Naomba Serikali na Benki Kuu ya Tanzania kueleza kwa nini huduma za Loan Restructuring na Loan Takeover katika benki kama NMB, CRDB na TCB hazifanyi kazi kwenye mfumo wa ESS?
Huduma hizi zimetangazwa kusaidia wakopaji, lakini wengi wanashindwa kuzipata mpaka Leo hii.
Tunaomba hatua...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imebainisha kuwa kiwango cha akiba ya fedha za kigeni nchini kimeendelea kuimarika na kufikia uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma kutoka nje kwa kipindi cha miezi 4.8, kiwango ambacho kiko juu ya matakwa ya kisheria ya nchi.
Hayo yameelezwa leo Juni 12, 2026, na Gavana...
https://www.youtube.com/watch?v=Qne7eWGfD5w
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT), tarehe 12 Juni, 2026, JNICC Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT), tarehe 12 Juni, 2026, JNICC Dar es Salaam
https://www.youtube.com/watch?v=Qne7eWGfD5w
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua...
Gavana wa Bank Kuu Tanzania Emmanuel Tutuba
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya fedha za kidijitali maarufu kama cryptocurrency yameongezeka duniani kote. Watu wengi wamevutiwa na ahadi ya kupata faida kubwa kupitia uwekezaji wa sarafu kama Bitcoin na nyinginezo. Hata hivyo, nchini...
Aliyekuwa Gavana wa nne wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk Idris Rashid, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 78.
Dk Rashid aliyezaliwa mwaka 1948, wilayani Mbulu katika Mkoa wa Manyara, amefariki dunia usiku wa kuamkia Ijumaa ya Machi 13, 2026, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Taarifa za...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali.
Akizungumza mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro...
Mbunge wa Bagamoyo (CCM), Subira Mgalu, ameishauri Serikali kutoyumbishwa na maoni ya wanaharakati na wakosoaji kuhusu mpango wa kuuza sehemu ya akiba ya dhahabu ya Taifa kwa ajili ya kugharamia miradi ya kimkakati.
Akichangia mjadala wa hotuba ya Rais bungeni jijini Dodoma leo, Januari 30...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewakataza wananchi, hususan kina mama, kuhifadhi fedha kwenye matiti ikieleza tabia hiyo huharibu ubora wa fedha na kuilazimisha Serikali kugharamia kuchapisha mpya kabla ya muda wake wa matumizi kuisha.
Mbali na kuhifadhi kwenye matiti, kufunga fedha kwenye pembe...
TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA
Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuchapishwa kwa fedha na kuzisambaza kwa ajili ya uchaguzi, huku baadhi ya watu wakihamasisha wananchi kuondoa fedha zao kutoka mabenki kwa madai ya uhaba wa fedha.
BoT imesisitiza kuwa taarifa hizo...
Kampuni za madini za Geita Gold Mine (GGM), Shanta na Buckreef Gold zimeingia mkataba na Benki Kuu (BoT) ya utekelezaji wa sheria ya madini inayozitaka kampuni binafsi za uchimbaji madini kuiuzia BoT dhahabu inayozalishwa na kampuni hizo kwa kiwango kisichopungua asilimia 20.
Mikataba hiyo...
Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani.
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa uchumi wa Tanzania Bara na Zanzibar unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya kuridhisha katika robo ya pili ya mwaka 2025, kwa asilimia 6.1 na 6.5 mtawalia, huku mfumuko wa bei ukitarajiwa kubaki tulivu kwa asilimia 3.2.
Akizungumza jijini Dar es...
Niliwahi kusoma makala moja iliandikwa na marehemu Ali Nabwa,kwenye gazeti la dira,yenye kichwa cha habari,Zanzibar yafa dungu msokoni.
Makala hiyo ilielezea ugomvi mkubwa sana kati ya karume na nyerere,kuhusu benki kuu ya tanzania.Nyerere akamtuma Amir Jamal keenda kuongea na Karume,Karume...
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania.
Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
application
benkikuubenkikuuyatanzania
fedha mtandaoni
kukopesha
makampuni
mikopo
mikopo mtandaoni
mikopo ya kausha damu
mikopo ya mitandaoni
mitandaoni
mmoja
mradi
mtandaoni
mtu
mtu mmoja
tanzania
utoaji mikopo
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeanzisha kanuni mpya kwa ajili ya shughuli za kubadilisha fedha za kigeni, ikijumuisha uwepo wa masharti makali zaidi kwa ajili ya miamala inayozidi dola za Marekani 5,000. Kanuni hizi mpya zina lengo la kuimarisha uwazi, uwajibikaji, na usalama ndani ya soko la...
Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuanza kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi ishirini (20), mia mbili (200), mia tano (500), elfu moja (1000), elfu mbili (2000), elfu tano (5000), na elfu kumi (10000) za matoleo ya mwaka 1985 hadi 2003, pamoja na noti ya shilingi mia tano (500)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.