biashara

  1. JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaoanza biashara

    1. Jina la Biashara au Kampuni Kila leseni ya biashara lazima iainishe kwa uwazi jina la biashara au kampuni inayofanya kazi kisheria. Hili ni jina lililosajiliwa na linapaswa kuonekana kwenye nyaraka zote rasmi, likitumika kama kitambulisho cha kwanza cha mmiliki wa biashara hiyo mbele ya...
  2. JamiiForums Tanzania Huruhusiwi kufanya biashara TZ kama hauna hivi vigezo vya kupata reseni

    1. Kuwa na TIN kutoka TRA Moja ya vigezo vya msingi kabisa ni kuwa na Hati ya Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TIN ni ushahidi rasmi kwamba biashara yako imetambuliwa kisheria kama inayopaswa kulipa kodi. Bila TIN, huwezi kusajili biashara yako...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara zilivyo yani mteja unamuelekeza duka lengine kumbe ilo duka nalo huyo mteja siku akienda kuuliza kilichopo hawafanyi kama kwako alivyokosa

    Kuna mambo hata siyo ya kwenda kwa mganga wa kutafuta mashaikh na wachungaji ni wewe kujua kwa nini umepoteza wateja. Hii tabia ya kujifanya unamuelekeza nenda kwa fulani basi wateja wakiona umewaelekeza kwa fulani kesho anaweza kwenda kwa huyo na kinapokwisha mteja anaweza kuuliza kinapatikana...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanawake warembo wengi ukimuuliza nikufungulie biashara gani lazima katika biashara hizi 4 ukosi kuambiwa moja wapo

    Sijawahi kusikia mwanamke mrembo kusikia akiniambia kuwa anapenda kufunguliwa duka la vifaa vya ujenzi zaidi ya kuambiwa 1.duka la nguo. 2.duka la kuuza vipodozi. 3.Mini pub. 4.Saloon. Huu ni utafiti nikiwa kwenye usumbufu wa michepuko.
  5. JamiiForums Tanzania Fatema Dewji anasema fanya hivi ili kukuza biashara yako

    1. Pata Wateja Wapya Usisubiri bahati. Fanya biashara yako ivutie watu wapya kila wakati kwa kutumia: Matangazo yanayolenga moja kwa moja wateja wenye uwezo wa kununua Mitandao ya kijamii, SMS, whatsapp au simu Kuonyesha tofauti ya bidhaa zako kwa njia ya elimu na thamani Mteja mpya = Fursa...
  6. JamiiForums Tanzania Mazoea na Urafiki Usio na Mipaka Kwenye Biashara ni Saratani Inayoua Malengo Taratibu

    Katika ulimwengu wa biashara, kuna mambo madogo sana yanayoonekana kama ya kawaida—lakini yakiwa hayajadhibitiwa, huwa kama saratani ya kimya kimya. Moja ya mambo haya ni mazoea ya kupitiliza na urafiki usio na mipaka. Haya ni magonjwa ya ndani yanayoweza kuivuruga biashara yoyote, haijalishi...
  7. JamiiForums Tanzania Tupeane connection kwenye biashara za mifugo kama ng'ombe na mbuzi

    Wadau hamjambo nyote Wafanya mishe za biashara za mifugo haswa mifugo kama mbuzi na ng'ombe tupeane fursa mbalimbali ziizoko kwenye biashara hio. Na je swali la ziada Yale maduka ya kuuza dawa za mifugo tu hua tunaziitaje? au ndio AGROVET... Na Kama Kuna thread zilishaanzishwa kwa kuelezea...
  8. JamiiForums Tanzania Picha : Supplementary biashara kubwa ya waalimu vyuo vikuu

  9. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ndugu zetu wasabato wasahau kutoboa kwenye biashara, Wakati wateja wengi wako sokoni Jumamosi, wao wamepumzika

    Wakati wateja wengi zaidi wako sokoni siku ya Jumamosi, maduka ya wasabato yamefungwa. Wateja wanaenda kutafuta bidhaa na huduma, wao wameenda kupumzika, Wateja hutafuta maduka mengine, wateja wao wengine huamia maduka mengine. Kuwafungia duka wateja Jumamosi ni kama kusema “hatuwahitaji”, Na...
  10. JamiiForums Tanzania Anza Biashara Hizi kwa Mtaji Mdogo wa Chini ya 20,000/=

    Kama una chini ya Tsh 20,000, bado unaweza kuanza biashara halali na yenye faida. Hapa kuna mifano ya biashara kumi unazoweza kuanza leo, zikiwa na ushauri wa hatua kwa hatua. 1. Biashara ya Mikate na Vitafunwa Je, unajua kuwa kwa kutumia unga, sukari, mafuta na jiko la nyumbani tu unaweza...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tukuletee vitabu mtalaa

    Tutume nasi tunakuletea kwa haraka... Kazi ya uhakika, weka order ufurahie huduma zetu... Maisha yanakuwa rahisi unapokuwa na Trumark Stationery & Books Just call us 0765 76 76 96
  12. JamiiForums Tanzania Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

    Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram . Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
  13. JamiiForums Tanzania Biashara ya bucha au saloon?

    Wakuu nina 1,000,000 kati ya kuongeza salon ya pili na kufungua bucha la nyama ipi inaweza nilipa? asanteni
  14. JamiiForums Tanzania Biashara ya mtaani na biashara ya sokoni ipi ni bora ?

    Hivi kufanya biashara mtaani na sokoni au sehemu ya senta yenye vibanda vingi ipi ndio sehemu nzuri zaidi? ?!!
  15. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima biashara imeisha hiyo, tumia muda huu kutafuta ujasiriamali mwingine

    Friends and our Enemies, Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo... Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima.. Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kibiashara, mliwezaje kupambana na changamoto ya mtaji kukata/ kuisha?

    Wakuu mambo vipi, Hivi kwa wale ambao mmefanikiwa kwenye biashara zenu, hiki kiunzi cha kupambana na changamoto ya mtaji kukata mlikiruka vipi ndugu zangu. Ni njia gani mlizitumia ili na sisi ambao bado tunahangaika kuruka hiki kiunzi tuzitumie Kuna muda unaona kabisa, nikifanikiwa kuvuka...
  17. JamiiForums Tanzania Leseni ya Biashara Kundi A, na Jinsi ya Kuipata

    Njia rahisi za Kuomba Leseni ya Biashara Tanzania Je, unataka kuendesha biashara halali Tanzania? Kupata leseni ya biashara ni hatua ya lazima na sasa mchakato ni rahisi kuliko unavyofikiri. Fuata hatua hizi: Tembelea tovuti rasmi: www.business.go.tz Bonyeza sehemu iliyoandikwa “Huduma” Chagua...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu nna biashara nauza

    Habari za jioni wakubwa?Wakubwa nna biashara nauza,biashara hizo ni pamoja na,. (1)Focusrite Scarlett 18i20,hii ni soundcard for Professional recording studio naitakia 1,700,000. (2)Scarlett solo,hii ni kwa home studio naitakia 350,000 (3)Garmin Heart Rate Monitor,hii ni mikanda ya kuvaa...
  19. JamiiForums Tanzania Tambua Biashara Yako Inahitaji Leseni Gani

    Leseni Kundi A ni Kwa Biashara Kubwa Hili ni kundi la biashara zenye mtaji mkubwa na athari pana kwa uchumi. Zinafanyiwa tathmini na taasisi ya kitaifa (BRELA) na huhitaji maandalizi ya kina. Mifano ya biashara katika kundi hili ni: Biashara za kuuza bidhaa nje ya nchi (exporters) 2. Huduma...
  20. JamiiForums Tanzania Jitahidi uwe na uwekezaji pembeni hata kama umeajiriwa, Haswa katika vitu vigeni kwa mtu wa kawaida

    Kama hukubahatika kuzaliwa katika familia tajiri basi karata yako iliobaki ni kuwekeza katika nyanja mpya za kibiashara, hata kama haina hesabu za faida kwa saahv ila wewe wekeza, kwa mfano kuna mtu anaweza akawa na nia ya kufanya biashara basi wekeza chochote kwenye hio biashara huezi kuja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…