biashara

  1. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Upinzani imedoda!

    Tanzania wakati wa Hayati kulikuwa na biashara ya upinzani. Hizi biashara zimedoda sana na Tanzanite karibu wataomba mikopo 1. Vyombo vya habari kama Tanzanite 2. Usalama wa taifa kupiga deal za kununua vifaa vya kusikilizia watu kwa pesa ambazo sio za bajeti 3. Wanasiasa kama Sabaya na...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Asali ya jumla inauzwa

    .
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza kutokufata mkumbo wa biashara inayofanywa na mtu

    Habari zenu wadau Mimi ni mfanyabiashara wa jeans za mtumba za kiume, sina muda sana kwenye hii biashara ni kama miezi kadhaa. Sehemu zangu ni katika minada na magulio katika kuzunguka kwangu nikakutana na jamaa yeye anauza urembo nae pia tunazunguka wote katika minada. Biashara yake ilianza...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Biashara haramu zenye kufadhiliwa na Mamlaka za Serikali

    Mabibi na mabwana sasa hii nikiwa mjini kurejea maskani tokea hija - kanda pendwa. Safarini vituko ni vingi tokea kwenye operation kukusanya 30,000/= @ gari hadi biashara haramu chini ya mamlaka za serikali alimradi kazi inaendelea. Operation kusanya pesa nilileta uzi kamili...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi 1,200,000 unaweza kufanya biashara gani Dar es Salaam?

    Habari zenu wana jamvi, Nimepata mtaji kiasi cha sh 1,200,000/= lengo langu nifanye biashara ya kupata sh 20,000-30,000/= kwa siku. Je inawezekana kupata biashara ya kuingiza kiasi hicho? Kuna mmoja kanishauri biashara ya kuuza juisi ya miwa kwa kumuweka mtu anifanyie maana yake mimi nipo...
  6. JamiiForums Tanzania Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

    Leo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/-...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wafugaji

    Anaandika Dr Christopher Cyrilo Jana nilipata bahati ya kutembelea Malembo Farm na kukutana na rafiki yangu Lucas Malembo. Nimshukuru Malisa GJ kunileta kwenye darasa hili la kilimo na ufugaji. Nimejifunza mambo mengi sana kuhusu kilimo na ufugaji. Kuna mambo ya kufurahisha, na mengine ya...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa kuhusu Biashara ya nguo

    Naomba mnipe madini kuhusu biashara ya nguo jinsi ya kupata kwa bei rahisi na kuuza (vijora tshirt na jeans)
  9. JamiiForums Tanzania Actions used by negotiators to build trust

    Trust is an essential component of success in all types of negotiation, whether business, diplomatic or legal. Ambassador Denis Ron, Former us coordinator of the Middle East, Has stated that the ability of negotiators to develop mutual trust is the most important ingredient of successful...
  10. JamiiForums Tanzania Tushirikishe biashara yako, upate mawazo mapya na kutanua soko lako.

    Habarini wakuu Nimeamua kuanzisha huu uzi maalumu kwa kuweka picha za bidhaa zilizotengenezwa hapahapa nchini kwetu Tanzania katika harakati za kuelekea Tanzania ya viwanda. Utakuwa ni uzi wa kuweka picha za bidhaa tulizozitengeneza sisi wenyewe(watanzania) na si picha za ku download au kuweka...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya maharage ya njano

    Wakuu heshima zenu Mimi ni mkazi wa Dar ...niko Arusha nikifatilia soko la maharage ya njano aina ya GOROLI.....lengo ni kununua maharage Arusha na kuuza Dar Watalamu naomba kujua changamoto za hii biashara. Natanguliza shukrani.
  12. JamiiForums Tanzania Fanya haya ili biashara unayoianzisha isife

    1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo. 2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo. 3. Amua kujenga mahusiano...
  13. JamiiForums Tanzania Mtanzania, wekeza na kufanya biashara Comoro

    Fursa za Biashara zilizopo Moroni nchini Comoro Hivi karibuni nilifanya ziara ya kwenda nchini Comoro kufanya visual assessment ya fursa ziliopo kule lakini vile vile kuzungumza na wafanyabiashara wanaokuja Tanzania kununua bidhaa na kufanya biashara nchini. Ndugu zangu Watanzania, Comoro kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-tangaza Biashara yako kwa Facebook (sponsered ads) - P.01

    Habari, I hope u mzima wa afya unavyopitia thread hii. na kama hauko poa, i pray urudi katika afya yako mapema. To cut the story short, Leo nitaelezea jinsi ya kutangaza biashara yako kwa Facebook ads (matangazo ya Facebook), kama haufahamu Facebook ads ni nini basi fanya hivi :- Fungua...
  15. JamiiForums Tanzania Tuipigie chapuo bangi (marijuana) bunge likubali kuwa zao la biashara

    Habari wadau..! Najua humu ndani kuna greater thinkers wengi ,kama jambo tutalipitisha hapa basi bungeni watalitafakari kwa kina. Nchi nyingi duniani zimehalalisha matumizi ya bange na wanatengeneza pesa ndefu sana . Kwa kwetu pamba,korosho ,kahawa naona zinasuasua kwa nn basi tusipigie...
  16. JamiiForums Tanzania Fursa ya mboga mboga na matunda Dodoma

    Habarini wana jamvi. Kutokana na kukua kwa kasi ya kuridhisha kwa jiji la Dodoma, kuna mahitaji yanayoongezeka kutokana na umuhimu wake kwa maisha ya binadamu ya kila siku. Uhitaji wa mboga mboga na matunda unakua kwa kasi kubwa. Uhitaji huu ni wa wote, yaani wauzaji na wazalishaji. Kwa wale...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iondoe vibanda vilivyo Mbele ya Biashara nyingine Kariakoo, hali mbaya

    Hawa machinga wanatutafutia ugomvi sisi wafanyabiashara wa maduka. Kumbuka Wenye Fremu wanalipa Kodi TRA tutashindwa kulipa Kodi kwa style hii. Serikali waliangalie hili Jambo kwa upana zaidi. Hapa mteja anapita wapi kuja dukani wakati duka halionekani Kodi za pango ni zaidi ya milioni kwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Biashara zimeanza kuchangamka katika awamu hii ya sita

    Leo nimebahatika kuwatembelea wajasiria mali hapa Mwanza hasa biashara hizi ndogo ndogo kama viwanda vya mbao, vyakula nk. Wengi niliongea nao walinieleza afadhali kidogo kuna ahueni. Wanaendelea kusema hatujui tungefanya nini kama Utawala wa Awamu ya Tano ungekuwa bado uko madarakani kwa...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu zilizotumika kuwadhibiti watumwa kipindi cha utumwa na jinsi zinavyofanya kazi mpaka sasa

    FAHAMU MBINU ZILIZOTUMIKA KUWADHIBITI WATUMWA KIPINDI CHA UTUMWA NA NAMNA ZINAVYOFANYA KAZI SASA Kwa kuanza kwanza inabidi tufahamu biashara ya utumwa ni kitu gani? Biashara ya utumwa ilikuwa ni biashara ambayo ilihusisha kukamata, kuuza na kununua watu na kuwatumia kama watumwa. Biashara...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo mfanyabiashara Alhaj Aliko Dangote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara maarufu kutokea Nigeria Alhaji Aliko Dangote Mazungumzo hayo muhimu yalifanyika leo Mei 24, 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam Alhaji Dangote ni mfanyabiashara mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…