Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Rais wa Israel amelaani kitendo cha Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Torah

Kumbuka hivi karibuni Sweden ilitoa kibali cha uchomaji wa quran.

Sweden inasema ni haki ya mtu kufanya anachokitaka ili mradi havunji sheria.

Updates
Jamaa aliekua achome Biblia na Torah kwenye ubalozi wa Israel ameahirisha huo mpango na kisha kuanzisha maandamano kupinga uchomaji wa Quran uliofanyika mwezi uliopita.

Bwana Ahmad Aloush amesema alitangaza hivyo kwamba atachoma biblia na torah ili kuwakwaza watu kama vile yule jamaa aliechoma quran alivyowakwaza watu.

Bwana Ahmad Aloush amesema kwenye maandamano hayo ambayo alikua peke yake kwamba lengo lake lilikua kufikisha ujumbe kwmaba uchomaji wa Quran haikua jambo jema na pia kulaani sheria za sweden ambazo anasema hazina mipaka na kusema lazima uhuru uwe na mipaka.

Soma updates hapa chini.
 
Rais wa Israel amelaani kitendo cha Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Torah

Kumbuka hivi karibuni Sweden ilitoa kibali cha uchomaji wa quran.

Sweden inasema ni haki ya mtu kufanya anachokitaka ili mradi havunji sheria.

Ngoja tuone kama Wayahudi wataandamana hadi kufa wakilaani Torah yao kupigwa kiberiti
 
Siku hizi Biblia na vitabu vingine vya dini viko katika soft kopi na vimeenea kila mahali. Kuchoma hard copi ya vitabu vya dini hakuwezi kuathiri chocho!
Katiba ya Nchi pia IPO kwenye softcopy,,Sasa chukua hardcopy ichome hadharani...
By the way kuchukua Qur an au Biblia kuchoma maana yake ni kwamba ameidharau ndio maana watu wanaonyesha makasiriko yao kwa kuandamana.
 
Nawauliza wale wa Mungu anajipigania tuwanange waisrael au tuwaache?
Msingi wa Ukristo ni Agano Jipya ( Injili ) na sio Torah
Kutokana na : Agano Jipya linaweza kumuingiza mtu mbinguni , bila ya kusoma Agano la kale ( Torah )

Msingi wa Judaism ni Torah , na sio Ukristo

Yesu anasema mimi ndiye njia , - Na sio Musa( Torah ) au Mahummud
 
Sijui umeandika nini labda hukunielewa nilichomaanisha. Mimi siamini dini. Naamini uwepo wa Mungu bila kupitia dini. Secular-theist me.
 
Rais wa Israel amelaani kitendo cha Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Torah

Kumbuka hivi karibuni Sweden ilitoa kibali cha uchomaji wa quran.

Sweden inasema ni haki ya mtu kufanya anachokitaka ili mradi havunji sheria.

Wewe ni mjinga Nani alikwambia Sweden waliotoa kibali Cha kuchoma Quran ,ule ni uhalifu Kama uhalifu mwingine haihitaji kibali

USSR
 
Back
Top Bottom