bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka Zanzibar kuja Dar

    Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka zanzibar kuja Dar, mfano Tv na baiskeli. Nategemea kuanza kuuza Tv na kukodisha baiskeli huku mkoan, hivyo nimeona kunagharama nafuu sana kupata bidhaa hiyo Zanzibar japo sijajua utaratibu upoje. Hii ni kutokana na kodi za nchi yetu ni kila...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa

    Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa ili kuwapa moyo wabunifu na kuinua uchumi wa nchi. Ameyasema hayo Juni 10, 2022 Jijini Dodoma wakati alipomwakilisha Dkt. Philip Mpango, Makamu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Nikiuza bidhaa kwa lipa namba, nakadiriwa kodi tena?

    Wadau, Kama nikiuza bidhaa zangu, hasa online kwa lipa namba za Mpesa, Tigopesa au whatever, je, VAT au kodi inajikata yenyewe na mimi kubakiwa na changu (kwa maana mtandao wa simu ndio utawasilisha kodi TRA) au nitatakiwa kulipa kodi kwa ile hela iliyoingia kwangu?
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Hajui mfumuko wa bei bidhaa mbalimbali hadi Rim paper (47000-120000)?

    Hii nchi uzuzu umefika pabaya sana, serikali imeacha mambo ya msingi yaharibike. Inahangaika na punguzo la bei za petrol inajisahau bei za bidhaa na huduma zingine ambazo baadhi mfumuko wake wa bei ni wa umakusudi kbsa kutumia fursa ya utopolo wa watendaji na viongozi. Badala ya serikali kuunda...
  5. JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
  6. JamiiForums Tanzania Fursa usafirishaji wa bidhaa kwenda visiwa vya Comoro

    Biashara ya usafirishaji wa bidhaa Kati ya Tanzania kwenda visiwa vya Comoro umeendelea kuwa changamoto kutokana na uchache wa Vyombo na baadhi ya vyombo kutokidhi uwezo wa speed na uhitaji wa Mzigo kufika haraka. Mizigo inayotoka Tanzania kwenda Comoro ni Vyakula, Vinywaji,vifaa vya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Masaada bidhaa za supermarket

    Kama kuna mtu anaweza kunisaidoa jinsi ya kupata bidhaa za supermarket saada, Nilikuwa nahitaji kuaanza hii biashara kwa kutafuta tenda katika supermarket. 0678 36 77 07
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania Tax regime inahitaji mabadiliko ya kimawazo, bidhaa zile zile majirani bei ni ndogo kuliko hapa kwetu!

    Msimamo wa Tax regime ya nchi yetu ina matatizo Ya kimtazamo. Tax-kodi inakuwa set for maximum extraction, yaani kodi zetu zinajaribu kufyonza fadha kubwa iwezekanavyo toka kwa mfanyibiashara au any business deal kiasi ambacho bei ya bidhaa zetu zinapanda bei hadi kukosa ushindani. Hili ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Lightbox kupigia picha bidhaa

    Natafuta lightbox kwaajili ya kupigia picha za bidhaa. Lightbox ndogo kwa picha za viatu na mikoba. Au kubwa za kupiga magauni ya kike. Kama unafahamu mahali zinapatikana kwa Dar au Mwanza nitashukuru sana.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bidhaa za Afrika kwa njia ya mtandao wa Internet kupanua mauzo ya bidhaa za Afrika nchini China

    Fadhili Mpunji Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu jinsi ya kuagiza bidhaa Amazon

    Msaada ndugu zangu naomba mnipe procedure za kuagiza bidhaa kwa kutumia Amazon. Wana free delivery au?
  12. JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha App ya kukopa ,kununua bidhaa za majumbani

    Wasalaam Nilikuwa nadiscuss na dada angu wa faida kuhusu kuanzisha platform ya kuakutanisha watu wenye vipato mbali mbali hasa kipato cha kati na chini ,ila wana uhakika wa kipato hata kiduchu na ni waaminifu, Hii platform itaenda na wakati mtu akijisajili anajisajili na details zake ikiwemo...
  13. JamiiForums Tanzania Shusha BEI ya bidhaa zako kabla hujalazimishwa kushusha na Mpinzani wako

    Katika biashara kila mfanyabiashara anafanya biashara yake kwa namna alivyowekeza pesa zake,muda na akili yake eneo hilo. Baada ya kujua pesa aliyowekeza,muda aliotumia,gharama zote mpaka bidhaa inamfikia mteja ndipo mfanyabiashara hupanga bei ya bidhaa zake. Wafanyabiashara wengi 80% sio...
  14. JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bidhaa ninayoweza kufungasha kwa hivi vifungashio na nikauza nikapata pesa

    Habari wajasiriamali wenzangu,naomba msaada tafadhali kwa hivi vifungashio hapo chini kama nitaondoa hizo label na kuunda yangu na kubandika,ni bidhaa gani haswa naweza kufungasha na nikauza na kupata faida maeneo ya dar es salaam na morogoro mjini?! nawasilisha🙏
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu wa kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi

    Samahani naomba ufafanuzi kuhusu kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi,hatua za kufuata Ni zipi
  17. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Ubakaji umeongezeka sasa sababu wanaume wanashindwa kununua mapenzi, mapenzi ni bidhaa

    Mbunge wa Iringa mjini Jesca Msambatavangu amesema ubakaji na ukatili wa kijinsia kwa watoto umeongezeka kipindi cha hivi karibuni Sababu ya kuongezeka huko mbunge huyo ametaja ni kutokana na wanaumne wengi njia zao za kujipatia kipato kuharibiwa na sera ambazo sio rafiki na kushindwa kupata...
  19. JamiiForums Tanzania Bidhaa zinatotengenezwa kutokana na zao la mkonge

    Ningependa kuwafahamisha kuhusu bidhaa mbalimbali zinazoweza kutengenezwa kutokana na zao la mkonge lililochakatwa na kutengenezwa nyuzinyuzi (fibres). Nyuzinyuzi hizi baadae hutengenezwa kamba pamoja na mazulia makubwa. Miongoni mwa bidhaa hizo zinazoweza kutengenezwa kutokana na mazulia hayo...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Serikali inayowaza kumnyonya Mtanzania kwa tozo haitawaza kupunguza kodi kwenye bidhaa ili kupunguza mfumuko wa bei

    Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini. Serikali hii inachowaza ni kupata pesa ili wao waendelee kunufaika ndii maana wamelundika tozo na kodi za kila aina, zingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…