MILENIA ya tatu ilikuwa inausabahi ulimwengu. Ni mwanzo wa Karne ya 21, hii ni kwa mujibu wa Gregorian Calendar. Mwaka ni 2000, Joseph Kibweteere alishazingua kinoma Uganda, alisababisha vifo vya watu 778. Kipindi hichohicho, Joseph mwingine alikuwa Kenya akitengeneza heshima ya Uganda.
Ndani...