biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kufanya kazi ya Mungu

    Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kwao kufanya kazi ya Mungu wanabaki mijini Pia wapeni masharti wanafunzi wapya kuwa hawatapewa uchungaji hadi wafungue matawi vijijini wachunge si chini ya miaka mitatu...
  2. Hashpower7113

    JamiiForums Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

    Katika kitabu kitakatifu cha Biblia, Marko 10: 25 inasema: Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu. Wanachokielewa wengi, wakiwemo baadhi ya watumishi wa Mungu, ni kwamba ngamia anayezungumziwa hapa ni yule mnyama mwenye nundu kubwa...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Ufunuo wa Yohana ndo kitabu cha hovyo katika Biblia

    Kitabu kinajiita ufunuo halafu ukikisoma hukielewi,. Sasa pale yohana alitaka kufunua au kuficha Zaidi? Naona Kama ndo kaficha Zaidi. Knowledge haitakiwi Kuwa hivyo, inatakiwa iwe wazi ili sisi wasomaji tupate uelewa na nafasi ya kuboresha au kupinga au kukubali kilichoandikwa. Nadhani ndo...
Back
Top Bottom