Changamoto na vikwazo kwenye kuanzisha Affiliate Marketing

dido2010

New Member
Feb 21, 2010
2
2
Je, ni changamoto zipi au vikwazo ulivyokutana navyo wakati unataka kuanza Affiliate Marketing?

Nakaribisha wadau mchangie mada.

N.B: Mimi pia nitachangia vikwazo na changamoto nilizokumbana nazo.
 
Affiliate marketing ni nini?
Sisi la NNE B tupate mwangaza kidogo tinaweza kuwa na mchango.
 
Affiliate marketing ni nini?
Sisi la NNE B tupate mwangaza kidogo tinaweza kuwa na mchango.
Affiliate Marketing ni kazi yaku-promote bidhaa mtandaoni inayotengenezwa au kumilikiwa na mtu mwingine kwa makubaliano yakulipwa commission katika faida inayopatikana, percentage ya faida inajulikana kabla haujaanza kupromote hiyo bidhaa.
 
Je, ni changamoto zipi au vikwazo ulivyokutana navyo wakati unataka kuanza Affiliate Marketing?

Nakaribisha wadau mchangie mada.

N.B: Mimi pia nitachangia vikwazo na changamoto nilizokumbana nazo.
Mbona uliingia mitini?
 
Back
Top Bottom