bikira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tumsifu YESU KRISTO jumamos ya kesho tarehe 14 tutasherekea kupalizwa mbinguni kwa mama yetu HANGAYA bikira mariam

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tumekombolewa kwa mateso makali sana ya mwana wa MUNGU YESU KRISTO ambaye alipitia katika tumbo la mama bikira isaya 7:14 na pia soma isaya 9:6 Mama huyu bikira alizaliwa katika mji wa daudi mnamo miaka 700 toka nabii isaya kuishi alizaliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Bikira Maria mama wa Yesu Alikufa ?

    Bikira Maria mama yake Yesu alikufa?
  3. JamiiForums Tanzania Bikra is Overrated

    Nimeona huku watu wako so desperate kupata bikira mpaka kutaka kuoa young girls vijijini huko... Sawa utampata kigori huko kijijini, akija mtu huyu huwezi hata kufanya discussions nae sababu mko class tofauti, hamuwezi kuwa level moja mkadiscuss maendeleo...more likely kwanza umemzidi elimu...
  4. JamiiForums Tanzania Men's talk: unaoa tabia, shape au bikira?

    Mvuto wa Muda Mfupi" dhidi ya "Uimara wa Muda Mrefu Shape hubadilika (baada ya uzazi au umri), na bikira hupotea siku ya kwanza ya ndoa. Lakini tabia—hekima, heshima, uvumilivu, na jinsi anavyoweza kuisimamia familia—ndio inayobaki. "Shape inakuvuta chumbani, lakini tabia ndio inakubakiza sebuleni
  5. JamiiForums Tanzania Be The First To Know: Habari Njema Toka Vatican, Litania ya Bikira Maria: Imeongezwa Vifungu Vitatu vya : Huruma! Matumaini na Faraja!.

    Wanabodi, Hii ni ile the JF Advantage of "Be The First To Know", kuna habari njema kutoka Vatican City, ile sala ya Litania ya Bikira Maria ambayo huwa inasomwa kwenye Jumuiya Ndogo Ndogo zote za Katoliki kwa mwezi mzima wa May na October, imeongezwa vifungu vipya vitatu vya Huruma! Matumaini...
  6. JamiiForums Tanzania Deo Kisandu (Civilian Coin) atangaza kuoa mwanamke bikra

    WARAKA WA WAZI: CIVILIAN COIN ATANGAZA KUOA MWANAMKE BIKIRA( MSICHANA BIKIRA). Salam, nachukua fursa hii kuitangazia Dunia kuwa sijawahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na mwanamke bikira katika maisha yangu na hivyo kwa nyakati hizi nimeamua kufuata Mila na desturi za kabila Langu la kisukuma...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

    Mabroo tunaposema muoe bikira mjue tunawatakia mema. Eti ana degree tutasaidiana maisha, sawa mwanetu
  8. JamiiForums Tanzania Mke mwema anatoka kwa Bwana sasa kwanini asiwe na bikira yake?

    Kama tunaamini kabisa kuwa mke mwema anatoka kwa Bwana iweje huyo aliyetoka kwa Bwana asiwe na bikira yake? Ni nani huyo aliyeitoa bikira yake? Hapa utamkuta mlokole na mshika dini anakuambia Mke mwema anatoka kwa Mungu na huyo mke wake hana bikira inawezekana vipi ndg zangu? Ebu tuweni na...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

    Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua. Hujiulizi ni kwanini Mungu...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake karibia 90% waliozaliwa 2000s wametolewa bikira na walimu

    Kura yako, haki yako, jitokeze kupiga kura Moja kwa moja kwenye mada, swala la bikira limekua gumu sana kulipata kwa wasichana wengi katika dunia ya sasa si Tanzania wala popote pale mabinti wanapoteza ubingwa wa makombe yote mawili hata kabla ligi haijaanza. Sasa basi katika tafiti zangu...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeachana na mchumba niliyedumu naye kwa miaka 5 kisa hana Bikra

    Sidhani kama mimi ni mzembe ila pengine nimekuwa mwema sana kwenye dunia iliyojaa hayawani. Iko hivi, miaka mitano iliyopita nilimtongoza binti mmoja aliyekuwa anavutia kwa macho ya wengi hasa kwenye maadili, alivyokuwa anaishi na watu plus kujituma kwake ukichanganya na heshima mno basi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wasabato wanawake wakristo wengi wanavaa "Nusu uchi" wameacha kuiga mfano wa mavazi ya Bikira Maria

    Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k. Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti, Kimini, vigauni vinavyochoresha, Pedo, Kitop, n.k. wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Imam wa Ujerumani: Ukimalizana na bikira mmoja, anayefuata atakuwa tayari kwa ajili yako. Mabikira hao hawataoneana wivu

    Imamu Muislamu nchini Ujerumani amesema:
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini hekima za kale pia hata maandiko zilisisitiza ndoa za wanawake bikira

    Katika tamaduni nyingi za kale, hasa barani Afrika, wazee wetu walithamini sana mwanamke anayehifadhi usafi wa mwili wake – si kwa sababu ya mila tu, bali kwa sababu walijua fumbo la nishati lililojificha katika tendo la ndoa na nguvu ya kwanza ya muungano. Katika ulimwengu wa kiroho, mwili wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania agano la kale ndio lina sheria ya fungu la kumi leo hii makanisa yanalidai, ila pia limekataza kitimoto,bikira tu ndie aolewe, why makanisa hayafati?

    habari wadau. naombeni mnijibu kwa nini leo hii wachungaji kanisani wanafata mistari ya biblia ya agano la kale kukusanya sadaka za fungu la kumi kwa waumini wao, na wanasisitiza ni sheria ya Mungu usipotoa ujue unamuibia mungu. ila sheria zingine za agano la kale wachungaji na makanisa...
  16. JamiiForums Tanzania MAKAMU WA RAIS: Philipo mpango mama bikira Maria ni mama wa taifa letu la TANZANIA, ni msimamzi wa taifa letu Tanzania

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU MWENYEZI aliye juu sana , aketiye mahali pa juu palipoinuka, yeye aliye mwenze enzi, aliye ziumba mbigu na nchi, BABA mwema na mkarimu sana na mwenye huruma nyingi kwa watu wake yeye ambaye alimtuma mwanae wa pekee aje atukomboe Jana nikiwa nasikiliza habari...
  17. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa kwa Bikira Maria pamoja na malezi yake

    Habari zenu wakuu, Leo nataka tujifunze yaliyotokea wakati wa kuzaliwa kwa Bikira Maria pamoja na malezi yake hadi pale alipotokewa na malaika na kujulishwa kuhusu kumzaa Yesu. SURA YA 1 1 Uzazi wa Mariamu 7 Yoakimu baba yake na Ana mama yake wanakwenda Yerusalemu kwenye sikukuu ya kuweka wakfu...
  18. JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

    Hii imekaaje wakuu, mbona km tumeoa wake za watu?
  19. JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

    Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao. Wapo wanaojua nini maana ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…