bei

Liu Bei (Chinese: 劉備, pronunciation ; Mandarin pronunciation: [ljǒu pêi]; 161 – 10 June 223), courtesy name Xuande (玄德), was a warlord in the late Eastern Han dynasty who founded the state of Shu Han in the Three Kingdoms period and became its first ruler. Though he was a distant relative of the imperial family, Liu Bei's father died when he was a child and left his family impoverished. To help his mother, he sold shoes and straw mats. When he reached the age of fifteen, his mother sent him to study under Lu Zhi. In his youth, Liu Bei was known as ambitious and charismatic. He gathered a militia army to fight the Yellow Turbans. Liu Bei fought bravely in many battles and started getting famous. Rather than join the coalition against Dong Zhuo, he joined his childhood friend Gongsun Zan and fought under him against Yuan Shao many times with recognition.
Later he was sent to help Tao Qian against Cao Cao. Thanks to the support of the influential Mi and Chen families along with Tao Qian's last will, Liu Bei inherited the Xu Province. After his defeat against Cao Cao, Lü Bu joined him and seized the province while Liu Bei was away fighting Yuan Shu. After many conflicts, he joined Cao Cao and they defeated Lü Bu at the Battle of Xiapi. Although he was treated well, Liu Bei received a secret edict from the emperor to kill Cao Cao and rebelled against him taking back Xu province. After a brief alliance with Yuan Shao, Liu Bei was quickly defeated by Cao Cao and had to flee to the warlord in the north. He was sent by Yuan Shao to raise uprisings behind Cao Cao's main base but he was ultimately defeated by Cao Cao and joined his kinsman Liu Biao. Liu Biao doubted his loyalty so he located him at Xinye to serve as a shield against Cao Cao. After Liu Biao's death, Liu Bei led many civilians to join Liu Qi to Xiakou where they allied with Sun Quan to oppose Cao Cao at the Battle of Red Cliffs.
After Cao Cao's defeat, Liu Bei quickly took control of the majority of Jing Province, then he married Sun Quan's sister who recognised his legitimacy over the province and agreed to "lend" him Nan Commandery. Liu Bei later led his army to join another kinsman, Liu Zhang in his war against the warlord Zhang Lu. Under the advices of his advisors, he betrayed Liu Zhang and seized the Yi Province from him. After some disputes and seeing Cao Cao growing closer to the Yi province. Liu Bei agreed to yield half of the Jing province to Sun Quan and led his army against Xiahou Yuan at Hanzhong and seized it. Liu Bei then declared himself "King of Hanzhong" and set up his headquarters in Chengdu. However soon after Guan Yu was killed by Liu Bei's "ally" Sun Quan who took the rest of Jing province for the "lending" of Nan commandery. Liu Bei was furious and after declaring himself emperor to challenge Cao Pi's authority, he led his army against his former "ally". Though some early success, his army was soon blocked into a stalemate against Lu Xun and was finally defeated. Ashamed by his failure, he never returned to Chengdu and settled in Baidicheng until his death one year later. Urging his heir to not emulate him and being as virtuous as possible he appointed to help him Zhuge Liang in charge of domestic matters and Li Yan for the military matters.
Despite early failings compared to his rivals and lacking both the material resources and social status they commanded, he gathered support among disheartened Han loyalists who opposed Cao Cao, the warlord who controlled the Han central government and the figurehead Emperor Xian, and led a popular movement to restore the Han dynasty through this support. Liu Bei overcame his defeats to carve out his own realm, which at its peak spanned present-day Sichuan, Chongqing, Guizhou, Hunan, and parts of Hubei and Gansu. Culturally, due to the popularity of the 14th-century historical novel Romance of the Three Kingdoms, Liu Bei is widely known as an ideal benevolent, humane ruler who cared for his people and selected good advisers for his government. His fictional counterpart in the novel was a salutary example of a ruler who adhered to the Confucian set of moral values, such as loyalty and compassion. Historically, Liu Bei, like many Han rulers, was greatly influenced by Laozi. He was a brilliant politician and leader whose skill was a remarkable demonstration of "Confucian in appearance but Legalist in substance" .

View More On Wikipedia.org
  1. Tatizo la bei za Mafuta ya Petroli kupanda ni Serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo

    Tatizo la bei za mafuta ya petroli kupanda ni serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo. Ikumbukwe tunawatalaam wa mafuta. Hakika hawa wangeweza kutuvusha katika kipindi hichi kigumu. Wangeweza hata kutengeneza mafuta kutoka kwenye makaa ya mawe kwaajili ya kupunguza utegemezi...
  2. Prof. Kitila Mkumbo ataka bajeti ieleze namna inavyoshughulikia mfumuko wa bei

    Mbunge wa Ubungo akichangia katika bunge la Bajeti leo amesema ongezeko la bei linaloendelea mtaani sio la kawaida. Amesema ongezeko lililopo sio makosa ya serikali hata hivyo ni muhimu kwa serikali kuchukua hatua za dharura kudhibiti ongezeko hilo Ameshauri wizara ya fedha kuja na hatua rasmi...
  3. W

    Sensa ya 2022 Vs Ongezeko la Bei

    Habari nyote Niende tu moja kwa moja katika hoja yangu na nianze na swali rahisi kabisa, Kuna umuhimu gani wa kufanya sensa ya watu na makazi wakati tukiwa katika kipindi kigumu sana cha ongezeko la bei katika mahitaji mengi ya watanzania na duniani kote? Natambua umuhimu wa sensa ya watu na...
  4. Wenye nyumba kupandisha kodi je hii nayo inaenda na kupanda bei za mafuta?

    Kuna changamoto kwa sasa tunapitia watu kupandisha bei ya vitu kwa taarifa kuwa mafuta yamepanda bei sababu ikiwa vita vya Ukraine, sawa tunakubali ila kuna kama wengine wanafata mkumbo tu, maana jana mwenye nyumba wetu katuambia kodi mwezi ujao itapanda sababu ikiwa gharama za maisha kupanda...
  5. Q

    Mrisho Gambo ataka Bunge liahirishwe, kujadili mfumuko wa bei

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo leo Ijumaa Aprili 8, 2022 ametoa hoja akitaka bunge liahirishe shughuli zake ili wabunge wajadili kwa kina kuhusu upandaji wa bei za bidhaa nchini ikiwemo vyakula na vifaa vya ujenzi.
  6. Kuondoa na kurudisha sh. 100 kwenye bei ya mafuta nani awajibike?

    Rais Mama Samia alirejesha tozo ya Sh.100 iliyokuwa imetolewa kwenye mafuta ya petrol, dizeli na mafuta ya taa ni nani alikosea kuitoa na ni nani kati ya wafuatao ajitafakari kati ya Waziri wa nishati na waziri wa fedha na afanye hivyo lini ili iwe fundisho kwa wengine? Kama Ndugai...
  7. Gharama za vitu sasa ipo juu lakini Fundi ujenzi bei yake iko palepale

    Habarini waja JF, Wote tunajua vitu ni bei juu kwa sasa, mfano, mchele, ngano, mafuta, petrol, sabuni, gharama za usafiri, vifaa vya ujenzi, nk Lakini fundi bei yake palepale, tell me why. Kwa namna niliyowaza bado sipati jibu, japokuwa na kipato chao hawa watu ila hawaishiwi vibweka na...
  8. USHAURI: Rais nikuombe usihalalishe kupanda kwa bei kirahisi hadharani unahujumiwa sana

    Mh. Rais Samia kurasimisha kupanda bei hadharani kunahamasisha wafanya biashara kupandisha bei hata vitu visivyo hitaji kupandishwa gharama tena wanafanya hivyo kwa makusudi kabisa Nikuombe mama usipende kuhalalisha hili la bidhaa kupanda bei hadharani kwa kauli na hasa ukizingatia wewe ni rais...
  9. Tufanye nini ili kupunguza athari ya upandaji wa bei za mafuta? tulaumiane?

    Kuna baadhi ya vitu vinavyotokea ambavyo viko nje ya uwezo wa mtu mmoja au kundi fulani la watu. Kwa mfano, suala la upandaji wa bei ya mafuta katika kipindi hiki cha vita ya Urusi na Ukraine liko nje ya uwezo wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Kuna watu wanamlaumu Rais, Wengine serikali...
  10. Anayejua Bei ya shelf za mbao za Duka la dawa tafadhari

    Msaada tutani! Naomba anayejua Bei ya shelfu za mbao Kwa ajili ya Duka la dawa tafadhali. Natanguliza Shukrani
  11. Angalia Russia inategemewa kiasi gani na Dunia yote halafu ropoka kwamba Rais Samia napandisha bei ya vitu

    Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani. Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei? MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki. Ingekuwa hivyo...
  12. Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

    Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi...
  13. Rais Samia hahusiki kupanda kwa bei ya mafuta, zijue sababu za kweli

    Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania. Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote. Tumekuwekea sababu 5 ambazo kihistoria na uhalisia...
  14. Swali: Haya mafuta yaliyopanda bei yameingia lini nchini?

    Nina maswali ambayo nimeyawaza baada ya ku smell kitu. Ni kama vile wasimamizi wa nishati na mafuta kama wanafanya biashara ya mafuta hivyo wanajiimarisha kiuchumi. Swali 1. Haya mafuta yaliyoanza kuuzwa leo kwa bei ya juu yameingia lini nchini? Swali 2. Mafuta yale ya bei ya zamani yameishia...
  15. N

    Serikali inayowaza kumnyonya Mtanzania kwa tozo haitawaza kupunguza kodi kwenye bidhaa ili kupunguza mfumuko wa bei

    Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini. Serikali hii inachowaza ni kupata pesa ili wao waendelee kunufaika ndii maana wamelundika tozo na kodi za kila aina, zingine...
  16. Wakati vitu vinazidi kupanda bei, Serikali imelipia ndege mpya tano kuimarisha ATCL

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imeendelea kuliimarisha Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ili liweze kutoa huduma bora ya usafiri wa anga ndani na nje ya nchi ambapo amebainisha kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya ununuzi wa ndege tano. Japo hawajasema ni lini...
  17. Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

    Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi. Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu...
  18. Bungeni, Dodoma: Wazalishaji/Wasambazaji waelekezwa kushusha bei za bidhaa muhimu

    Serikali imeagiza Wazalishaji na Wasambazaji wa bidhaa muhimu kushusha mara moja bei za bidhaa zinazopandishwa pasipo kuendana na uhalisia wa Soko. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hivi karibuni kumekuwepo na taarifa za uhaba na upandaji wa bei usioendana na uhalisia wa Soko kwenye bidhaa...
  19. Rais anatambua bei za vitu zinapanda. Je, ataongeza mishahara?

    Rais Samia ameonesha kuwa anafahamu ongezeko la bei linaloendelea kwenye bidhaa mbalimbali nchini, na amesema ongezeko litaendelea kutokea kwa kuwa Vita vya Urusi na Ukraine vinaendelea. Kwa kutambua kuwa ongezeko la bei kunashusha thamani ya fedha na kupunguza nguvu ya kununua (Purchasing...
  20. J

    Rais Samia: Waziri wa Nishati aliondoa Tozo kwenye mafuta kimakosa kwa sababu Tozo ilipitishwa na bunge, Nimeirejesha!

    Rais Samia amesema waziri wa Nishati January Makamba alifuta tozo ya tsh 100 kwenye mafuta kwa nia njema ya kupunguza bei lakini ikaonekana kuna utaratibu haukuwa sawa. Tozo ile ilipitishwa na bunge siyo waziri hivyo kuifuta kulitakiwa kuanzie bungeni. Rais ameirejesha tozo ya mafuta kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…