Ballon d'or 2022 itaenda kwa Benzema au DeBruyne au Salah

Championship

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
5,499
10,540
Benzema simpendi japo kama akibeba ucl na laliga basi anaweza kuchukua.

DeBruyne yeye atabeba endapo man city itabeba ucl na epl.

Salah naye bado yumo na anaweza kuchukua epl na ucl.

Mane naye anaweza akaleta upinzani. Kabeba afcon na anaweza kubeba epl na ucl pia.

Wakikosa kabisa wamrudishie mmiliki wa hiyo tuzo, ndugu messi maana anaweza kubeba world cup na tayari anayo ligue 1.
 
Tusubiri world cup mkuu
Kanuni ilibadilishwa hivyo world cup itakuwa kwa ballon d'or ya 2023.

Mshindi wa mwaka huu atatangazwa October na world cup inaisha December. Wameweka kwamba sasa hivi tuzo iendane na msimu na sio calendar year.

Na sasa hivi wanaangalia performance ya mtu zaidi na sio timu kama ilivyokuwa awali.
 
Yaani wazungu wawape waislam hyo tuzo kweli ya dunia huyajui ww ngoja uone watakavyo badili gia angani za vigezo wakiona benzema au salah anakaribia kuchukua huo ufungaji bora tu yule son anaweza akapewa penalty mpaka akamfikia Salah .
 
Umeanza kuleta udini usio na sababu.Vingine leta ushahidi wa huu uzwazwa wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom