biashara

  1. BLACK MOVEMENT

    Kuna nchi nyingine inajenga Majengo ya Biashara ya Kibalozi ukitoa Tanazania?

    Majengo ya Biashara ubalozini ni aina ya upigaji hakuna kitu hapo, ni watu wanagawana 10% maisha yanaendelea. Tuulizane Mataifa mengine yanashindwa kujenga majengo ya Vitega uchumi kwenye balozi zao?; Uwezo wanao ila hawafanyi hivyo kwa sababu sio malengo yao. Malengo yao ni kusaidia Raia wao...
  2. Ibra ruge chabenzi

    Nachukua mkopo CRDB nianze biashara ya nafaka(mpunga na mahindi)

    Wadau Mimi ni mtumishi wa afya, mshahara wangu unaniruhusu kukopa mil 15. Nataka nikope mil 15 niwe nakatwa kwenye mshahara Kwa miaka sita, Nichukie mil 10 niingie kwenye mpunga na mahindi. Silimi nafuata Kwa wakulima naweka store. Nasubiri yapande niuze wakati mkopo unakatwa kwenye...
  3. L

    Leo nimeamka vibaya, nakusudia kwenda kumuona Waziri wa Michezo na Waziri wa Viwanda na Biashara kujua Transformation ya Simba itakamilika lini

    Simba kwa sasa sio Company Limited kwa sababu hadi leo transformation haijakamilika, mchakato wa transformation umechukua muda mrefu sana, ni zaidi ya miaka tati sasa if am not mistaken. Nini kinachosababisha transformation isikamilike ili Simba ikawa Company Limited? Mwaka zaidi ya wa3 bado...
  4. Carlos The Jackal

    Wafanyabiashara Stendi ya Magufuli wataka mabasi yote yashushe na kupakia abiria hapo stendi ili wapate wateja

    Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni. Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus...
  5. Mganguzi

    KERO Biashara ya lodge Sinza, Manzese na Tandale ni hatari kwa sasa! Wateja na wamiliki wanadhalilishwa na polisi kwa kisingizio Cha madada poa!

    Inasikitisha sana kwa wakuu wa wilaya na mapolisi kuvamia guest usiku, na kuwadhalilisha wateja waliolala kama vibaka. Ifahamike kwamba gesti ni biashara kama zilivyo biashara zingine! Kinachoendelea wilaya ya Ubungo ni udhalilishaji na kuharibiana biashara. Chimbuko la madada poa sio gesti...
  6. Yoda

    Serikali ilitumia vigezo gani kuzuia na kuharamisha hizi biashara

    Serikali ilizingatia vigezo gani kuzuia na kuzifanya jinai biashara za mirungi, bangi na ukahaba huku ikiruhusu biashara za sigara/tumbaku, pombe, nutmeg/kungumanga na kamari?
  7. Mturutumbi255

    Jinsi ya Kutumia Teknolojia na Mitandao ya Kijamii Kukuza Biashara Yako Nchi Tanzania

    Teknolojia na mitandao ya kijamii zimeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ulimwenguni, na Tanzania siyo tofauti. Kwa kutumia teknolojia ipasavyo, wafanyabiashara wanaweza kuongeza ufanisi, kufikia wateja wengi zaidi, na kuongeza mauzo yao. Makala hii itachunguza jinsi wajasiriamali...
  8. Gemini AI

    Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais

    A /Alaykum ..! Nachukua nafasi hii kukutaka radhi my brother kwa kukukosea na kukuvunjia heshima .! Kijana wako nimeghafilika kwa jazba . M/Mungu anasema innah llah maaswabereen . Nilipaswa kua na SUBRA kabla sijanyanyua kinywa . Ile clip imenipa funzo kubwa sana inshaalah mdani ya nafsi yako...
  9. Gemini AI

    Mwijaku amwandikia Waraka Mzito Masoud Kipanya, adai anafanya biashara haramu

    Pia Soma: https://www.jamiiforums.com/threads/mwijaku-amuomba-msamaha-masoud-kipanya-baada-ya-kumtuhumu-kuwa-anafanya-biashara-haramu-na-kutukana-viongozi-akiwemo-rais.2223427/
  10. Top007

    Faida kwenye biashara ya sembe na dona inapatikanaje?

    Habari! Mwenye uzoefu na biashara ya kusaga na kukoboa mahindi ( sembe na Dona ) Naomba kuelimishwa faida katika kila kilo mfano kwenye Sembe ( kama wewe ndio mwenye kiwanda unatakiwa kuweka shi. ngapi au asilimia ngapi ) ====== Pia soma: Biashara ya sembe Dar es Salaam ipoje? Ushauri: Nataka...
  11. Syslog_co_Ltd

    LETA WAZO LAKO TUKUTENGENEZEE MFUMO WA BIASHARA

    Ni rahisi sana kumiliki App yako ya biashara. Njoo na wazo lako Syslog Company Limited tutalifanyia kazi. Tupigie /WhatsApp 0754446773 | Email: info@syslog.co.tz
  12. uhurumoja

    Amina Kyando hatakaa asahau hii mechi Biashara vs Tabora

    Wakuu hii game imekuwa tough sana fujo za Kila aina nimemuonea huruma kimsingi amejitahidi kwa uwezo wake. ---
  13. Mfugaji123

    Kitabu cha Jinsi ya Kufanya Biashara kwenye internet ( Mtandaoni)

    Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya Statista hadi kufikia January 2024, karibu asilimia 18.9 ya watanzania walifanya manunuzi na kulipa...
  14. nyamadoke75

    Mfanyabiashara alizwa na matapeli wa mtandaoni Zanzibar

    https://youtu.be/lzqi1c0ZS1M?si=FK6R2UCMqI0h-oSz Mfanya biashara maarufu nchini amelilia waziri Mwinyi kushughulika na genge la matapeli wa mtandaoni wanao tapeli watanzania wa bara na visiwani ambapo hivi karibu aliagiza baiskeli ya mtoto kwa kutoa shilingi laki nne na tisini lakini hajapata...
  15. M

    Mtaji wa kuanzia kwenye biashara ya accessorie unaweza kuwa kiasi gani?

    Jaman naombeni ushauri kwa wale wenye uzoefu Wa biashara ya accessories nilikuwa naomba kujua mtaji wake wa kuanzia accessorie ipi inatoka zaid na zipi mzunguko wako ni mlefu na mengine mengi nisiyoyajua kuhusu that business
  16. S

    Makampuni ya kukopesha mitandani, yameiweka serikalini mfukoni au hii ni biashara ya watawala?

    Katika mambo ya kushangaza hapa nchini, ni uwepo wa haya makampuni ya kukopesha mitandaoni ambayo yanaonekana kufanya hii biashara kiholela lakini kwa kutumia mitandao ya makampuni ya simu jambo ambalo linashangaza sana. Yaani biashara haramu inafanyika huku taasisi za kuthibiti huu uharamu...
  17. Planet Data bundles

    Nimefungua biashara lakini inaonekana mwenye nyumba kazindika Fremu zake

    Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia. Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa. Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya miez 6 . Nimekuja kuanza kusikia maneno baada ya kuchukua fremu kwamba mwenye napo kuna vitu amefanya...
  18. vnn

    Wafanyabiashara waiomba serikali, kuambatana na Rais katika ziara za nje ya nchi!

    Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo mbalimbali ya kibiashara.
  19. B

    Bei ya kahawa Kagera yafikia Tsh. 4,100, shangwe kila kona ya mkoa

    Na Bwanku M Bwanku Kagera ni moja ya mkoa wa kilimo na mazao mbalimbali yanalimwa. Kwasasa ni msimu wa zao la kahawa ambalo ni moja ya zao linalolimwa. Toka Tanzania ianze, bei ya zao la kahawa ilikua inagotea kuishia 1,100 kuzunguka hapo lakini leo chini ya Rais Samia Suluhu Hassan bei ya...
  20. Blender

    BRELA: Hili tatizo la kufungua accounts (ORS), ni mimi tu nakumbana nazo au na nyie Pia

    Nawasalimu Kwa USD dollars. Tokea week iliyo pita nilikuwa nataka kusajili AU Ku register name of my company lakin Shida inakuja kwenye ufanisi wa system Yao ya (ORS). Yaani inazingua mno, kuna Muda inashindwa Hata Ku fetch NIDA informations za mfungua company. Najua humu JF kuna wadau...
Back
Top Bottom