Hili sakata la dola linanivuruga sana, ukifuatia kulikuwa na taarifa mtandaoni kuwa Tanzania kuna uhaba wa dola Za kimarekani.
Sasa naona tena kuna taarifa inazagaa mtandaoni kuwa BoT akiba hiyo imekauka kabisa, na si dola pekee sasa hadi shilingi ya Tanzania nayo imekauka.
Kuna ukweli hapa...
Benki Kuu ya Tanzani imeukumbusha umma kuwa kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006 kinaelekeza kuwa shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusia kutumika nchini, hivyo hakuna Mtu au Kampuni yoyote inayoruhusiwa kuikataa kwa malipo yoyote halali na kwamba...
Benki kuu imeweka dawati la kushughulikia kesi zinazohusu mabenki na wateja wao, lkn wamesema kesi ambazo wao kama Benki Kuu wanasikiliza ni zile zisizozidi milion 15, Sasa je Kama madai yanazidi kiasi hicho inabidi yapelekwe wapi?
Picha: Renatus Muabhi
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi (53) na mwenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Kwa kosa la kujifanya maofisa usalama huku wakijua kufanya hivyo ni kosa la kisheria.
Mbali na Muabhi mwingine ni mfanyabiashara Yusuph...
Kauli ya Mama, Dunia imeandika. Bongo je? Blogs za Bongo mnaandika nini hii ni hot cake info inaweza kuwapa mileage. Fanyeni utafiti andikeni kwa Kiswahili watu wasome na kuelewa.
Suala la kushusha riba nchi hii linaonekana kufanyika kutokana na maagizo ya wanasiasa (liko kisiasa) na si Benki Kuu kama wataalamu kushauri au kushusha riba kwa mabenki ili nayo yashushe riba kwa wananchi.
Kwa mfano, leo Mama kaagiza Benki Kuu kuhakikisha mabenki yanashusha riba kufika chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.