benki kuu ya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    TANZIA Gavana wa nne wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk. Idris Rashid, afariki dunia akiwa na umri wa miaka 78

    Aliyekuwa Gavana wa nne wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk Idris Rashid, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 78. Dk Rashid aliyezaliwa mwaka 1948, wilayani Mbulu katika Mkoa wa Manyara, amefariki dunia usiku wa kuamkia Ijumaa ya Machi 13, 2026, baada ya kuugua kwa muda mrefu. Taarifa za...
  2. Waufukweni

    Benki Kuu ya Tanzania: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali. Akizungumza mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro...
  3. Waufukweni

    Mbunge wa Bagamoyo: Serikali isisikilize maneno uuzaji wa akiba ya dhahabu, Wanaharakati uchwara wapuuzwe

    Mbunge wa Bagamoyo (CCM), Subira Mgalu, ameishauri Serikali kutoyumbishwa na maoni ya wanaharakati na wakosoaji kuhusu mpango wa kuuza sehemu ya akiba ya dhahabu ya Taifa kwa ajili ya kugharamia miradi ya kimkakati. Akichangia mjadala wa hotuba ya Rais bungeni jijini Dodoma leo, Januari 30...
  4. Waufukweni

    Tanga: Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yatahadharisha kuhifadhi fedha kwenye matiti, pindo la kanga

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewakataza wananchi, hususan kina mama, kuhifadhi fedha kwenye matiti ikieleza tabia hiyo huharibu ubora wa fedha na kuilazimisha Serikali kugharamia kuchapisha mpya kabla ya muda wake wa matumizi kuisha. Mbali na kuhifadhi kwenye matiti, kufunga fedha kwenye pembe...
  5. P

    DHULMA TUNAZOTENDEWA NA BENKI YA CRDB ILHALI BENKI KUU YA TANZANIA , INAONYESHA KUWA UPANDE WAO KWA KUSHINDWA KUJIBU "REVISION" KWA MUJIBU WA SHERIA.

    TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
  6. Waufukweni

    GE2025 Benki Kuu imekanusha taarifa za kuchapisha pesa “Makontena kwa Makontena” kwa ajili ya uchaguzi

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuchapishwa kwa fedha na kuzisambaza kwa ajili ya uchaguzi, huku baadhi ya watu wakihamasisha wananchi kuondoa fedha zao kutoka mabenki kwa madai ya uhaba wa fedha. BoT imesisitiza kuwa taarifa hizo...
  7. Roving Journalist

    Benki Kuu ya Tanzania kuuziwa 20% dhahabu inayozalishwa na Shanta, Geita Gold Mine, Buckreef Gold

    Kampuni za madini za Geita Gold Mine (GGM), Shanta na Buckreef Gold zimeingia mkataba na Benki Kuu (BoT) ya utekelezaji wa sheria ya madini inayozitaka kampuni binafsi za uchimbaji madini kuiuzia BoT dhahabu inayozalishwa na kampuni hizo kwa kiwango kisichopungua asilimia 20. Mikataba hiyo...
  8. Mr Why

    Benki kuu ya Tanzania yapiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kufanya miamala ya ndani

    Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
  9. JanguKamaJangu

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT): Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya 6.1% na 6.5% mtawalia

    BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa uchumi wa Tanzania Bara na Zanzibar unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya kuridhisha katika robo ya pili ya mwaka 2025, kwa asilimia 6.1 na 6.5 mtawalia, huku mfumuko wa bei ukitarajiwa kubaki tulivu kwa asilimia 3.2. Akizungumza jijini Dar es...
  10. fimboyaukwaju

    Historia ya kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania

    Niliwahi kusoma makala moja iliandikwa na marehemu Ali Nabwa,kwenye gazeti la dira,yenye kichwa cha habari,Zanzibar yafa dungu msokoni. Makala hiyo ilielezea ugomvi mkubwa sana kati ya karume na nyerere,kuhusu benki kuu ya tanzania.Nyerere akamtuma Amir Jamal keenda kuongea na Karume,Karume...
  11. Holota

    USAILI BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)

    Wakuu kwa mwenye uzoefu au ufahamu kuhusu writen interview ya bot kwa kada ya Bank officer III atusaidie walau tujue kwa kuanzia
  12. Planet Data bundles

    Wakuu hati fungani za BOT zikoje? Riba au faida yake ni % ngapi?

    Wakuu msaada hapa naisikia sana hii lakini sielewi maana. Nipeni ABC
  13. Waufukweni

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni

    Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania. Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
  14. Damaso

    Kanuni Mpya za Benki Kuu ya Tanzania na Athari Zake kwa Soko la Fedha za Kigeni

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeanzisha kanuni mpya kwa ajili ya shughuli za kubadilisha fedha za kigeni, ikijumuisha uwepo wa masharti makali zaidi kwa ajili ya miamala inayozidi dola za Marekani 5,000. Kanuni hizi mpya zina lengo la kuimarisha uwazi, uwajibikaji, na usalama ndani ya soko la...
  15. Mstahiki Mea

    Benki Kuu ya Tanzania kuanza kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi

    Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuanza kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi ishirini (20), mia mbili (200), mia tano (500), elfu moja (1000), elfu mbili (2000), elfu tano (5000), na elfu kumi (10000) za matoleo ya mwaka 1985 hadi 2003, pamoja na noti ya shilingi mia tano (500)...
  16. Mindyou

    BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa. Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya...
  17. Makirita Amani

    Habari Njema; Nimeidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Kutoa Elimu ya Fedha

    Rafiki yangu mpendwa, Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo. Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto tu unanisumbua. Nikiwa shuleni nilifuata vizuri ile kanuni maarufu ya NENDA SHULE, SOMA KWA BIDII...
  18. Analogia Malenga

    Benki Kuu ya Tanzania yatoa Taarifa kuhusu Wizi katika Sekta ya Benki, miamala ya simu yaongoza kwa wizi

    Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kwa benki zote na taasisi za kifedha kuhusu matukio ya wizi katika sekta ya benki. Kupitia barua yenye kumbukumbu FA.53/359/01/25 iliyotolewa tarehe 5 Machi 2024, Benki Kuu imeeleza kuwa inahitaji kila benki na taasisi ya kifedha kutoa taarifa kuhusu matukio...
  19. Suley2019

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yatangaza riba ya Benki Kuu kwa robo ya kwanza ya mwaka 2024

    Kamati ya Sera ya Fedha iliyokutana tarehe 18 Januari 2024 imetangaza Riba ya Benki Kuu kuwa asilimia 5.5 kwa robo ya kwanza ya mwaka huu ili kutimiza malengo ya kiuchumi katika kipindi hicho. Kiwango cha Riba ya Benki Kuu kilichotangazwa kinaendana na malengo ya kuhakikisha kuwa mfumuko wa bei...
  20. K

    Benki Kuu: Akiba ya fedha za kigeni inatosha kwa miezi minne

    Jumanne, Agosti 22, 2023 Benki kuu ya Tanzania BoT imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa Dola za Marekani bilioni 5.41 ambacho kinatosha kuagiza bidhaa za nje kwa miezi minne na siku 27. Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa...
Back
Top Bottom