biashara

  1. U

    Mliowahi kufanya biashara minadani naombeni uzoefu

    Habari zenu wa JF. Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha. Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia pengine? Na vipi utaratibu wa kupata meza au eneo la kuweka bidhaa, na vipi mzunguko wa watu ni...
  2. U

    Ushauri juu ya biashara za minadani

    Habari zenu wana JF. Naombeni mnisaidie ushauri kwa wale mliowahi kufanya biashara katika minada mbali mbali hasa kwa Dsm mpaka Kibaha. Nataka kuanza kuzungusha bidhaa kwenye minada je inalipa? Au ni bora nitafute meza tu sokoni?! Na vipi kwenye minada utaratibu upoje pengine kuna kulipia...
  3. Leseni ya biashara ya duka lako la nguo

    Kama una duka la nguo, leseni ni kitu muhimu sana kwenye biashara yako. Inakutambulisha kama boss halali wa biashara, inakuondoa stress ya kufungiwa ghafla, na inakufungulia fursa za mikopo na fursa zingine kubwa. Ukiwa nayo, unakua na uhuru wa kufanya biashara bila woga. Faida unazopata ukiwa...
  4. Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla

    Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design, video editing, na ujuzi mwingine wa IT. Gharama ya usimamizi wa akaunti nafanya laki 200,000 Tsh kwa...
  5. Soko na biashara ya mafuta ya kupikia

    Habari, Naomba kujua kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia. Utajuaje mafuta ya kupikia yanapanda au yanashuka Bei? Mawakala wa mafuta ya kupikia wanapatikans wap?
  6. Biashara za magari na vipato vyake

    Asalam aleykum wakurungwa,naomba kujuzwa je gari za aina huweza kuleta hesabu ya kiasi gani kwa kutwa! #Tujuzane vyombo mbali mbali vya usafiri na hesabu zake kwa wale wakurungwa!
  7. Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
  8. N

    Yas kutoa huduma kituo cha Biashara, Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC)

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara (katikati), akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC), iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...
  9. Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?

    Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?
  10. L

    Wafanya biashara wenye changamoto za TRA, barua kutoka TRA na mambo ya Kodi - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  11. Kila hotuba zao kwenye uzinduzi wa miraji yao utasikia itachochea ukuaji wa biashara/imekuza biashara. Njoo sasa kwa CAG

    Kila hotuba za wanaotuongoza utawasikia wanajitapa mradi huu chini ya mama.samia umekuza biashara kwa asilimia 120% au utakuza uchumi kwa 180%. Ili mradi tu uongo uongo na kuwahadaa watanganyika. Inasikitisha zaidi pale wanapo jifanya kama.hawaoni uhalisia. Ipo shida kwenye usimamizi wa hiyo...
  12. Ni biashara gani ambayo haipatwi na deficit ya wateja

    Nataka niongeze kitu cha kufanya zaidi ya ninachofanya sasa lakini natafuta biashara ambayo hata mzunguuko wa pesa uwe mgumu kiasi gani mahitaji yake yawe palepale au hata yakipungua yasipungue Sana Wadau wa biashara karibuni tupeane idea hapa
  13. Biashara yoyote haiwezi kukua bila wateja

    Wateja ndio damu ya biashara bila wao hakuna mauzo, hakuna faida, hakuna ukuaji. Ikiwa unataka kuipanua biashara yako na kuongeza mapato, kuna njia kuu nne za msingi ambazo kila mfanyabiashara anapaswa kuzitumia: 1. Pata Wateja Wapya Hii ndiyo njia ya kwanza ya kukuza biashara. Wateja wapya...
  14. Kwa nini hakuna biashara ya silaha za nuclear duniani kati ya nchi?

    Kwa nini nchi zinazotengeneza silaha za nyuklia hawauzi hizo silaha kwa nchi nyingine kama wanavyouza silaha nyingine zote?
  15. K

    Je CCM ya sasa ni genge la biashara za kifisadi?

    Tujiulize ni watu wangapi wanagombea kwa kujitolea kwao kwa jamii na wangapi wanagombea kwa kujinufaisha!! Tofauti ya Chadema ya Lissu na CCM ni hapo
  16. Mazingira mabaya ya kufanyia biashara

    Habari, ukiona unafanyia biashara pazuri mazingira safi, hasa sisi wafanyabiashara wadogowadogo wa sokoni mshukuru mungu, ss huku sehemu tunaofanyia biashara s rafiki kabisa, soko la masakuroni- ushirombo. Uchafu, n kawaida sjui hao bwana afya huwa wanakaguaga tu migahawa hv sisi tunaouza...
  17. Mradi wa EACLC Ubungo kuleta ajira zaidi ya 65,000

    Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichoko Ubungo Dar es Salaam, ambacho kinatarajiwa kutoa zaidi ya ajira 15,000 za moja kwa moja, na zisizo rasmi takribani 5,000 Katika uzinduzi huo uliofanyika leo Rais Samia amesema: "Kituo...
  18. Kodi kwenye kituo cha biashara Ubungo ni pesa ngapi?

    Naona Leo wanazindua kituo cha biashara Afrika Mashariki, Ubungo. Kodi ya frame hapo ni pesa ngapi?
  19. GE2025 Suala la kuzima mitandao linatuathiri sana sisi wafanyabiashara

    Wakuu hii haijakaa sawa kabisa. Leo biashara zangu zimekwama kisa kuzima mtandao . We are not serious.
  20. M

    Nani atakayeathirika zaidi kati ya Kenya na Tanzania kutokana na zuio la wafanyabiashara wadogo

    Habari wakuu Nilikuwa Offline kwa muda niliporudi nimekutana na zuio la kibiashara kwa raia wa kigeni machoni, nimewaza sana, unajua ninyi mnaokaa Dodoma hamjui changamoto ya haya maamuzi. Mungu asaidie tu wenzetu wasichukulie serious maana tutaenda kulia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…