwanamke mwenye mshikaji wake bila kujua

    Hellow wanajf muwazima, Kwanza samahani sina uandishi mzuri ila twende kazi tutaelewana. Kabla sijakutana na huyu mwanamke nilikuwa na mpenzi wangu tuliekuwa tuna mahusiano ya kama miezi mitano so tunapendana tu pasi na shida. Changamoto. Ilianzia pale nilipohama kituo cha kazi nakuahamia...
  9. Mitungi 100 ya gesi ya January Makamba kwa ufafanuzi wa Spika Tulia ilikuwa siri, Salma Kikwete karopoka bila kujua?

    Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa...
  10. Siasa za Kulambisha Asali zinaangamiza Taifa bila kujua

    Amini naawaambieni mambo ni Magumu mno huku kitaa lakini tuliozoea kutusemea wameshalamba asali na hawajui wafanye nini. Wametugeuka sasa wanaona kazi zetu za bodaboda na uvuvi ni za hovyo. Bei za vitu zimepanda sana na Serikali imelala. Wapambe wanahakikisha Rais hajui mambo ya nchi...
  11. Nikiwa mdogo niliwahi kucheza draft na Jakaya Kikwete pale Magomeni bila kujua kuwa ni Waziri wa Fedha:Viongozi kuweni wanyenyekevu

    Sikumbuki mwaka ila nakumbuka nilikuwa mdogo ,tulitoka na mzee wangu mitaa ya kariakoo tukaelekea mitaa ya Magomeni Mapipa mtaa sikumbuki ila ni karibu na Shibam. Kufika pale kulikuwa na vijana watoto wamjini hakuna aliyezidi miaka 50,walikuwawakicheza draft,bao,zumna na kunywa kahawa Vijana...
  12. Watu kuuziwa simu za mkopo bila kujua

    Ndugu ukinunua Simu hasa simu za smart phone kumekuwa na wimbi kubwa LA watu kuuziwa au kununua Simu huku akiwa hawajui kuwa ni za kulipia baada ya wiki au siku kadhaa Simu inalokiwa huku wakishindwa wafanyeje. nyaje?
  13. Wanaume wengi wameharibu mahusiano yao bila kujua kwa kufanya makosa haya

    Ni muhimu kujua makosa ili usiyarudie/usiyafanye. Ukishaondoa makosa, kinachobaki ni vitu vizuri. Pia kuna makosa yatakayomfanya mwanamke wako kupoteza mvuto kwako. Ataanza kujitenga nawe. Nawe utaanza kulazimisha penzi mwisho wa siku anakublock, anakunyima penzi au anakuchunia kabisa. Hivyo...
  14. 2014 nilirogwa kwa kununua dawa ya mvuto mtaani, sikuwa najitambua, ponea yangu ni ndugu yangu kunijua nina tatizo na kunipeleka kwa mtaalam

    Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama kuwaharibia maksudi baraka mlizopewa pengine ili wanufaike na matatizo yenu, Ridhika na ulichopewa, Tia...
  15. Chukua dakika 3 kufikiria pale unapokuwa zuzu bila kujua

    Hello family!! Hebu fikiria kidogo kisa Cha kawaida mfano Mr X anamsema vibaya Mr Z kwa Mr Y kuwa Z si chochote ni fala hana pesa anaishi Sinza pa kishamba sana gari yake GX 100 japo iko fresh ila ya longtime kitambo yule bwege tu. Cha ajabu Mr Y anaeambiwa hayo maneno anakaa Nyumba ya...
  16. Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

    Hii kalenda tunayotumia, Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa. Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? Au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
  17. Baadhi ya maneno ya matusi ambayo jamii hutumia kwa kujua au bila kujua

    Kumekuwa na mtindo kwenye Jamii kugeuza maneno yenye mlengo wa ki matusi kuwa kama sentensi au misemo rasmi na halali kuitumia kwenye maongezi ya kawaida. Na kwa isivyo bahati kwa utitiri huu wa vyombo vya habari imekuwa ni rahisi sana kueneza misemo au mneno yenye ukakasi au matusi hata kama...
  18. Yanga ndiyo inaikomaza Simba kimataifa bila kujua!

    Ni sawa na mzazi kwenye shule ambayo mwanae anasoma na mtoto wa jirani yake. Huyu Mzazi hapendi kuona mtoto wa mwenzake anafaulu, kwahiyo anamhonga mwalimu mtoto wake apewe mtihani rahisi au kupewa majibu halafu mtoto wa Jirani yake apewe mtihani mgumu! Ni kweli mtoto anafaulu mitihani ya ndani...
  19. Nimemtongoza Mhasibu hapa Ofisini bila kujua, tumekuja kukutana Lodge

    Habari wana JF Niliingia katika mtandao wa Badoo kwa kutumia jina na picha fake. Nika search girls between the age of 20 to 35 nearby. Akatokea dada mmoja mzuri kumbe ni mhasibu wa hapa hapa ofisini naye katumia Jina na picha fake. Tukachati tukatongozana akaingia line. Siku nikiwa ofisin saa...
  20. Picha: Watanzania mnakula sana mbwa bila kujua. Usijitapishe ukiona hii picha

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…