SoC04 Tanzania tuitakayo. Kuendeleza uchumi wetu na biashara kama jinsi mama Rais

Tanzania Tuitakayo competition threads

Lilian Chambua

New Member
Jun 10, 2024
1
0
Mimi mtazamo wangu, Tanzania tuitakayo kuweza kuifikia:
1. Kufanya Kazi Kwa bidii shambani na viwandani.
2. Kuwatafutia wakulima masoko ya nje ILI kuweza kuuza bidhaa zao.
3. Kusimamia vzr mapato ya serikali
4. Kukomesha rushwa kila kwenye mianya rushwa.
5. Kila mmoja awe mbunifu kutafuta njia ya kukuza uchumi ktk sehemu Yake kuanzia familia Hadi serikalini.
6. Kaulinda uchumi tulio nao na kuendeleza
7. Kudumisha Amani ya nchi yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom