Habari wanaJF
Kitu nilichojifunza kwa sasa kama hauna moyo wa kutoa na hauna uwezo wa kutoa ni bora ukae single kuliko kuumizwa kichwa na hawa wafanyabiashara wa sasa.
Yani kila unapogusa iwe ni rafiki(I mean positive friendship) au mahusiano lazima mizinga ihusike. Wengine una chat nao au...
Habari za wakati huu ma GTs
Poleni kwa changamoto ya Korona na ni matumaini yangu kwamba kila mmoja wengi tunapambana ili kuweza kuishi.Kama uliweka malengo mengi katika mwaka huu wa 2020 basi ni muhimu ukarekebisha malengo yako na kuweka lengo kipaumbele lako kuwa ni kuendelea kuwa hai."STAY...
Serikali haijashinda vita na wafanyabishara toka mzee Magufuli aingie ulingoni. Korosho alipigwa vibaya sana. Mpaka leo serikali inadaiwa.
Pambano la sukari nalo limefikia pabaya sana tuna viwanda vingi sana hapa ndani na bado sukari haitoshi kuagiza nje bado tatizo.
Sasa sukari haipatikani...
Salam wakuu.
Nimejikuta navutiwa kufanya hii biashara ya nyama choma (Grilled meat). kwa walio wazoefu na hii biashara naomba michango yenu kuhusu changamoto, gharama, mbinu na faida za kuanzisha hii biashara.
Thanks in advance.
========
Baadhi ya Michango
=========
Wandugu salaam!
Kwa wenye ufahamu mzuri kuhusu biashara ya vifaa vya ushonaji, naomba maelekezo hasa kama bado ina wahitaji kwenye jamii. Maana kuna mtu ananiambia nguo za mitumba na zile special zimeharibu hii biashara.
Nawasilisha.
WHO imeendelea kuikandia dawa ya ‘Covid organica ambayo rais Magufuli ameahidi kuiagiza ili kunufaisha waTanzania, kwa kuwa dawa ya Corona ni fursa kubwa sana ya kiuchumi, mabeberu wameendelea kuiponda dawa hiyo wakati wakijiandaa kuiachia dawa yao ambayo itakuwa approved na WHO ili matrillioni...
Hello, je umeanzisha Kampuni au Biashara mpya na unatamani kuwa na website itakayobeba kampuni au biashara yako? au unayo Kampuni au Biashara muda mrefu tu, lakini umekuwa ukitamani kuwa na Website ili kukuza unachofanya?
Basi, naomba kusema kuwa nafasi ndio hii sasa, ya kubadilisha Biashara...
biashara
dar es salaam
developer
faida ya website
faida za website
gharama za kuanzisha website
jinsi ya ku host website
jinsi ya kutengeneza website
jinsi ya kutumia wordpress
mawazo ya biashara
mawazo ya biashara pdf
mfano wa website
umuhimu wa website
wazo la biashara
website
website designer
website ni nini
Wadau, natamani sana kupata maarifa ya biashara ya butcher. Naombeni sana wenye maarifa na ujuzi nayo, kuanzia kwenye upatikanaji wa vibali na maarifa ya biashara kiujumla.
Je, ni mtaji wa kiasi gani mtu anaweza kuanza nao?
Hbr ndugu.
Nimeshalipa frame sehemu ambayo imechangamka na haina maduka mengi ya mtindo huo.
Naomba ushauri mtaji wangu si mkubwa sana ni vitu gani vya muhimu vinavyotoka sana ili nianze navyo?
Lakini pia ushauri wowote unao ona utanifaa ili nijikongoje mdogo mdogo.
NB
Naomba ushauri pia juu...
Janga la Corona mpaka sasa hivi limeathiri nyanja mbalimbali za uchumi. Ingawa mpaka muda huu sekta ambayo imeathiriwa zaidi na ipo ICU ni sekta ya Utalii. Nchi nyingi zimefanya lockdown, kuna kufutwa kwa safari za anga. Hivyo hoteli, migahawa, tax drivers, wakulima, wavuvi, tour companies na...
Wakuu kwanza habari ya asubuhi.
Nije moja kwa moja kwenye mada nilikuwa na pesa kidogo lakini kwa sababu ya kuwa busy na shughuli nyingine nikawa naonelea kwa nini nisiwakopeshe wanawake wanaojishughulisha na biashara ndogo ndogo Kama magenge, migahawa midogo midogo ili mradi tu...
Habari,
Ndugu Watanzania, mimi nikiwa kama mdau ya Forex Trading, nimeona kuna ulazima wa kuandika Makala hii kumsaidia Mtazania yoyote uko nje atakae au anaye tamani kujiingiza kwenye hii biashara. Waweza jiuliza kwa nini nachukua jukumu hili, mafanikio katika sekta hii sio rahisi kama inavyo...
Hello kama inavyoeleza hapo juu changamkia fursa hii ya kutoa Mchanganuo wa kukuza na uendeshaji wa biashara ya Gas za majumbani. Hapa tanzania zawadi nono itatolewa kwa mshindi
HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imezindua mfumo rasmi kwa njia ya mtandao ambao utatumika kila mwananchi kujaza fomu ya maombi ya kupata kibanda cha biashara katika miradi ya soko kuu la Job Ndugai pamoja na stendi kuu iliyopo Nzyuguni ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa COVID-19.
Hayo...
MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya jana tarehe 15 April 2020, imefanikiwa kumkamata kigogo wa dawa za kulevya raia wa Nigeria Kanayo David Chukwu (39) mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam.
Pia inawashikilia raia wawili wa Tanzania Alistair Amon Mbele(38) ambaye ni mkutubi wa...
Naitaji mtu ambae yuko Mwanza ambae anafanya biashara za samaki kwa maana ya uchuuzi na usafirishaji mpaka Dar es Salaam.
Au kwa yoyote ambae anajua A to Z ya kununua samaki mpaka usafiri to Dar es Salaam
Wadau hamjambo? Pamoja na changamoto ya #Corona, maisha mengine ni lazima yaendelee.
Lengo la hii post ni kutaka tupeane ujuzi na kukumbushana namna ya kupata cheti cha Ubora wa bidhaa na huduma cha ISO.
ISO ni nini?
ISO ni shirika la Viwango la Kimataifa (International Organization for...
Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta huku na huko kujua ni biashara gani inalipa. Yawezekana wengi hatuelewi maana ya biashara inayolipa. Ukweli ni kwamba, biashara inayolipa ni ile ambayo ina uhusiano chanya kati ya kipato unachopata na matokeo ya kile unachokitoa.
Mfano. Kama wewe ni mwalimu...
Wadau habari za majukumu kwa muda mrefu?
Nimekuwa napata changamoto sijui wenzangu mmewezaje kupata hii kaspersky antivirus kwa ajiri ya biashara nikiangalia bei za mtandaoni naona ya pc 10 ni $280 nikija mtaani kuna watu wanauza cd ya pc1 hadi pc3 kwa 30,000/= ya mwaka mzima.
Nashindwa kujua...
Wandugu; ukisoma taarifa kutoka nchi mbali mbali utakutana na habari zinazoelezea hatua zinazochukuliwa na serikali za nchi zao kupunguza makali ya athari za corona.
Hebu jisomee hapa:
How countries are deploying stimulus packages in the fight
Malaysia Issues Second Stimulus Package to Combat...