Wakuu habar zenu
natafuta mtu wa ku-share anaye eneo la kufanyia biashara
mm binafsi sina uwezo wa kukod fremu ya biashara na nikalipia pekeyangu
sasa naomba kama kuna mtu ana fremu ya biashara na yuko tayali ku-share basi itakuwa vizur
biashara nayotaka kufanya ni ya TIGO PESA, MPESA kwa...
Habari wanajukwaa
Mimi ni muajiriwa sehemu fulani, kutokana na changamoto za kazi nilitamani nijiajiri mwenyewe kupitia biashara ya udereva wa mtandao.
Naombeni ushauri wenu juu ya hii biashara kama inalipa kwa kiasi gani na changamoto za biashara kiujumla.
Asanteni
Habari wakuu,
Ukosefu wa ajira serikalini, taasisi mbali mbali, viwandani n.k imekuwa ndio chanzo cha vijana wengi mpaka wazee kukimbilia kwenye biashara,
Wengi tunapoanza biashara huwa hatuna uelewa wa kutosha, maarifa tunayoyapata kwa kuulizia ulizia kwa watu, mtandaoni au kwa ndugu na...
Uchaguzi wa rangi ni muhimu sana kwanye biashara yako kuliko unavofikiria.
Rangi zinaongeza hamasa kubwa kwa jinsi wateja wanavoiangalia biashara yako na kuithamini.
Na moja ya mambo ambayo watu wengi wanakosea ni kuchagua rangi zinazofaa katika biashara zao.
Kumbika ukianza tu kutumia...
ASHA Rose Migiro, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), muda wowote kuanzia sasa, atatangazwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Taarifa za ndani kutoka katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa zinaeleza kuwa, jina la Dk...
Hello fellas.
Kuna fursa ya biashara ya playstations/games
Watu wengi wamekuwa wakiuziwa games kwa bei ghali sana pia wakiuziwa mashine ambazo sio imara.
Kuna mahali Kariakoo wanauza games kwa bei nzuri na mashine zao imara.
Ninachopenda toka kwao wanauza games original na wanazo mashine...
Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021
Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
Habari wanna JF.
Sisi n wasambazaji wa mazao mbalimbali kwaajili ya biashara sehemu mbalimbali tz bara, tuliamua kufanya hii kazi ili kuwarahisishia wafanya biashara mbalimbali kujipatia mazao wanayoyahitaji kwaajili ya biashara zao yanayopatikana huku RUNGWE mbeya kwagharama nafuu sana tena...
It’s nearing midnight, and in a few moments it will finally be August 1, 1838. By law, this will mark the end of slavery in the British Empire. In Jamaica - a British sugar growing colony - a Baptist congregation has been waiting expectantly all night. The clock ticks down to midnight, and in...
Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini.
Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana...
Hii nchi mazingira ya biashara bado ni magumu sana.
TRA bado ni kikwazo sana kwenye mazingira bora ya kufanya biashara Tanzania, jamaa wana ukadiriaji wa kukomoa vile na bila kuwekeza kwenye ujanja janja huwezo toboa.
Nimefuatilia certficate kwa ajili ya biashara yangu, nimepata usumbufu sana...
Picha na mtandao
Usuli
Biashara ni kitendo cha kubadilishana huduma au mali kwa fedha au huduma kwa huduma. Kwa kawaida kumekuwa na dhana kuwa ili mtu aweze kuanzisha biashara yeyote nilazima awe na mtaji au fedha ya kuanzishia biashara hiyo. Jambo hili limekuwa gumu sana kwa watu hasa...
Utangulizi
Binafsi nafurahi kuona vijana wengi wakike na wakiume wakijiongeza kiuchumi kwa kujiunga na ujasiriamali. Wameichagua moja ya njia inayoweza kutumika kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini. Japo sio wote watapendezwa na uthubutu na mafanikio yao lakini bila kujari kufahamiana...
LEO Julai 30, 2021 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote ulimwenguni kuadhimisha Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani. Siku hii ilipitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Novemba 15, 2000 kupitia Azimio Na. 55/25, na ilianza...
Maelezo Kwa Kiswahili
Habari njema kwa wafanyabiashara mliokuwa mnapata changamoto juu ya namna bora ya kusimamia biashara zenu.
Adiuta Business Assistant ni Mfumo unaokusaidia kusimamia fedha za biashara yako kwa kukuwezesha kujua mapato, matumizi, mali na madeni ya biashara yako.
Iwe ni...
1 Chipsi. Mtaji ni mdogo hapa unaeza anza na ndoo moja ya viazi, mafuta lita 2 vyombo vya kupikia na vyombo vya kuuzia bila kisahau genge ama banda la kupikia na kuuzia.
2 Sambusa. Mapishi ya sambusa pia ni biashara nyingine isiyohitaji mtaji mkubwa.
3 Maandazi. Biashara ya kuuza mandazi...
Jambo jambo waungwana. tunaanza ni siku ya tatu inafika sina hela mfukoni kila ninaye mtangazia shida yangu naye ananipa yake kichwa kinaniuma nifanye nini na kuiba ni kitu ambacho sikitaki. aisee mimi kama kijana mpaka sasa nimeshafanya kazi kama muajiriwa katika taasisi fulani maisha yalikuwa...
UZINDUZI WA REPORT YA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA 2020/2021
Legal and Human Rights Centre (LHRC) on 29th July, 2021, launched the Tanzania Human Rights and Business Report that provides the status of human rights in the business field in Tanzania Mainland in 2020. This is progressive report...
Habari za majukumu ndugu zangu wa JamiiForums kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili ya nguvu na afya tele na jinsi anavyo zidi kutupigani kwenye kanga hili la Covid 19 au UVIKO 19 wimbi la Tatu
Pili nitoe pongezi kwa serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia H...