Bikira Maria mama wa Yesu Alikufa ?

Bikira Maria mama wa Yesu Alikufa ?

Biblia haijasema kama alikufa au kutwaliwa kiuhalisia tu alikufa
 
Hakuna kaburi linalojulikana kuwa ni lake duniani, sijui kama nimejibu swali lako.
Kuna historia zinasema kaburi lake lipo, pia kwa Mary Magdalene na Elizabeth.
 
Kuna historia zinasema kaburi lake lipo, pia kwa Mary Magdalene na Elizabeth.
Historia kila mtu anaandika anachotaka maana hizo historia zina makaburi mawili tofauti ya Maria (Jerusalem na Efeso). Ina maana walimgawa vipande?
 
Alikufa
kila nafsi hapa duniani inakufa hata yesu alikufa

Wote tutakufa siku moja!
 
Yesu na mama yake wote walikufa na kuliwa na mchwa ,ila kwa imani unaweza sema walapalizwa mawinguni
Bwashe huwa nachanganyikiwa kwani Yesu ni Mungu au Mwana?
Kama Mungu nae Mungu anakufaje?
 
Bikra Maria alibarikiwa kwanza kabla ya Yesu mwenyewe kubarikiwa. Kwahiyo Yesu aliyepata baraka kutoka kwa mama yake, hawezi kuliacha liozee kaburini sanduku la agano Luka1:42. Nashangaa wafuasi wa Ellen G. White huwa wanamuita bahasha iliyobeba barua na kutupwa. Wakati kati ya wanawake wote duniani yeye pekee ndo anajua jinsi ya kutuombea sisi kwa Yesu Yohana2:1-11
 
Back
Top Bottom