biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakati Netanyahu atumia mistari ya biblia kuhalalisha vita ndani ya Gaza, Erdogan asema Hamas ni chama cha ukombozi wa Wapalestina

    Tuombe waungaji mkono wa Israel wakubali kusitisha vita haraka kwani dunia inaelekea kuwa nyeusi kutokana na vita vitakavyoleta majonzi kwa kila mtu. Hali hiyo imedhihirika katika kuchanganyikiwa kwa viongozi wa Israel,Marekani na Uiengereza na kushindwa kutambua kuwa wao ni watawala tu wa nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Ni Aya au story gani katika quran au Biblia zilizokusaidia wakati wa shida au kufaulu mitihani ya maisha?

    Lengo la hivi vitabu ni kukusaidia kuvuka hatua moja ya chini kwenda nyingine bora ya juu. Vikitumika nje ya hapo ni matumizi mabaya. Mimi Aya hii iliwahi kunisaidia kipindi ninaumwa na sikuwa na msaada wa karibu. Nilipona bila kwenda hospitali nikiamini Kila ninachokula na kunya hata kama...
  3. JamiiForums Tanzania Sasa ni mwendo wa kutumia maandiko ya Biblia kupiga hela!

    Leo nimepita kituo cha mwendokasi cha mbezi mwisho! Hiki kituo kilikuwa na utitiri wa watu wanaojinasibu wanahubiri injili ilihali ni kutafuta hela kwa njia ya sadaka! Sasa leo nimekuta spika kubwa ya kiwete akitumia maandiko ya Biblia kuhalalisha kuchangiwa! (Matayo 25:40) Kitendo hicho bila...
  4. JamiiForums Tanzania Ujio mpya wa Ndugu Paul Makonda ndani ya CCM ni mfano wa Injili ya Mtume Paulo katika Biblia

    Kipekee kabisa natumia fursa hii tena kuutazama uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama dhamira njema ya Rais SS Hassan kuisogeza CCM karibu na wananchi hasa katika kusimamia watendaji wa serikali ili CCM kupitia Serikali yake iweze kutimiza ahadi zake na malengo kwa...
  5. JamiiForums Tanzania SOMA: Namna BIBLIA ilivyotabiri kipigo cha GAZA na Majirani zake, na namna GAZA ilivyokuwa ikisurubiwa toka enzi za manabii

    Mimi kama muhaya, nshomile kutoka Uhayani Republic, imenibidi niingie chimbo kuleta maelezo kamili juu ya hii vita ya Israel na palestina ambayo kuna watu wanadhani Gaza inapigwa kwa bahati mbaya. Ukisoma maandiko ya agano la Kale (Old Testament) katika biblia na vitabu vya kiyahudi Torah na...
  6. JamiiForums Tanzania Mungu wa kwenye Biblia ameua watu wengi kuliko shetani. Shetani kaua watu 10 tu

    Ukisoma Biblia utaona kuwa mungu wa biblia sio mungu wa amani anayetaka watu waishi bila shida. Ni mungu wa mauaji na mateso. Kuna analysis ilifanywa na wataalamu wa statistics kuona kati ya mungu na shetani, nani ameua watu wengi kwenye biblia. Kwenye biblia nzima, kuanzia kitabu cha mwanzo...
  7. JamiiForums Tanzania Natumia Biblia kutatua changamoto ( Updates: Kwa sasa sifanyi tena hii kazi)

    OUR PRODUCT -BIBLE CODE (Luka 24:45) zimekua digested kutoka kwenye biblia kwa uongozi wa Roho mtakatifu kwa lugha nyingine hazibuniwi ndo maana chini yake kuna mstari wa biblia. PM NIMEIFUNGA Kama una-ushuhuda Mungu amekufanyia baada ya kutumia bible code share huku usiogope., na kama una...
  8. JamiiForums Tanzania Ni mstari gani kwenye biblia unautumia sana upitiapo nyakati ngumu katika Maisha

    Bwana wetu Yesu kristo asifiwe wana Jf Katika maisha yetu hapa duniani kuna wakati tunapitia nyakati zilizo na mambo magumu sana, kiasi kwamba kwa uwezo wetu unakosa majibu na kubaki kujiuliza maswali magumu yasiyo na majibu. Nyakati kama za Kufukuzwa kazi, Ugumu wa maisha, kupoteza wapendwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kama haufanyi hivi Biblia bado haikusaidii kiroho kushinda wachawi na majini.

    Kuna makosa mengi watu wanafanya. 1: Kutumia kitabu cha biblia kama ulinzi dhidi ya wachawi au majini ni kuifanya kama irizi. 2: Kukariri mafungu alafu uyatumie kutetea dini, kubishania au kuonyeshq umwamba wako wa kukariri haisaidii. UFANYE NINI SASA Soma biblia, weka kwenye kumbukumbu...
  10. JamiiForums Tanzania Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  11. JamiiForums Tanzania Biblia ina mifano Mingi ya Wafalme Walioshauriwa Vibaya. Mmoja ni Huu.

    “Watanzania wanaopiga kelele mitandaoni wako asilimia 16 tu na kati ya hao, asilimia 40 wako nje, na wala hawana mpango wa kurudi nchini”. Baada ya mfalme Solomon kufariki na Rehoboam kumrithi, washauri wazee wenye hekima waliopata kufanya kazi na Solomon walimshauri Mfalme mpya awe mwema...
  12. JamiiForums Tanzania Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

    Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU. Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini? Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana? Watunzi...
  13. JamiiForums Tanzania Je, maneno na watu wa kibiblia kwenye Qurani ni Copypaste za kwenye Biblia?

    Quran imetaja majina ya watu ambao tayari biblia ilishawataja zamani miaka zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam. Quran imetaja story zinazofanana na story za kwenye biblia au maandiko ya kiyahudi yaliyokuwepo miaka zaidi ya 2000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam. Nini chanzo cha...
  14. JamiiForums Tanzania Huu ndio mtiririko wa utajiri wa waumini wa dini 4 zinazoamini Biblia. Wa mwisho watakushtua.

    1: Uyahudi (Judaism). Hawa ndio wanaoongoza kwa utajiri kwani wao wanaamini torah (vitabu vitano vya Musa) vina sheria 613 ambazo ni code za utajiri ukizitumia maishani. Pia wanaamini TANAKH (Yoshua hadi malaki) pamoja na vitabu vyao vinavyotafsiri maandiko hayo kuna siri kubwa za utajiri...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Watu weusi ndani ya biblia hawakuwa watumwa bali watu wenye ushawishi mkubwa

    1: Mwanamke Zipora Alikuwa mke wa kiongozi bora wa taifa la kiyahudi, Musa. Alikuwa mweusi. Ushauri wake uliongeza ufanisi wa wayahudi. Baba yake Alikuwa na akili kuliko Musa. Yeye ndiye alimfundisha ugatuzi wa madaraka Musa na Mungu akamwambia Musa aufuate asiupotezee ushauri wa baba mkwe.. 2...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania kukumbwa na mvua za El Nino

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imethibitisha kwamba nchi hiyo inatarajiwa kukumbwa na El Nino ambayo huambatana na mvua kubwa kutokana na ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki katika bahari ya Pasifiki. Meneja utabiri wa Mamlaka hiyo, Dr. Mafuru Kantamla amesema ...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Shida ilivyonichochea kuwa mlafi wa kuisoma Biblia

    Shida haina adabu! Huo ni usemi ambao nilizoea kuusikia kwa wakubwa nilipokuwa mdogo. Lakini baada ya kuwa mtu mzima, nimebaini kuwa japo shida si nzuri, lakini wakati mwingine huweza kukusababisha kukutana na mambo mazuri. Miaka mingi imeshapita, lakini ningali nikikumbuka jinsi changamoto...
  18. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Serikali ya Sweden kumpa kibali muislamu kuchoma Biblia na Torah nje ya Ubalozi wa Israel ni kitendo cha kijasiri sana

    Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq mwezi uliopita ni kitendo cha ujasiri sana. Na pia kimeonyesha pasipo shaka wazungu wako mbali sana...
  19. JamiiForums Tanzania Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

    Rais wa Israel amelaani kitendo cha Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Torah Kumbuka hivi karibuni Sweden ilitoa kibali cha uchomaji wa quran. Sweden inasema ni haki ya mtu kufanya anachokitaka ili mradi havunji sheria. Updates Jamaa aliekua achome Biblia na Torah kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Maswali yanayojibiwa na hichi kitabu ni Mengi sana, mfano... 01. Upendo vs Maovu Biblia imeelezea sana hili neno upendo, faida zake na hasara zake, ni kwanini mwanadamu anapenda na n.k Tabia ya mwanadamu ni ubinafsi, uchoyo, wivu na mengine mengi Historia kubwa ya uwovu inapatika humo, taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…