biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama haufanyi hivi Biblia bado haikusaidii kiroho kushinda wachawi na majini.

    Kuna makosa mengi watu wanafanya. 1: Kutumia kitabu cha biblia kama ulinzi dhidi ya wachawi au majini ni kuifanya kama irizi. 2: Kukariri mafungu alafu uyatumie kutetea dini, kubishania au kuonyeshq umwamba wako wa kukariri haisaidii. UFANYE NINI SASA Soma biblia, weka kwenye kumbukumbu...
  2. Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  3. Biblia ina mifano Mingi ya Wafalme Walioshauriwa Vibaya. Mmoja ni Huu.

    “Watanzania wanaopiga kelele mitandaoni wako asilimia 16 tu na kati ya hao, asilimia 40 wako nje, na wala hawana mpango wa kurudi nchini”. Baada ya mfalme Solomon kufariki na Rehoboam kumrithi, washauri wazee wenye hekima waliopata kufanya kazi na Solomon walimshauri Mfalme mpya awe mwema...
  4. Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

    Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU. Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini? Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana? Watunzi...
  5. Je, maneno na watu wa kibiblia kwenye Qurani ni Copypaste za kwenye Biblia?

    Quran imetaja majina ya watu ambao tayari biblia ilishawataja zamani miaka zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam. Quran imetaja story zinazofanana na story za kwenye biblia au maandiko ya kiyahudi yaliyokuwepo miaka zaidi ya 2000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam. Nini chanzo cha...
  6. Huu ndio mtiririko wa utajiri wa waumini wa dini 4 zinazoamini Biblia. Wa mwisho watakushtua.

    1: Uyahudi (Judaism). Hawa ndio wanaoongoza kwa utajiri kwani wao wanaamini torah (vitabu vitano vya Musa) vina sheria 613 ambazo ni code za utajiri ukizitumia maishani. Pia wanaamini TANAKH (Yoshua hadi malaki) pamoja na vitabu vyao vinavyotafsiri maandiko hayo kuna siri kubwa za utajiri...
  7. P

    Watu weusi ndani ya biblia hawakuwa watumwa bali watu wenye ushawishi mkubwa

    1: Mwanamke Zipora Alikuwa mke wa kiongozi bora wa taifa la kiyahudi, Musa. Alikuwa mweusi. Ushauri wake uliongeza ufanisi wa wayahudi. Baba yake Alikuwa na akili kuliko Musa. Yeye ndiye alimfundisha ugatuzi wa madaraka Musa na Mungu akamwambia Musa aufuate asiupotezee ushauri wa baba mkwe.. 2...
  8. Tanzania kukumbwa na mvua za El Nino

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imethibitisha kwamba nchi hiyo inatarajiwa kukumbwa na El Nino ambayo huambatana na mvua kubwa kutokana na ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki katika bahari ya Pasifiki. Meneja utabiri wa Mamlaka hiyo, Dr. Mafuru Kantamla amesema ...
  9. F

    Shida ilivyonichochea kuwa mlafi wa kuisoma Biblia

    Shida haina adabu! Huo ni usemi ambao nilizoea kuusikia kwa wakubwa nilipokuwa mdogo. Lakini baada ya kuwa mtu mzima, nimebaini kuwa japo shida si nzuri, lakini wakati mwingine huweza kukusababisha kukutana na mambo mazuri. Miaka mingi imeshapita, lakini ningali nikikumbuka jinsi changamoto...
  10. Kitendo cha Serikali ya Sweden kumpa kibali muislamu kuchoma Biblia na Torah nje ya Ubalozi wa Israel ni kitendo cha kijasiri sana

    Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq mwezi uliopita ni kitendo cha ujasiri sana. Na pia kimeonyesha pasipo shaka wazungu wako mbali sana...
  11. Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

    Rais wa Israel amelaani kitendo cha Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Torah Kumbuka hivi karibuni Sweden ilitoa kibali cha uchomaji wa quran. Sweden inasema ni haki ya mtu kufanya anachokitaka ili mradi havunji sheria. Updates Jamaa aliekua achome Biblia na Torah kwenye...
  12. Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Maswali yanayojibiwa na hichi kitabu ni Mengi sana, mfano... 01. Upendo vs Maovu Biblia imeelezea sana hili neno upendo, faida zake na hasara zake, ni kwanini mwanadamu anapenda na n.k Tabia ya mwanadamu ni ubinafsi, uchoyo, wivu na mengine mengi Historia kubwa ya uwovu inapatika humo, taifa...
  13. Kutoka 21:10 huu ni uzinzi au ndoa ya mke zaidi ya moja ilikuwa halali?

    Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. Hata mitume na manabii wapo waliooa wake wengi, je walikuwa wanazini? Kinachofatwa ni maandiko au tamaduni za Ulaya ambazo ilibidi makanisa yalioanzishwa...
  14. Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Sayansi ni somo kuhusu ulimwengu ulivyo na unavyofanya kazi, kwahyo ningetarajia mungu aliyeuumba ulimwengu ndio awe baba wa sayansi. Na kitabu chake kiwe kimejaa sayansi za kutosha. Mimi kama mfuasi wa sayansi nikaanza kufuatilia sayansi kwenye vitabu vya dini. nilipoanza kufuatilia s Quran na...
  15. Weka aya/ mstari kutoka kitabu cha dini yako unaoona umeandikwa kwa ustadi, weledi na hekima ya hali ya juu

    Ukisoma vitabu vya watu mashuhuri kama shakespeare, kuna ile unakuta mwandishi ameandika kwa ustadi wa hali ya juu...yani ametumia maneno vizuri, yani maneno ameyatumia kama rangi vile kuchora picha nzuri sana inayovutia kutazama machoni. Bila stori nyingi au maelezo mengi, weka fungu la kitabu...
  16. Contradictions zilizopo kwenye Biblia

    Naam natumai mu wazima. Wengine wanaweza wakaona ni upuuzi nashauri tu ukiona huu ni upuuzi usicomment. Bila kupoteza muda ninawashirikisha katika mdajala huu unahusu Contradiction zilizopo kwenye Biblia. Contradiction kwenye biblia inawezekana (japo binafsi sijaona) lengo langu haswa ni...
  17. Tamaduni 10 za kidini ambazo hazimo kwenye Biblia au Quran

    Hizi hazimo kwenye Biblia. 1: Sikukuu za Krismass na Easter. 2: Kunena kwa Lugha ambazo mnenaji na wasikilizaji wote hawaelewani. 3: Maombezi kwa maiti ili isamehewe dhambi alizofanya akiwa hai. 4: Sabato ya Jumapili. 5: Mchungaji au askofu wa kike. Katika biblia mchungaji ni Mume wa mke...
  18. Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  19. Tusizungumzie habari za kujiua (Suicide)

    Kuzungumzia kuhusu maswala ya kujitoa uhai hadharani kunaweza kuwa na athari tofauti kwa watu tofauti,. Hata hivyo, kuna baadhi ya mambo ambayo yanaweza kuchangia kuongezeka kwa idadi ya visa vya kujitoa uhai ikiwa suala hili litazungumziwa kwa njia isiyofaa au isiyo sahihi. Hapa kuna mambo...
  20. Wakuu mwenye link ninayoweza kudownload biblia ya kiswahili (suv) kwa ajili ya PC msaada.

    wakuu kama kichwa japo juu. Naomba msaada wa link au software ya biblia ya kiswahili SUV au Standard Union Version. Natanguliza shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…