biashara

  1. Kweli nimeamini Kila mtu atafikiwa asee,JF kufungiwa imefanya biashara imekua ngumu sana

    JF kufungiwa biashara hazifanyiki kabisa humu asee, traffic imekua chache mno,simu haziiti kabisa tangu TCRA waufungie huu mtandao. Wateja wa JF sio wa wengi ila hua wamenyooka aloo tofauti na huko tunakolipia matangazo. Meta ads unalipia dollar 25 kwa siku but returns hakuna kabisa. Huu...
  2. Giselda Blanco; Mwanamke mfanya biashara wa madawa ya kulevya

    Griselda Blanco, ambaye pia alijulikana kwa majina kama "Cocaine Godmother" (Mama wa Kokaini), "La Madrina" au "Black Widow" (Mke wa Njiwa Mweusi), anakumbukwa zaidi kama mdau wa cartel ya madawa ya kulevya kutoka Colombia ambaye aliunda na kuongoza biashara kubwa ya usafirishaji wa cocaine...
  3. Nahitaji kufahamu zaidi ya maswala katika uendeshaji biashara chini ya kampuni

    Habari wanazengo, Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea niwe na utulivu ili nipate elimu kwanza kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye kusajili kampuni...
  4. Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda umiza na jinsi ya kupata leseni

    Jinsi ya Kufanya Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda Biashara ya kuonesha sinema au mechi za mpira kwenye banda ni fursa yenye faida kubwa hasa kwa maeneo yenye wapenzi wengi wa michezo na sinema. Ili biashara hii iwe halali, mfanyabiashara anatakiwa kupata leseni ya biashara kulingana na...
  5. Majina mengine ya kampuni za biashara nchini kwetu yana walakini sana

    Ltd: Limited Company ni kampuni ya biashara ambazo zinatenganisha mali binafsi ya mwenye biashara na zile za biashara yenyewe. Sheria zinazohusu Limited companies ni tofauti kati ya nchi na nchi kwa hiyo biashara nyingi za Tanzania kuwa Limited ni sawa kabisa kulingana na shria za nchi...
  6. Ushauri kwa mtaji wa million 10 nifanye biashara ipi vifaa vya pikipiki au duka electonics?

    Habari? Niende moja kwa moja kwenye point... Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk... Kwa upande wa location nipo...
  7. Biashara ya mnadani kondoa vijijini

    Wadau mwenye uzoefu na biashara ya kuuza vitu mnadani kwa Dodoma hasa kondoa vijijini naomba ushauri ni maeneo gani biashara inatoka
  8. VIDEO: Huko Mauritania bado kuna biashara ya kichini chini ya kuuza watumwa

  9. Ukifikia hatua ya kumiliki biashara inayohitaji angalau wafanyakazi watano basi utagundua wachina, wahindi na waarabu husingiziwa bure tu

    Yamenikuta sijui hata nisemeje. Watanzania sisi watu wa hovyo sana. Mtu nimeamua kukupa nafasi ya kulipwa kila mwezi ila wewe unaharibu biashara. Yaani leo kama niliwahi kuwasema vibaya wachina, wahindi au waarabu wanaowapelekesha wafanyakazi wa kitanzania basi natubu, NIMEKOSA MIMI, NIMEKOSA...
  10. Cloud ni Silaha Mpya ya Biashara Ndogo Ndogo

    Kama bado hujui, dunia ya tech inakimbia faster kuliko mawazo ya wengi. Na moja kati ya game changers ambazo watu wadogo wanazipuuzia ni Cloud Technology ☁️ — - 1. Cloud sio kwa makampuni makubwa tu Wengi wanafikiri Cloud ni kwa Google, Amazon na kampuni kubwa. Lakini ukweli ni kwamba...
  11. Biashara gani zinahitaji leseni ya kundi B?

    Migahawa, hoteli za kawaida, wakala wa bima, vyama vya ushirika, usajili wa abiria, viwanda vidogo, udalali, na biashara za jumla/rejareja.
  12. Biashara gani zinahitaji leseni ya kundi A?

    Biashara zenye mtaji mkubwa kama vile benki, bima, huduma za mawasiliano, bandari, utalii, na maduka ya kubadilisha fedha.
  13. R

    Kinara wa Biashara ya Bangi akutwa na Tani 6.5 mkoani Mara

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), mkoani Mara, imefanikiwa kumkamata mhalifu kinara wa uzalishaji na usafirishaji wa bangi aitwaye Masero Ryoba Muhabe (44) akiwa na tani 6.5 za bangi. Kwa muda mrefu, Muhabe amekuwa akijihusisha na uzalishaji na biashara ya bangi...
  14. Biashara za kisasa zenye uwezo wa Kukutajirisha kwa kasi ya ajabu

    Katika uhalisia wa karne hii ya 21, kutajirika si suala la “luck” au bahati nasibu, bali ni outcome ya akili ya kibiashara yenye foresight, uelewa wa market dynamics, pamoja na uwezo wa ku-position venture yako kwenye sekta yenye exponential growth trajectory. Mtu mwenye intellectual sharpness...
  15. Msaada Biashara ya Internet

    Naomba kuuliza kama Kuna watalaamu wenye idea na hii biashara mana napenda Sana.
  16. S

    Biashara ya ukahaba ihalalishwe ili tuwanusuru wadangaji (makahaba) wanaoongezeka kwa kasi na kupanua wigo wa kodi

    Ukahaba umeshamiri sana hapa nchini ktk zama hizi. Lkn kwa kuwa tumeamua kuwa wanafiki kwa kutokuitambua rasmi biashara hii, makahaba wanaifanya ktk mazingira ambayo siyo salama kwao. Laiti kama makahaba wangetambuliwa na wakajengewa mazingira mazuri ya kufanyia biashara yao na wakatozwa Kodi...
  17. Mfanyabiashara au Mwekezaji unaejielewa achana na siasa, kaa jifunze playbook ya uwekezaji na biashara anayotumia Rostam A. He's the best dealmaker

    Kwenye biashara na uwekezaji skill pekee ambayo ni muhimu kuliko zote ni 'The art of deal making' Na mtanzania pekee ambae naona anafaa kuwa rolemodel wa wengine kwenye hilo si mwingine bali ni Rostam Aziz. Sasa wewe kijana au mzee mfanyabiashara au mwekezaji endeleza ushabiki wa kisiasa...
  18. Biashara na Kupata Leseni ya Saloon ya Kiume

    Masharti ya Mwombaji Ili kupewa leseni ya saloon ya kiume, unatakiwa: Uwe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi. Usiwe na rekodi ya makosa ya jinai. Uwe na eneo lililoidhinishwa kisheria na linalokidhi viwango vya usafi na afya. Uwe na mkataba wa pango iwapo fremu ya biashara...
  19. Q

    Naomba muongozo biashara ya MASSAGE

    Habari wakuu. Nikitaka kuanzisha na kufanikiwa katika kutoa huduma ya massage nizingatie nini? 1). Kibali kinatolewa baada ya kukamilisha nini? 2). Profesional Masseuse /masseur wanakua na cheti cha level gani?Mishahara yao ikoje? 3). Natakiwa niwe na nini? Natanguliza shukrani
  20. Rwanda yashika nafasi ya 38 duniani kwa kuanzisha biashara. Yaizidi Portugal, Belgium, Netherlands na nchi nyingi

    Sio maneno yangu. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Doing business ambayo huzingatia vigezo kumi inaonyesha Rwanda ni ya 38 kati ya 190 mbele ya mataifa mengi ya ulaya na la kwanza kwa Africa. Tanzania imeshika nafasi ya 141 huku majirani Kenya wakiwa nafasi ya 56 na Uganda nafasi ya 116...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…