Wanajamii, wasalaam
Nina ndoto ya kufungua biashara ya sabuni za kufulia kwa maana ya kufungua kiwanda. Kwenye tafiti nilizofanya kwa maana ya mashine/ mtambo toka chini itaigharimu kama milioni mia moja kuanza biashara hii. Naomba kama kuna aliyepo kwenye biashara hîi tayari anisaidie a,b,c...