Mbona vitu vipo clear kabisa vinaeleweka, sema vinahitaji ufuatiliaji wa hali ya juu...Hivyo vitu hata havieleweki, hata wanaoelekeza nao hawavielewi bado.
Sio mama tu, naamini watz wengi tutakua weupe kwenye hili...Mbona vitu vipo clear kabisa vinaeleweka, sema vinahitaji ufuatiliaji wa hali ya juu...
But naamini Mama ni mweupe kujusiana na hizo issue maana hata hao washauli wake wengi ni weupe kabisa.....
Hahahahah, hivyo vitu huwezi muelezea mtu kwa siku moja, inahitaji mtu akae chini umpe somo.huwezi mfundisha mtu physics kwa siku mojaSio mama tu, naamini watz wengi tutakua weupe kwenye hili...
Waelezaji wenyewe ndio kama hivo wewe kwamba vipo clear vinaeleweka umemaliza, mwingine akijitahidi anacopy na kupaste historia ya hizo bitcoins kutoka google huko kamaliza.
Whether inaeleweka au haieleweki Technology always wins. Na ni bora ukajiandaa nayo kuliko kukaa kimya na kujifanya huioni.Huko Duniani tu crypto haieleweki sembuse Tanzania ndio watu waelewe?
Mama amedanganywa, haya mambo bado machanga sana hata huko kwa watu wa Dunia ya kwanza.
Tushugulikie mambo ya msingi kwanza kama maji, upatikanaji wa huduma za mtandao na mambo kama hayo. Sehemu kubwa tu za vijijini mtandao wa kawaida wa tigo pesa, mpesa ni changamoto sembuse crypto? Tuwe serious basi kidogo.
Nakazia. Hata waziri Nape siku ya uhuru wa vyombo vya habari alilisema hili. Tena na mkurugenzi wa JF akiwemo.Kauli ya Mama, Dunia imeandika. Bongo je? Blogs za Bongo mnaandika nini hii ni hot cake info inaweza kuwapa mileage. Fanyeni utafiti andikeni kwa Kiswahili watu wasome na kuelewa.
View attachment 1818203View attachment 1818203