benchi

Benchi Express is a catamaran ferry operated by the Spanish-Norwegian shipping company Fred. Olsen Express for local transport connecting ports on the island of La Gomera (Canary Islands). It was delivered to Fred. Olsen in September 2017 and has been operating the route between the towns of San Sebastián de La Gomera, Playa Santiago and Valle Gran Rey since then. The ship was purpose-built for this route by Drassanes Dalmau, based in Arenys de Mar (Barcelona).

View More On Wikipedia.org
  1. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Wakenya wanavyo tafutiwa kazi Tanzania, nyie mkisugua benchi na mkingoja Mbowe aandamane kuwatetea

    Hizi ni kazi ambazo zinaweza sana fanywa tu na Watanzania, ila sasa sijui ni wawekezaji au la, wanatafuta Wakenya, na inaonekana hawataki Watanzania. Tena analipwa pesa nzuri na nyumba bure na Chakula na matibabu. Haya yako sana kwenye utalii huko ndio usiseme, unakuta hadi Wahasibu ni...
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Vunjeni benchi zima la ufundi Taifa Stars

    Benchi zima la ufundi la taifa stars halifai, huyo Hemedi Morroco kuongea kwenyewe shida atawafundisha nini wachezaji? Ana uzoefu upi wa kufundisha timu ya taifa, huyo ni kocha wa level ya geita gold, fukuzeni wote na muajiri makocha wenye uwezo
  3. Chief Ortambo Ikumenye

    JamiiForums Tanzania Kwanini benchi la Simba wanapuuzia ushauri ninaowapa mimi mzee mutu ya boli?????

    Baada ya mechi ya Azam nilisema wazi kuna wachezaji hawastahili kuchezea Simba na wengine nilisema wakalishwe kitako (Naskitika sana ushauri wangu ni kama wanautekeleza taratibu kwa kuanza na yule m Zambia alikuwa anacheza kama ana degedege) Baada ya hii mechi ya Dodoma leo, conclusion yangu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wachezaji wa Simba na benchi la ufundi

    Ligi Kuu ya soka nchini imeanza rasmi leo kwa Pamba Jiji kutoka suluhu na Prisons ya Mbeya, vijana wengi mnaweza msiijue sana historia ya Pamba ya Mwanza, nitakuja kuwaeleza siku nyingi kuhusu Pamba ile ya golini Madata Lubigisa au Paulo Rwechungura, kulia Abdallah Bori kushoto Deo Mkuki, Nne...
  5. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Benchi la Ufundi la Yanga halimhitaji Elie Mpanzu

    Baada ya Engineer kuvutiwa waya jana na kuelezwa kuwa Elie Mpanzu yuko tayari kujiunga na Yanga endapo atahitajika, leo Master Gamondi amemthibitishia Engineer kuwa hahitaji kuongezewa nguvu kwasasa na kwamba apewe muda kurekebisha mapungufu aliyo yaona ili kikosi kifanye vizuri kitaifa na...
  6. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Simba uko kitapeli. Abdulrazack kutoka Supersport akichezea benchi (timu ya saba kwenye ligi) ana thamani kubwa mara nne ya Pacome

    Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu. Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo katambulishwa simba thamani yake imekuwa 165k us dolla. Akimzidi Pakome mwenye thamani ya 45k tu. Pacome...
  7. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Gamond na Benchi lako la ufundi mnapaswa kutambua kuwa mashabiki tutafurahi zaidi endapo Azizi ki atachukua kiatu cha ufungaji bora

    Gamondi huu siyo muda tena wakumchezesha Pakome dakika za Majeruhi kwani Pakome ana combination nzuri sana na Azizi ki , endapo Pakome akianza naziona hat trick Kwa Azizi k hii ndiyo furaha yetu Wana Yanga SC. Akichukua yule mtoto maneno yatakua mengi sana haswa wachambuzi was mchongo na baba...
  8. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Gamondi na Benchi lake la ufundi wanapaswa kumvumilia Denis Nkane Kama wanavyomvumilia Clement Mzinze

    Denis Nkane ni Moja Kati ya Talanta kuntu sana katika taifa letu, Talanta hii kocha wa mpira Mohammed Nabi aliiamini kabisa na iliipa matokeo "what a supersub" Naam hakuna asiyekua umuhimu wa wa bwana mdogo Denis Nkane katika kikosi Cha Yanga Sc kipindi Cha Nabi. Toka amekuja Kocha Gamond bwana...
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Jemedari Saidi aja juu suala la Manula kukaa benchi.

    Meneja wa Aishi Manula, Jemedari Said awajia juu viongozi na mashabiki wanaomlaumu Aishi Manula kwa kufungwa nabangula. "Kuna timu zinajimilikisha UHALALI WA KUSHINDA tu kwenye ligi yetu, zenyewe zikifungwa basi wachezaji WAMEUZA ! Kwani nyinyi timu zenu hazifungwi kawaida kwa kuzidiwa tu...
  10. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Leo Jumatano 24.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki Tanzania Kikosi cha Tanzania Kikosi cha DR Congo fiston mayele kaanza leo Mpira Umeanza... Tanzania...
  11. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu; Chama Jr akija Yanga, Benchi litamuhusu sana. Nashauri aende Azam

    Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi. Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi. Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga! Yanga wakimsajili ni kwa ajili yakupeleka makasiriko Msimbazi na si vinginevyo.
  12. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama Benchika ni kocha mzuri kampeni za nini? Acheni timu ijieleze na hana ubora wa kumpiga benchi Chama. Washabiki tumechoka kuvumilia

    Naona kampeni zimekuwa nyingi. Kama Chama ana kiburi ajue namna ya kuishi nae tu. Naona kampeni dhidi ya Chama na ubora wa Benchika zimezidi. Tunawasubiri mechi ya Whydad na Kagera. Chama akiendelea kunyanyasika kama hajawahi kuifanyia lolote Simba. Kama sio mtu aliyeirudisha Simba makundi...
  13. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

    Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC. Kikosi cha Yanga YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF, YAPIGWA 3-0 UGENINI Ikicheza kwenye Uwanja wa Stade du 5 Juillet Nchini Algeria, Yanga imeshindwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa ama Che Malone au Inonga kusugua benchi

    Narudia tena, hawa jamaa wawili hawawezi kucheza pamoja bila kuruhusu magoli. Kwanza wanategeana, kila mmoja anataka kuwa wa mwisho. Pili wote wanaumwa na kujiamini kupita kiasi, wanapenda kupanda mbele kwa ku dribble mipira matokeo yake wakipoteza tu mpira, basi ujue unahesabu kamba golini...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Percy Tau is overated, akisaini Yanga ataanzia benchi

    Mohamed Hussein alimlaza na viatu, leo tena kamasi limemtoka. Pale Yanga anamuweka nani bench? Kwa mwezi anakinga dola 100,000 kibindoni.
  16. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa benchi la ufundi Simba viongozi mkiipata mpelekeeni Robertinho kuepuka aibu ya goli 5

    Ili kuepuka aibu ya kufungwa goli nyingi katika mchezo wa marudiano AFL kesho (pamoja na ahadi ya bilioni moja kutoka kwa Mo endapo akishinda mchezo wa kesho) kiufundi naona mambo yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi. Simba wanapaswa wajiuekuwa wanatimu mbovu. Hawana Golikipa hata mmoja ukitoa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiufundi nakataa huu Upuuzi unaotaka kufanywa na benchi la Ufundi la Simba SC kwa Kulazimishwa na baadhi ya Viongozi wa Simba SC

    GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC na ndiyo maana hata akiharibu analindwa nao kwa nguvu Kubwa. GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Waandishi wa Habari wa Michezo na hata Wachambuzi wa Michezo ili Wampambe /...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kocha Ten Hag afikiria kumpiga benchi Marcus Rashford

    Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anaweza kuchukua uamuzi huo kuelekea mchezo dhidi ya Brentford unaotarajiwa kupigwa leo Oktoba 7, 2023 sababu ikiwa ni kiwango cha mshambuliaji huyo kushuka na kushindwa kufunga. Msimu uliopita Rashford alifunga magoli 30 lakini hadi sasa amefunga goli...
  19. init

    JamiiForums Tanzania Alaumiwe kocha au benchi lake la ufundi?.

    Kocha alisajili kila mchezaji aliye muhutaji, alimpa kila funzo alilodhani ni la msingi kuonyesha uwezo uwanjani. Kila yalipotokea mabadiliko uwanjani mashabiki hawakuisha kuwa na matumaini na maingizo mapya ya kocha. Lakini matumaini hayo hayakuwahi kutimia, kila mabadiliko, zilisikika sauti...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania England: Kimenuka, baada ya kuwekwa benchi, Jadon Sancho amjia juu kocha wake hadharani

    Winga Jadon Sancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Manchester United kwa sababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erik ten Hag alivyodai bali hivyo ni visingizio dhidi yake. Kabla ya kupoteza kwa magoli 3-1 dhidi ya Arsenal, Ten Hag alisema...
Back
Top Bottom