Alaumiwe kocha au benchi lake la ufundi?.

init

Senior Member
Mar 22, 2021
114
107
Kocha alisajili kila mchezaji aliye muhutaji, alimpa kila funzo alilodhani ni la msingi kuonyesha uwezo uwanjani.
Kila yalipotokea mabadiliko uwanjani mashabiki hawakuisha kuwa na matumaini na maingizo mapya ya kocha. Lakini matumaini hayo hayakuwahi kutimia, kila mabadiliko, zilisikika sauti, bora angebaki yule.

Kocha alikuwa ni mkarimu na mwenye nidhamu, na aliwaheshimu na kuwaamini wachezaji wake kiasi cha kuwapa imani ambayo hawakustahili wakati mwingine.

Licha ya yote uongozi wa timu uliyoyafanya kumuwezesha kocha lakini kocha bado ajatoa kile mashabiki wanahitaji.

Nani alaumiwe,
1. Benchi la ufundi, kwa kuwa na maingizo mabovu kwa kocha.
2. Kocha mwenyewe kwa ku ridhika na maingizo hayo na kuyavumilia.
3. Uongozi wa timu kwa kutomuwajibisha kocha.
?.
 
Back
Top Bottom