Bei za mafuta zimepanda tena, hii inaashiria kuendelea kuongezeka kwa gharama za maisha.
Pengine kwenye soko la dunia bei imeongezeka Ila serikali isingeongeza kodi kwenye mafuta kwenye hii bajeti mpya basi Bei zingekuwa kidogo afadhali.
Sikujua kwa nini serikali iliongeza kodi kwenye mafuta...
Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na mfumuko wa bei(Headline inflation) hii ni kwa kuambiwa lakini nimefanya pia analysis ya haraka haraka na kuona uhusiano mkubwa kati ya hivyo vitu, tafadhali angalia matokeo haya kutoka kwenye STATA nimetumia data ya mwezi kuanzia 2010 hadi 2020...
Kuanzia tarehe 1 July, bei za mafuta, kuanzia petrol, diesel, kerosene zitapanda kwa kiwango kisicho na chembe ya uungwana. Maisha yatapanda.
Mfumuko wa bei utapanda wakati kodi zitashuka maana hali naiona siyo nzuri sana.
Kushuka kwa kodi pamoja na kupanda kwa gharama za maisha italeta...
Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta.
Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi.
Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.