bikra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Mkiwapima wanafunzi mimba pimeni na bikra mjue walioanza ngono ni kiasi gani

    Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii. Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
  2. Vien

    Nilipata demu wa chuo kupitia dating app, sikujua kama bado alikuwa bikra

    Huyu demu nilimpata kupitia hizi dating app kama ilivyo kawaida siku hizi. Unajua tena maisha ya sasa - watu wengi wanakutana mtandaoni, wanaongea kidogo, halafu wanaamua kuonana. Yeye aliniambia anaishi Sinza, na alikuwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili IFM. Kwa kifupi alikuwa msichana wa...
  3. Zee la madawa

    Ni ngumu kumpata bikra Kanda ya Ziwa, sijui wana shida gani

    Aisee sijui kanda ya ziwa wanawake wao wana shida gani yaani ni rahisi kumpata msichana bikra kanda ya pwani ila ngumu sana ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano ndivyo ilivyo ni ngumu kumpata bikra kanda ya ziwa hasa hasa akina mwanike wanyamwezi atleast ni rahisi na wanyaturu ni rahisi...
  4. jamaikatz

    Wanaume hawapendi kutoa bikra

    Hivi kwanini siku hizi wanaume hawapendi na waoga sana kutoa bikra za wadada ?
  5. Mr Beach Boy

    Nahisi kichefuchefu na uchafu kuoa mwanamke asie na bikra. Ntakuwa wa mwisho kuamini bikra haina maana kwenye ndoa

    Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote.. Hujui ametoa mimba mara ngapi Hujui watu waliopita nae Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende Siwezi Mtu ana makovu ya kusalitiwa alafu nije kumpa relief aaah neverrrrrr Kwa jinsi nilivyojitunza na uvulana wangu nahisi...
  6. Sigonella Island

    Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

    Ndugu zangu hasa wanaume ambao wanatarajia kuoa jambo muhimu hua mnalisahau labda kutokana na kukolezwa na mapenzi kutoka kwa mchumba unayetarajia kumuoa.. Kuna mambo ya msingi inabidi kuzingatia sana ili kulinda heshima yako na kutodharauliwa na mkeo mkiwa ndani ya ndoa.. Jambo la kwanza...
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwa mujibu wa shekhe Kishk anasema maskini wa mwisho peponi atapewa bikra walau wawili(2)

    Kumbe huko peponi kutakuwa na maskini kama huku duniani. Hili sikulijua mie wallah. Kwahiyo Allah atakuwa na ubaguzi? Aidha ameongeza kusema kuwa hata zile bikira zitakuwa zinarudi kila wanapofanya tendo.
  8. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu, Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. Ni suala litakalo iweka...
  9. tpaul

    Vatican: Mchango wa Bikira Maria ni mkubwa, lakini si Mkombozi wa Ulimwengu isipokuwa Yesu pekee

    Ofisi ya mafundisho ya Vatican chini ya Papa Leo wa Kumi na Nne imetoa tamko jipya ikieleza wazi kuwa Yesu Kristo pekee ndiye Mkombozi wa wanadamu, siyo Bikira Maria. Waraka huo unasema kwamba si sahihi kutumia jina “mkombozi mwenza (co-redeemer)” kwa ajili ya Maria, kwa sababu jambo hilo...
  10. generationn Z

    Amani ni sawa na bikra ikiondolewa hairudi

    amani ni sawa na bikra ya mwanamke ikiondoka kurudi kwake ni vigumu sana so kwa hapa tulipofikia tutarajie machafuko zaidi ya haya
  11. Penguinelli Cactussini

    Nimeachana na mchumba niliyedumu naye kwa miaka 5 kisa hana Bikra

    Sidhani kama mimi ni mzembe ila pengine nimekuwa mwema sana kwenye dunia iliyojaa hayawani. Iko hivi, miaka mitano iliyopita nilimtongoza binti mmoja aliyekuwa anavutia kwa macho ya wengi hasa kwenye maadili, alivyokuwa anaishi na watu plus kujituma kwake ukichanganya na heshima mno basi...
  12. S

    Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia 18 - 27 awe bikra

    Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni. Nicheki pm
  13. Zero Competition

    Kuna uwezekano wa kila mwanaume kuoa mwanamke bikra?

    Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye ndoa wakati tayari bikra zao zlishatolewa na wanaume wengine. Hao wanaotushauri...
  14. Think2

    Kwa zama hizi kupata msichana bikra ni kubahatisha

    Sababu ni hizi ☆ Tamthilia za kimapenzi zinachoche watoto wa kike kuanza kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa kwenye umwili mdogo. ☆ Miziki ya kizazi kipya hii ya kinazuchu😁 na nyingine kibao unakuta mziki unascene za chumbani chumbani unafiki mtoto wa kike akiona atashindwa kutamani? ☆ Social...
  15. jamaikatz

    Umemtongoza demu wa rafiki yako unaenda kumla unakuta bado ni bikra

    Hii imenitokea juzi kati kuna jamaa yangu, mmoja alikuwa demu wake mkali ,alisha wahi kunitambulisha kwa huyo demu wake ,sasa mazoea yakaanza mimi na huyo shemela ,tukawa tunaitana shem shem +kutaniana sana sasa siku moja nika jaribu kumshushia swagga akawa amejaa kwenye mfumo, kumpeleka ghetto...
  16. Zee la madawa

    Hili la wanawake kutokuwa na bikra linanichefua hasa hasa kwa hii dini yetu pendwa ya kikristo

    Ni ngumu sana tena sana kukutana na bikra Leo hii hili jambo kiukweli linanichefua sana tena sana na hii ni ngumu kukutana na bikra kwa upande wa hii dini yetu pendwa ya kikristo ni ngumu asilani abadani yaani umkute mwanamke bikra wa kikristo hilo ni mwiko kabisa tofauti na kukutana na bikra...
  17. Zee la madawa

    Kila nikitaka kuoa napata hofu, wasiwasi,kutojiamini na uchoyo(Ego)pamoja na kukosa mwanamke bikra

    Sijui nifanyeje aisee na inavyoonesha nikiendelea hivi nitaendelea kuwa bachelor aisee japo mie ni tajiri na half milionare lakini bado nakumbwa na hofu, wasiwasi,na kila aina ya matatizo nimeshindwa cha kufanya na ukiangalia umri unaenda na nakaribia third floor sasa napata wanawake na...
  18. Mr Beach Boy

    Yusuph alikuwa mme wa bikra maria, narudia mume..na akapata mimba bila kujamiiana..

    Ama kweli dini ni njia.. Yani anaitwa mume na hajawai kula tunda. Na akapata mimba Haya..
  19. Jokajeusi

    Binti wa miaka 20 ukimkuta Bikra huyo ni Wife material. Muoe. Usikubali kuoa mwanamke asiye na bikra

    coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe. Kelele za mahusiano utazisikia kwa wengine. Bikra Matter
  20. Majighu2015

    Natafuta mwanamke wa kuoa bikra

    Natafuta binti bikra ili Mungu akijalia awe mke wangu. Vigezo Umri: miaka 21 hadi 26 Rangi: Mweupe Dini: Mkristo na mwenye hofu na Mungu Elimu:Chuo kikuu Ambae anajijua ni bikra au anamjua binti ambae ni bikra karibu inbox tuyajenge. Nipo serious
Back
Top Bottom